Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

jamani wanajamvini mnalipi la kusema juu ya hili? Jamaa yangu hapa home ana duka siunajua mpemba so amempiga marufuku mkewe kuvaa kufuli ili atakapo jisikia mzuka tu ajimwage kwa raha zake lakini...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimepata mgeni jana wa kike, amelala kwangu na kesho anaondoka kuelekea kituo alipoajiriwa. Tulisoma wote kigoma na kwa sasa ameajiliwa hapa kijijini kwetu kikazi. Hamjui mtu huku tofauti na...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
hellow everybody! Jamani hii ni mara yangu ya kwanza kuwa humu, so naombeni mnipokee,! Mimi ni msichana wa miaka 25,nimemaliza chuo kikuu mwaka jana. Tatizo nililonalo ni kwamba,nilipata...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
hellow jf memberz, wazima? Am just looking for a man who knows how to love! Any man pls?! Am 25...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Hebu fikiria siku moja umemtoa mkeo out alafu huko mnakutana na mabinti warembo kupindukia ghafla unaanza kukodoa mijicho mkeo nae anakushtua kila saa but huelewi mwishoe anaamua kuondoka kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
inakuaje msichana anakulazimisha kujitambulisha kwenu?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wana Jf naombeni ushauri. Je ni vibaya kutolewa mahari muda huu harafu harusi ikafuata baadae, labda mwaka kesho kutwa hivi ndio maandalizi ya harusi yawepo?
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Please read from the bottom
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Contraceptives interfering with our love life Published on 10/02/2011 Related Stories...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
:angry::angry::angry: New York (CNN) -- A 10-year-old boy escaped out of the window of a sinking minivan after his mother drove the vehicle with her three other children into the Hudson River...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
kuna mdada mmoja sikuwahi kumtongoza nilifahamiana nae kikawaida.kiofisi zaidi.... sasa juzi nimekutana nae...nikamwambia karibu weekend moja maeneo ya kwetu... akanijibu subiri nilee...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Hii ni mila imetapakaa haswa nchi za africa magharibi(nigeria,ivory coast,liberia etc).Binti akipevuka,vititi vikianza kuchomoza tu,akina mama watu wazima huchukua jiwe la kusagia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
H abari wapendwa,si mgeni sana humu ila huwa nasoma zaidi kuliko kuchangia mada mbalimbali za jf na naridhika na michango ya wachangiaji karibia wote wa forum hii.Leo nna tatizo langu si kubwa...
0 Reactions
144 Replies
10K Views
Wana Jf! Naomba nikalibishwe kwenye Jumba la wana JF.
0 Reactions
5 Replies
961 Views
Wanasema tu mapenzi huja na kukaa au kuondoka yakitaka. Na akupendae mpende lakini hii hutegemea na type yenyewe. Mimi nashangaa, najiuliza sipati jibu. Ninapoishi kwasasa nimezungukwa na...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Dalili ya mvua ni mawingu ingawaje baadhi ya wakati inaweza kunyesha bila ya hata kuonekana mawingu ya kuridhisha kama dalili yake. Na ni kama hivyo, kabla ya kuachwa huwa zipo dalili tofauti...
1 Reactions
63 Replies
25K Views
Mi naona kama sio vizuri kwa wanandoa au wapenzi kulala kitanda kimoja huku mmevaa night dresses. Sijui mi mshamba!!!!!!!! Hebu kwa wenye maoni tofauti watoe ili labda nifikirie upya...
0 Reactions
169 Replies
18K Views
Please help me get rid of this manipulative woman Your remarriage is not the issue here. The issue is whether you had healed enough and were emotionally ready to make such a...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
msaada wa mawazo wadau. Nina rafiki yangu kaachwa na mpenzi wake sababu ni kwamba hakumwambia ukweli kuhusu mahusiano yake ya zamani sasa jamaa kajua ukweli na kamwambia hawezi kuendelea kuwa nae...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi inakuaje unafika home na kukuta mkeo anachat na mtu kupitia facebook,unamuomba ucheki unakuta jamaa kamtumia meseji eti ni x wake na anamlaumu kwa nini hawakuagana rasmi.....unataka...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom