wanawake wengi wamekuwa wakiwaachia waume zao au ma bf wao kazi ya kuosha vyombo baada ya mechi na wengine kwa kisingizio cha kuchoka husahau hata kuosha vyombo huamua kuvilia vikiwa vichafu je...
Habar zenu wangwana humu ndani! Na2main mpo poa, na kwa wale wanaojisikia vibaya poleni..Sasa nina rafiki yangu wa kike hapa chuoni, ambae anapend sana kunishirikish katik mambo yake kama marafiki...
Waheshimiwa
Na wataalum wote
wa mambo ya mahusiano,mapenzi na urafiki
naombakuuliza ni nini au ni kitu gani
Kinacho mfanya mtu kuoa au kuolewe?
Je ndoa zote ni matokeo ya upendo wa hali ya...
salaam alkum wandugu...naomba kuwakilisha,hivi we una boy/girl lover wako,inakuwaje mnapo kuwa mnado majambozi unakujaa kuadisia rafiki...mara ooh!yuko hivi ana nanii mda mfupi/mrefu.ni ulimbukeni...
Wapendwa wangu
Its my greates hope kuwa mu wazima kabisa. Nimewamisije mwenzenu?
Nway nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kuhusu mahusiano najikuta natoka kapa. The more you struggle to...
hebu fikiria una Gf wako ambae mna aminiana sanaa na huko nyuma mlisha wahi kupima na kukutwa mpo safi hali hii imewapelekea kuwa mnacheza mechi bila refa but sikumoja katika pekua pekua kwenye...
Kwenu wana jamvini naja kwenu kama kawa na mada hii hivi karibudi kumezuka tabia ya ajabu ndani ya ndoa wanawake wengi wamekua wakilalamika kuwa waume wao wamekua wakitaka mtindo wa kuruka ukuta...
Life can be pretty amusing, depends on how you live it!
Two sides to a story(Husband vs Wife)
Two women are chatting in the office.
Woman 1: I had sex last night, did you?
Woman 2: Yes...
Jamani, nina rafiki yangu wa kike, yeye anapenda sana kufanya mapenzi.Yaani kama siku sijaenda kazini, anataka mchana apate round kadhaa, usiku tena round kadhaa, ikiwezekana anataka si chini ya...
Kuna maada ilipatwa kuzungumzwa na kituo cha radio mahali. Wanawake walio kwenye ndoa walikuwa wanajieleza jinsi wanavyopanga kuwaacha waume zao - mara jambo fulani wanalolitegemea likikamilika...
wasalaam wana mmu....!
nimekuwa nikikumbana na wimbi la kila msichana ninayetaka kuanzisha naye uhusiano kunambia 'nina mtu'...na hata ninapo muonyesha kuwa niko "for real" bado "hujishebedua" tu...
Nishasikia kina dada kibao tu mtaani,makazini na kwingineko wakisema kwamba ni bora upate mume asiye na pesa au mwenye pesa ya wastani tu kiasi cha kubadilisha mboga.Wengi wa hawa akina dada ni...
Wapendwa habari za jioni.!!!
Hapa kuna kitu nimekigundua JF especially MMU.
Watu tulitoa ushauri wa kuanzishwa jukwaa la kutafuta wachumba maana hizo thread zilizidi sana na kuudhi kwa kiasi...
kwenu wana jamvini hapa home kuna mchiz wangu tokea long time ameona na ana mtoto mmoja na mkewe wametoka mbali mno but kadem flani ambacho kanaishi maisha ya kubangaiza kalijenga ukaribu sana na...
Binafsi hua nafikiria siku nikiwa kwenye mahusiano alafu mwenzangu akawa sio mwaminifu...mtu wangu yeyote wa karibu akajua ningependa aniambie.Na ikitokea asipofanya hivyo nikaja kugundua alijua...
Kuna hili swali linanisumbua sana kichwani mwangu:
Hivi inakuwaje msichana anaweza kutoka kuongea na shoga yake kuhusu habari za msichana mwenzao ambaye amepewa ujauzito na lijamaa tu la mtaani...
Ngd wanajamvi ashakum si matusi ila naomba nitoe kidogo mawazo yangu juu ya matumizi sahihi na salama ya BAKORA na MASHINE.
Nikianzia na Bakora-
Sote tunajua kuwa bakora ni kifaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.