Home: Geneva of Africa,mama mchagaa.baba nmgoni.
Nimekuwa nikisafiri kati ya DSM na ARUSHA.Kuna nyakati nalazimika kulala gesti house.Huko gesti husikia vilio vya maraha,kwenye corrido hupishana...
Habari yenu wandugu...natumaini wote m-wazima wa afya!
Linapokuja swala la mahusiano/ndoa na watoto waliozaliwa kabla hua hatuachi kuongelea mama wa kambo na malezi ya watoto.Naongelea wamama...
Hawa watu wanaotumia jf lv conct kusaka wachumba huwa wanafanikiwa?
Na nyie mnaofanya hivyo muwe mnatupa ushuhuda, sio tunakuwa wote kuchangia halafu kitu chako unakula mwenyewe.
Nilibahatika kuwa na m penzi tangu 2006,ambapo pia nilifaulu kuendelea na kdt 5 na baadae chuo na sasa nahitimu mwaka wa 3,wakati wote huu 2mejitahidi kuwa wapya kila mwaka na bado 2napendana.HOFU...
Hivi ni kwa nini wanawake waliopata nafasi ya kupata elimu zaidi wengi wao wanaongoza kuwa na tabia zisizo nzuri za kimaadili, kama vile mavazi yasiyo ya kimaadili, umalaya. Hatimaye baadhi ya...
Ebana wana JF,Mimi nataka msichana wa kuwa naye urafiki,na kama tuki couple tabia tuoane,maana niliye naye hayuko tihari kuolewa na sababu hasemi.
Ila itakuwa bora zaidi kama unaishi mikoa ya...
Kuna mdada mmoja,siyo mzuri sana lakini ni mrefu,mrembo na msomi na ni type yangu na binafsi namuona ni wife material.Nimempenda huyu dada.Yuko single.Ni muda mrefu namtongoza lakini kila mara...
aaah! mods naomba mic niwakilishe.
oh! baby!
nimekaa na kutulia, mengi nimefikiria
Mawazo yamenijia, tangu tulipoanzia
shairi nakutungia , nielewe my dia
mwenzio ninaumia, please say wewe pia...
Tunadanganyana,
navojua baby ni mtoto mdogo tena asieweza hata kuongea, sasa inakuaje leo watu wazima tunadanganyana kwa kuitana majina ya ajabuajabu? Mfano sweet/tamu, kwani kuna mchungu au...
Unakuta girls wengine mkishaachana kwenye mahusiano utasikia anaongea hivi face to face na wewe au anaongea kwa pembeni.''''So this is the person you replaced me with? hahahahahah!''''
Hapo ina...
Hi! Jamani inasemekana kuwa % kubwa ya wanaohudhuria kwa sangoma kuhusu suala la mapenzi ni wanawake, SASA,,,, sababu inayomfanya mwanawake kwenda kwa waganga wa kienyeji ni nini? Je,
1...
kuna binti mmoja ana mpenzi wake anampenda kwa dhati na kujitaidi kumfanyia kila lililo ndani ya uwezo wake... na wana mipango mingi na endelevu ndani ya mahusiano yao..sasa basi kuna siku moja...
Gazeti la daily mail la marekani limeripoti leo hii. Kichwa cha habari,"imf boss dominique strauss kahn semen found on shirt of hotel maid accusing him of sex assault" na linatiririka kama...
Im sorry if i wl nt be understood ,bt i met ths gal after brick the ice it was sex she was screemin in a loud that i hv never heard before,th ws gol scored ,i told her u better leave cz its lyk, i...
Strauss-Kahn DNA 'linked to maid'
Dominique Strauss-Kahn's DNA matches a sample found on the clothes of a New York hotel maid who accused him of sexual assault, US reports say.
bbc...
Mie kiukweli huwa nasikia watu jinsi wanavyo sifia kwenda chumvini na wengine alamba! Alamba! Amu! Yaani kulamba koni sasa juzi ndo nilizidi shangaa kuna dada mmoja ambae tumezoeana sana yaani...
Jana hapa mtaani kwetu tulipokuwa tunabadilishana mawazo ikaibuka mada kuwa akina dada wasomi kuanzia kiwango cha digrii na kuendelea eti wengi wao huwa hawaolewi na hata wakiolewa huwa umri wao...
jamani okoeni hii ndoa wanajamvini...Huyu dada kaolewa miaka 6 iliyopita lakini wakati anaolewa alimkuta mumewe kashajijenga kwa mali nyingi ijapokuwa sio saana! Mumewe kiufupi kwenye 6*6...