Jamani naomba kuuliza
Nikwanini kunakuwa na kutokuelewana kwa wazazi wa mwanaume na wakwe zao?
esp mama mzazi wa mwanaume na mke wa mtoto wake, maana kila ndoa nyingi zina malalamiko haya!.
Kisa...
Wanaume mnaojiliza liza kama wanawake mnaboa sana, mnapiga mizinga kiasi kwamba mmetuzidi mpaka wanawake, mwanaume kama huna hela unatakiwa uonyeshe kwa vitendo na si kujiliza liza kama mmama...
Salaam wapendwa naomba tujuzane ni sabuni gani nzuri inayo safisha ngozi ya mwili vizuri na kutoa uchafu wote unaojificha kwenye vitundu vya ngozi, naamin kwa kufanya hivi tutasaidiana...
Bandugu wapendwa wa jukwaa letu tukufu, nimekutana na huo ujumbe hapo chini na umenifanya nifikirie sana. Hivi nani kati ya Obama na Michelle alikuwa sahihi? Au ilikuwa ni mwendo wa Michelle...
A True Love Never Ends
It was a busy
Morning, about 8:30, when an elderly
Gentleman in his 80's arrived to have
Stitches removed from his thumb.
He said he was in a hurry as he had an
Appointment...
Mvua ndiyo hizi. Ni mategemeo yangu kuwa wakulima tumeipokea kwa mikono miwili na kuifurahia sana. Kwani ni matarajio yetu kuwa baada ya miezi kadhaa tutavuna mazao kedekede kutokana na mbegu...
Unatembea na mamsap kwenye Mall au mtaani na katika pitapita mnapishana na kigori ambaye ni 'fwine' kweli kweli. Umejaribu kujizuia kugeuza shingo lakini kutokana na udhaifu wako unageuza...
Nilipata maneno haya toka kwa firstlady1, lakini kumbe naye ameyatoa kwenye biblia takatifu, nanukuu ''Kwa hiyo jihadharini roho zenu; mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana...
Napenda kuwasalimu kwa
Herufi kubwa wataalum wote
wa mambo ya nje na ya ndani ..
nway hii ndo situation yenyewe..
mtu na mke wake ni wapenzi wa muda
mrefu sana tangu shuleni .. wameoana
miaka...
Wapendwa nimetoka kuongea na Kaizer na ameniTAARIFU kuwa nyumba yao imebarikiwa mtoto wa KIUME...........
Mungu mwenyezi utukuzwe kwa utukufu wako tunaoendelea kuushuhudia! Tunawaombea afya...
Police: Man used hand weight to bludgeon fiancée
By Arelis R. Hernández
Orlando Sentinel
Updated: 10:10 a.m. Tuesday, April 12, 2011
Posted: 7:40 a.m. Monday, April 11, 2011
Ruth Owino...
Kipindi cha Kwaresima kinakaribia kufika ukingoni.
Nawatakia maandalizi mema ya Pasaka,Yesu anapofufuka,akafufuke katika uchumi wa familia zenu,mahusiano mema ya familia zenu,na Upendo uliokwisha...
Politician in Malaysia nudity row
Politician in Malaysia nudity row
Elizabeth Wong tearfully offered her resignation at a news conference
A prominent Malaysian opposition politician has...
Nitajuaje kama ananipenda?mpenzi wangu kila leo yu busy hata iwe kipindi cha holiday ukimpigia simu atakupa sababu mara ntakuchek mida,mara nipo kwenye kikao,mara nipo busy mara nyingi huwa...
Za leo wa ndugu,
Naomba niulize, na hili swali ni kwa wanaume hasa, au kama na wanawake wenzangu mnaweza kufahamu nitashukulu michango yenu pia.
Hivi! ni kweli kweli kweli kabisa katika haya...
Wakuu kuna kisa cha ukweli mke wa rafiki yangu kalala na mwanaume amekutana nae facebook tena kwa aibu kubwa mana wameanza kuchat ndani ya mwezi mmoja tayari wakasex na kibaya zaidi huyu demu mke...
wana jf natangaza ndoa
mwenye pingamizi aweza litoa
ndani ya saa 24 kuanzia sasa
na kama pingamizi hakuna
basi ndoa itakuwa imehalalishwa
na ujue kuwahi sio kupata
na naomba pingamizi lisiwe na...