Kesi nyingi za kufumania na kujiua au kuua zinafanywa na wanaume .
Hivi ni kwanini?
Kwanini usiamini kuwa binadamu ni nyoka kwenye nyasi anauwezo wakufanya kila atakalo. Na kwahiyo uwe tayari...
wana JF, What about African men???!! just thinking aloud........
1. Fear of commitment
"I had been dating Michelle for about four months when the invitation to her Dad's party arrived. I...
Wajameni,
Nimesoma "article" moja hivi karibuni ambayo mwandishi wake anasema watu wengi hatuendelei kwa kuwa tunang'ang'ania hali zetu za zamani. Anatoa mifano ya watu kupaka rangi nywele ili...
jamani naomba tujadiliane hili, ndoa nyingi za kiislam unaweza kupata mchumba asubuhi na kuoa jioni, lakini kwa wakiristo is complicated. Je kwa experiance yako, ni zipi zinaongoza kuvunjika, za...
Habari za jioni wanajamvi.
Mimi ni kijana wa makamo na nimedhamiria kuchukua 'jiko' yaani mke mwakani.kwa wale wenye majiko au wazoefu wa kamati za harusi naomba msaada wenu katika hili...
wadau wa jamvini, ukweli tumekuwa tukishauriana mengi tena kwa ustarabu na busara ya hali ya juu. Mimi ni mwanafunzi ktk chuo fulan hapa Dar, nimetokea kuwa na hisia za kimapenzi kwa mwanamke...
Wanaume tuna lugha moya tunayoelewana na kukubaliana mahali pote duniani. Lugha hii wanawake wanaweza kuihisi lakini ni ngumu sana kuilewa kwa wao pia wana lugha yao inayowaunganisha wanawake wote...
Mie B, Na date na Dada X,
Inatokea X anakuwa MBALI nami kwa muda mrefu, najikuta Na nasa kwa Dada Y, she is hot and descent, anapata info za X, ananiulizia kuhusu X, nakana kuwa sina mahusiano...
wengi wakikutana na wacchana wakiwa ata nguo ya ndan ikionekana kdogo 2 watasema anatembea uchi bt kwa mvulana akitembea amevaa mlegezo n kawaida y???????????????????
Habari wan JF!!!
Hapa ofisini tuna jamaa (mwanaume) kaajiriwa takribani mwaka sasa umeisha, wakati anahama kutoka alikokuwa (Singida) alikuja na mpenzi wake!
Mpenzi wake huyu jamaa alikuwa...
Hivi karibuni nimerudi Tanzania, nikafurahi kuona wazungu wengi kwenye ndege, hasa ma single hasa wanawake na baadhi ya wanaume wenye hadhi ya kuwa wa maana.
Utani wao wengi kwenye ndege na...
jamani wana jf nisaidieni nina mpenzi wangu ambae nampenda sana, na tumeishi mda mrefu, kuna tatizo limemtokea hivi karibuni, kila tunapo have sex anatokwa na damu ingawa haumii, je tatizo...
Habari za sahizi wapendwa, poleni na weekend na pia nawatakia weekend njema.
Nilikuwa na swali kuhusu wanawake/wamama wajawazito;
Ni kama inatokea mara kwa mara wanawake wajawazito wanakuwa na...
Mtu aliyopo kwenye uhusiano kuwa na wasiwasi na mawasiliano ya mwenzake, inaweza kuwa ni:
1. yeye hachiti kwahiyo anataka ahakikishe na mwenzie hacheat?
2. anachiti ila anadhani na mwenzie...
Na. M. M. Mwanakijiji
Moyo ulianza kunienda kwa kasi, viganja vilianza kulowa jasho, na koo lilinikauka nilipokuwa nikikata kona kuingia katika eneo la Hospitali ya Bombo, mjini Tanga. Moyo...
Wadau,
Ninae mchumba ambae natarajia inshallah kumuoa na sote tumeridhiana, cha ajabu ndg zangu wa karibu hapo awali waliridhia na kushinikiza nimuoe lakini kwa siku za karibuni hao dada zangu...
Sisi wanaume ndo tungekuwa tunapata mimba (ceteris peribus)?
Je wanawake wangeendelea kusubiri sisi tuwatongoze kwanza hata kama wamefall inlove na wangependa kuzaa na sis?
Sisi wanaume na tabia...