Huyu ni msichana ambaye nilianza kumfatilia toka mwaka 2009 mwanzoni. Mwanzo aliniambia anihitaji, nilipojitahidi kumbembeleza aliniambi kwamba hakuna kitu anakichukia kama mapenzi japo hakunipa...
Kutoka kwenye experience yangu binafsi.
Nilikuwa na mrembo, mambo yalikuwa mazuri sana kati yetu... Tukapitia mengi sana kwa takribani miaka 3.
Mipango ilikuwa mingi sana baina yetu.... baadae...
KATIKA hali ya kuonyesha mmomonyoka wa adabu unazidi kushika kasi kwa baadhi ya watu, mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Rabia [32] amejikuta akipata aibu ya mwaka baada ya kukutwa...
Mi jamani hii inanikera sana hadi sasa hivi nimejikuta sipendi kuchakachua tena! Kwani demu anakupigia simu na kubeep mara kibao nimekumiss, nimekumiss afu ukikutana nae anaanza kukuomba hela na...
One of the things I always believe about people is that each one of is purposefully , perfectly and uniquely made/born. We are unique from one another. The way I was created (if you believe in...
Someni hii:
"I don't know why...there's just no spark left, you don't pay enough attention to me and our sex life and I guess I don't either!"
This is a common sexless marriage situation...
Nimekuwa nikionana wamama wengi hawawapendi wake au wachumba wa watotot wao wa kiume bila sababu maalumu hii inasababishwa na nini.
Kuna kijana mmoja (true story0alilelewa kwenye kituo cha watoto...
Niaje, hii statement ilikuwa inanichanganya sana na mawazo yang mwanzoni yalikuwa yakitofautiana na hii statement. let me say it again " between men and women there is no friendship possible...
Wapenzi wangu
Ni matumaini yangu kuwa wote mlikuwa na weekend jema na mmepumzika vya kutosha.
This weekend dadangu amejikuta akikumbwa na majaribu from one of her long time secret lover (sijui...
Kuna mdada mmoja mfanyakazi mwenzang kaolewa ana mme na mtoto mmoja, kinachoniuma ni kwamba huyu mdada anakipato kikubwa kumzidi mmewe sasa akikorofishana na mmewe anaanza kuwaambia wafanyakazi...
Tuna watoto wawili ktk famlia yetu, binti na wa mwisho ni mvulana. Mvulana ana mwaka mmoja na miezi sita. Sasa kinachonitia aibu ni kwamba huyu mtoto wa kiume tunapombadili nepi hua anashika nyeti...
Mambo zenu wana jf. I hope mu wazima.
Kuna mdada nilido naye sasa cha kushangaza anasema ana mimba yangu wakati tuli do siku ya 23 ya mzunguko wake na anadai mzunguko wake nikat ya siku 26 mpaka...
Habari zenu great thinker, nina tatizo ambalo naamini naweza kupata msaada kutoka kwenu.
Nina mpenzi ambaye tulifahamiana wakati wa shule yeye akiwa mwaka mmoja mbele yangu A-level lakini hatukuwa...
Wakuu wanajukwaa,
Natumaini wote mpo fine. Jamaa yangu ambaye tumeoa nyumba moja, (yeye kaoa Mkubwa, mimi mimeoa mdogo mtu) kakosea alitaka kutuma ujumbe kwa nyumba ndogo yake badala yake akatuma...
Ndugu zangu,
Habari ya Karume Day. Leo nakuja na swali jingine la kizushi. Je, tukiamua nchi nzima tusifanye ule mchezo wa kikubwa kwa mwaka mzima ni nani 'watakaozidiwa' kiasi cha kuonekana...
Nimepata kuona, kusikia na kutendewa hiki kitu.
Nauliza hivi kwanini Wanaume hawapendi kuambiwa:
"Leo inabidi tuzungumze kuhusu jambo fulani" "Today We need to Talk"msisitizo.
Nimeona...
Hi everyone outhere,Iam DAn and its just that Im so much in need of
a soulmate.First she should be searching too to avoid wasting time.
Two she should be ready for a serious...
Samahani kama nimekukwaza. Nina swali moja kwa kina dada walioolewa na mwanaume ambaye ana mke zaidi ya mmoja kwamba Je huwa wanajisikiaje mume anapoaga kuwa anaenda kwa mke mdogo au mkubwa...
Habari wanathnker ni muda mrefu ckuwepo online hii ni kutokana na kufight kwa hali ngumu ya maisha. 2ache hlo leo nimeona 2saidiane suala hil kwa hv sasa naona kama ni fashion kwa watu weng kuwa...