***QUESTION***
I have been talking to this girl for about a month
now and I find myself falling in love with her
everytime we see each other (every Tuesday Night).
She recently told me that...
siku moja moja tutoe avatar then tuweke original picture zetu ili kila mmoja apate kuiona vyema taswira ya mwenzake.. Coz avatar ya cheusi mangara na afrondezi na wengine wengi zanikosha!
siyo mara ya kwanza kuomba ushauri humu mimi ni mama mwenye miaka 24 nina mtoto wa mwaka na nusu, na ndoa yangu ina miaka mitano na nusu,ni miaka miwilli sasa mume wangu amekuwa kiwembe kutokana...
Jamani mnipe ushauli,mimi nina mpenzi wangu nimekaa naye almost 2year mara nilimheshimu kama mume wangu mtarajiwa tangu hapo tulipoanza lakini siku zote uchumba ulishamiri na hatimaye aliniambia...
Hii inatokana na kipindi cha 'Habari ndiyo hiyo' cha TBC1 jana.
Topic ilikuwa "wanaume wa cku hizi"
Sijui mwandaaji wa kipindi aliwaza nini kuleta topic hii (ni mwanaume) ila almost wanawake wote...
wakuu nawasilisha hili maana ndoa za siku hizi imekua kama fashion, ndoa inadumu miezi michache tu wanandoa wanachana. Hasa kati ya mwanamke na mwanaume. Utasikia ameachika kwa mumewe au ameachana...
usia huu nauwasilisha kwenu ninyi wana jf,ili wote kwa ujumla tuwe chachu ya mabadiliko,maana mambo 2nayofanya cjui YESU akirud 2taendaje naye kwa matendo ye2 maovu.jamani tuacheni uzinzi ukimwi...
Mie ninae rafiki yangu wa kiume, tu marafiki wa kawaida tu. Tatizo ni kuwa hivi karibuni nahisi hali ya kumkosa sana anapokuwa yu mbali au hatuna mawasiliano. Nahisi kuuhitaji uwepo wake karibu...
Sina tabia wala mazoea ya kuanzisha thread za mahusiano lakini kwa hili hapana; Mimi kama Mwanamme ambaye nitabaki kuwa mkweli kwa kuwa kweli hukuweka HURU, nasema hivi; tangu kubalehe hadi sasa...
Naomba kichwa cha habari kisomeke; Wazazi msiwaambukize watoto wenu chuki dhidi ya wazazi wenzenu
Wapo watu waliozaa, na kwa sababu moja au nyingine hawaishi pamoja. Wapo baadhi ya watu (hasa...
Jamani naomba msaada wa kupata namba za Simu za watu wa USPS (United States Postal Services) - Dar-es-salaam. They hav my parcel, but I am here in Mwanza, no offices here, I don't know how to get...
I overheard this story!
A: Umemcheki yule mrembo mshkaji?
B: Da! Ni balaa kaka, mzuri kama jini! Jamani kuna watu wazuri wazuri dunia hii!!
A: Mm huwa namzimia balaa, lakn hata kumpa salamu tu...
101 LIES MEN TELL WOMEN
1. I'll call you.
2. I love you.
3. You're the only one.
4. I've never felt this way about anyone else.
5. I've got to work late at the office tonight.
6. That's...
Hapari wapendwa!
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale
tumekuwa tukichangia hoja za hapa na pale, zaidi kuna uzi mmoja hivi tulikuwa tukiuchangia kuhusu suala la wanawake kuvaa wigi, kila...