Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wanawake waiofikishwakileni/orgasm wanaweza pungu hamu ya mapenzi kwa wapenzi wao
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The new wife was being welcomed at the husband's home in a traditional manner. As expected she gave a speech; "My dear family, I thank you for welcoming me in my new home and family, firstly, my...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi kwa nini wanawake wengi hasa wa kiafrika wanaongoza kutumia ushirikina ili kurutubisha mapenzi.? Je ni kwamba hawajiamini wawapo katika mahusiano au ni kasumba waliyojijengea..? Maoni please.
0 Reactions
26 Replies
6K Views
kamwe sijekuchelewa,kwako mama ninasema, miezi tisa kulelewa,na wewe tumboni mama, maneno ulirushiwa,mbele na ulitizama, Hii ndio siku yako,ishiri sita wa tano, Wengi waliyasema,ni utazaa...
6 Reactions
88 Replies
9K Views
Egyptian general admits 'virginity checks' conducted on protesters Cairo (CNN) -- A senior Egyptian general admits that "virginity checks" were performed on women arrested at a demonstration...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jambazi limeingia chumbani kwenu mkiwa mke na mume huku likiwaonyeshea bastola linawaabia lazima limbake mmoja wenu kati ya mke au mume,ungekuwa wewe ni mmoja kati ya wanandoa hao ungekubali...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Asante MKJJ, Khanga zina matumizi mengi sana.Yafaa tuanzishe thread ya "Matumizi ya Khanga" Baadhi ya matumizi ni: 1.Kutoa jumbe mbalimbali 2.Ni ishara ya mambo mbalimbali hasa ya mapenzi 3.Ni...
0 Reactions
13 Replies
14K Views
Una mchumba, mzuri kwa sura na umbo, mrefu bonge la kaka litanashati. Mmekubaliana kuwa hamna kuparamiana hadi mfunge ndoa kwa kuwa nyie ni walokole safi. Mapenzi yenu yanaendelea, siku moja...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Adaiwa kutaka kumbaka mwenzao Ni mwalimu wao wa nidhamu Wanafunzi wa Chuo cha Uuguzi cha Bulongwa kilichoko Wilaya ya Makete mkoani Iringa, wamemuua kwa kumshambulia kichwani mkufunzi wa chuo...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Da shida sana. Jana tumechoka sana tulikuwa na kesi ya mshikaji wangu fulani hivi. Mke wa huyo rafiki yangu kamshitaki mr kuwa amemdoo HG wao. Mama alikuwa kwenye kampeni kwa kipindi kirefu hivyo...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Penzi linaweza vunja undugu? Nawasilisha wana MMU.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mchumba wangu hataki niendee kumutembelea kituo chake cha kazi. Kadai kaokoka hivyo anaogopa watu, hususan watawa waliopo maeneo hayo.tumeshawahi kupractice sex for many days.kwa ktumia nguvu...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
najua huenda nimekosea njia,lakin pia c mbaya 2kaangalia hii mambo ambayo inanikeraga kupita maelezo na huenda nawe yamewai kuku kumba.nimesoma na kukaa na watu wengi wenye tabia tofauti,ila...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mpenzi wangu Kuthibitisha nimeachana na yule mpenzi wangu wa zamani, nimekuambatanishia na picha siku nilipo mpa mkono yule dada. Bila shaka tutaishi kwa amani na upendo Wako daima Masa Juniour
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna dada yangu amenijia kutaka ushauri,amegundua kuwa mume wake ametembea na rafiki zake wawili,house girl wake,wifi yake yaani mke wa kaka yake,mwanaume huyu katembea pia na dada zake wa...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Nimesikitishwa na story ya kwenye gazeti la habar leo "mwanafunzi mgonjwa abakwa, afa" huku taarifa zaidi zinasema alikua mgonjwa wa moyo na alifariki dunia muda mfupi baada ya kufikishwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo ni siku ya kuzaliwa binti yangu wa pekee (mpaka sasa) mpendwa sana! Kwa mpaka sasa katika maisha yangu, huyu kiumbe ndio kitu kikubwa sana cha mafanikio yangu, na ndio sababu pekee...
8 Reactions
47 Replies
4K Views
kuna tabia moja naiona kwenye blog nyingi in such inaanza kunikera sijui wenzangu kama mmeiona..to be honest blogu nyingi tunazoziangalia watanzania wengi ndo zile zile za kina bro michu,sjui...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
........shikamana! Baada ya jambo fulani jana nilijikuta nafikiria kuhusu watu wanavyoBEHAVE kwenye mahusiano.Wengine utakuta wanaendekeza KIBURI...wengine KUDEKA...wengine KULALAMIKA...n.k...
5 Reactions
108 Replies
7K Views
jamani mimi nina fanya kaz na NGO'S Moja ya kidini so huwa nakvana na watu wengi na kuwasaidia kuna hili nimekutana nalo juz kat nimeona nililete hapa kama onyo..' kalikuja kabinti kamoja karembo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…