Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

naomba unapoweka verse sema ni kama wimbo wa nani vile..... Babu mwana wa Kahena(verse) Nile kama ndizi, nichane kama mic ni wewe wangu wa moyo... Mtoto umetanuka,umechanuka,umewaaaaaaaaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mapenzi ni dhana pana - hakuna ubishi kwa hilo.Ila naona wakati mwingine baadhi yetu tunachanganya au kushindwa kutofautisha baina ya mapenzi na vitendo au viashiria vya mapenzi.Hii imejitokeza...
0 Reactions
19 Replies
11K Views
Wadau wa JF. Hiki ni kisa cha ukweli kilichotokea wiki iliyopita. Ninakiandika kwa huzuni sana na aibu kubwa. Nilikuwa safarini na niliporudi nimekuta kesi hii inafukuta ikiwa imetokea kama siku...
0 Reactions
139 Replies
15K Views
Wanajamvi, mimi ni mdau mkubwa sana wa hili jukwaa na leo baada ya kupata utakaso kidogo nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu nini hasa nia ya kujumuika pamoja jamvini... Nikakumbuka shule za...
1 Reactions
321 Replies
20K Views
Kwanini wapenzi wengi hawadumu ktk uhusiano wao?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Guys baada ya kutujulisha kwa kiasi gani msivyopenda tunavyozika nywele zetu ndani ya mawigi na weavings nimeona niulize kuhusu upande wa mavazi...!Maana hua hamuishi kulalamika sijui tunajiachia...
5 Reactions
164 Replies
13K Views
Wizi mtupu!!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Amani ya Mungu iwe juu yenu. kuna kitu kinaninyima raha kidogo nategemea mawazo yenu yatanifaa. Ni hivi, Mim ni member wa social club fulani,mkurugenzi wa hiyo club ndo alinishawishi nijiunge...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Katika uzi huu binti mmoja huko Kenya aliomba ushauri wa nini afanye kabla na baada ya kupoteza bikira yake na hivi ndivyo alivyoshauriwa..................................... 1) Maumivu...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Wa JF, uchunguzi wangu wa haraka haraka unaonyesha kuwa wanawake ndio wateja wakubwa wa Boda boda (okada)! Mbaya zaidi, wanakuwa defence less na wamekuwa victims wa ajali nyingi sana! Kuna nini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani sijui nanyi ni wahanga wa wanawake wanaojishaua wanapotembelewa na wageni maofisini mwao. Frankly speaking, wanawake wamezidi wanajishaua mpaka inakuwa kero. Kwa kweli ni ofisi chache sana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
nimeoa hivi karibuni ila wakati natoka kumchukua mke wangu nilipokea simu kutoka kwa msichana ambae nilikua na mahusiano nae miaka mitatu iliyo pita ambae arikwisha orewa ananieleza kua mtoto alie...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Hivi ni kazi, kama kazi nyingine au ni umaskini
0 Reactions
20 Replies
3K Views
There was this guy who believed very much in true love and decided to take his time to wait for his right girl to appear. He believed that...
1 Reactions
3 Replies
811 Views
Nauliza hili swali na ninaomba unijibu kwa kadiri ya ufahamu na uzoefu wako. Asante.
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanatembea kwa umaridadi sana, huku wakikata kiuno kifundi na kusababisha maumbile ya nyuma yatingishike ki mahaba. Bwana wehhhh, bahatika kwenda nae chumbani, huoni viuno wala nini. Binti...
0 Reactions
46 Replies
16K Views
Upendo wa kweli ni zawadi ambayo Mungu amempa kila mmoja kwa ajili ya mmoja tu,unaweza kuwa na mahusiano na watu wengi lakini yupo ambae amekita kwenye ubongo wako na hatoki,huyu amaweza kuwa ni...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Wakuu nipo kwenye daladala laa gmboto limejaza gafla ugomvi unaanza kati ya mama wa umri wa kati na mwanaume mwanake anampiga huyu mwanaume tulipo hoji mwanake anaonyesha baibui lake...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Naanza mimi ni wa kwanza. Mawigi yanani-put off sana. Kama na wewe hupendi mke/gf wako avae wigi tafadhali niunge mkono. Natanguliza samahani kwa akina dada mnaovaa mawigi. Msinishambulie mtoto wa...
7 Reactions
169 Replies
11K Views
Habari wana jamii wote,ni mara yangu ya kwanza kuingia huku kwenye forum hii Naomba sana mnipe ushauri wenu kwa haya nitakayoyaeleza hapa Mimi nimeolewa nina miaka 13 katika ndoa, nina mtoto...
2 Reactions
92 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…