Hi wana jf,
mi mwenzenu mara kwa mara huwa najiuliza ivi ikatokea kuwa aya maisha uliopo sasa ni ndoto tu na wewe kiualisia ni mtoto wa miaka mitano umelala ndo umeota maisha ulionayo sasa...
Naweza nikawa nimewakera kwa nia moja au lingine na posts zangu mbalimbali.
nachosema I'M SORRY nilichukulia hii site kama site zingine.BUT MNISAMEHE TU KAMA NIMEWAUDHI KWA CHOCHOTE.
Imenukuliwa kutoka katika utafiti wa 'saidia jamii'....
*****************************************************************
Mimi na mke wangu tumekuwa katika ndoa yapata miaka mi 3 sasa! Hali...
Nimewahi kuwa na wapenzi kwa nyakati tofauti katika nchi kadhaa za kiafrika na Ulaya. kuwa wazi zaidi ni kwamba wapenzi hao wanafikia wanane. watano Wazungu na watatu waafrika.
Miongoni mwa hao...
Kwa baadhi yetu nyie mlio wachafu!
Unajisikiaje kulala bila ya kuoga? na tena kulala na kumkumbatia mpenzi/mke wako huku unanuka jasho
jamani mnatupa karaha,jaribuni kuwa wasafi mkishaanza kuishi...
Dear Malaika...
You were honest and true to me, your love was caring and kind, It turned sadness to happiness, a love that judges with heart and never with the minds, because is...
Kuna rafiki yangu mpenzi ameoa mwanzoni mwa mwaka jana...ni kipindi kirefu sasa amekuwa akiniomba ushauri juu ya mambo kadhaa kwani nami pia nimeoa...ameniambia amekuwa akivumilia sana katika ndoa...
Habari wanajamvi, kama tujuavyo kila mmoja wakati ukisogea huhita kuwa na jiko...hivyo yatupasa kufahamu baadhi ya mambo mhimu ndani na nje ya hilo jiko. Hvyo jamani mimi leo niko hapa kuombeni...
Habari wana JF
Hapa nilipo nina mpenzi wangu ambaye tuna miezi 8 sasa tokea tumeanza urafiki wetu. Huyu mpenzi wangu ananipenda sana lakin mimi moyoni mwangu hayumo kabisa, najitahidi kila mara...
Helo Peeps.. Since Last Year Up Until Few Months, Nilikua Kwenye Uhusiano Na Mtu Maarufu... We Met Through A Mutual Friend At A BBQ And The Attraction Was Spot On For The Both Of Us.. Anywhoo Yeye...
Niliulizwa hili swali nikakosa jibu naomba nanyi munisaidie. Kuna jamaa yuko Jo'burg akamuagiza mdogo wake amuolee mke na nduguye akamuolea,huyu jamaa akaamua kurudi Mafia kiss one(kisiwani) ili...
Imeshakupata au kutokea au huamini kama ipo kitu kama hii?au ni uzushi?
Unakuta jinsi unavyoendelea kuchat na mtu,kuwasiliana kwa simu hata kama hamjawahi kuonana au kuona picha yake unaweza...