Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari za asubui wanajamvi wenzangu?natumaini mupo powaa! Ningependa kueleza tukio dogo ambalo limetukia ivi majuzi ili liweze kutufunza sisi na jamii inayotuzunguka. Rafiki...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Hivi kwanini baadhi ya nyie akina dada anaua watoto mliowatafuta kwa starehe zenu? Mtu unajiachia mwenye tena bila kinga yoyote, then ukipata mimba unatoa, je hamjui kuwa hapo anafanya mauji ya...
2 Reactions
118 Replies
8K Views
Kupenda ni jambo muhimu katika maisha ya mwanadamu, kwa sababu asilimia kubwa ya matendo ya mtu huongozwa na mapenzi. Miongoni mwetu kuna watu wanapenda waume/wake zao, mali, watoto, magari...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni swali najiuliza kuwa kama dada yako anajaribu kukuunganisha na rafiki yake ukimkatalia inaonekana anajua taste zako na kuwa anakutakia mema? Ukimkatalia si uonaonekana humuamini? Inakuwaje...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wengi husherehekea birth date zao kila zinapofika. Huwa hawajali kuwa wameupunguza mwaka wao mzima wa maisha yao huku pengine hakuna hata moja alilolifanya la maana la kujisifia hata yeye mwenyewe...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimepokea taarifa leo asubuhi kuwa member mwenzetu Susy amefiwa na Dada yake aliyekuwa akiishi Gongo la mboto. Msiba huo umetokana na madhara ya mabomu yaliyotokea gongo la mboto. Taarifa za...
2 Reactions
93 Replies
7K Views
Wa FJ nilikuwa sipo hapa nchini sasa nimerudi na nategemea kuwa nitakutana na wana JF hapa Moro nitakapokuwa nikiishi sasa naomba nikaribishwe. Ni kweli kuna siku nilisema ipo siku angalau...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Bwana mmoja mwenye tabia ya kubeba wake za watu huko Kimara juzi kati amefumwa akiwa na mke wa mtu. Huyo bwana kachabangwa mabao na kumwagiwa mitusi mbele ya kadamnasi na mwanamke ambaye...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
heshima kwenu jf!naomba mnisaidie kujinasua kwani kwa juhudi zangu nimeshindwa.mwenzenu nimejikuta nikiangukia ktk mtego wa mapenzi na mke wa m2 baada ya vishawishi vyake vya mda mrefu, hata...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
nawasalim wote wa umri wangu, juu yangu na chini yangu. Jamani lisemwalo lipo na kama halipo wewe lingoje ck moja litakutokea. Wekend hii nikitokea mikoani kuja Dar tulikaa siti moja na dada wa...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Wanaume wa kabila moja la kanda ya ziwa (watani zangu) wengi wana sauti nyororo/nyembamba sana, japo wanalipa. Je unalijua hilo kabila? Na wanaume wenye sauti ndogo ni wanaume wenye tabia gani...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Najiuliza tu....how do people feel when they are facing this kind of situation.. Umekaa na mtu wako kwa muda, then out of blues akaamua kusitisha mahusiano yenu (wengine kwa...
0 Reactions
749 Replies
36K Views
Huwa najiuliza hii kuwasakama watu wanafanya mapenzi ya jinsia moja wanasakwamwa kwa lipi!kama wao wanapenda na wahaingillii faragha ya mtu /watu wengine! Kama ni dini mbona dini imekataza mambo...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
WanaMMU, Mi bado kuelewa kitu. kwanini wanawake tu wavumilie matatizo ya wanaume ili hali mwanaume hawezi kuvumilia? kwani sie wanawake ni mitambo ya kurekebisha tabia, kwamba nikivumilia...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Skin bleaching a growing problem in Jamaica slums...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Kuna hii tabia ya mabinti (hasa wa vyuo) unapomwita mmoja bar wanakuja watatu mpaka watano, halafu wakifika baada ya kuagiza vinywaji vya gharama (Redbull, Savanna, nk) hudai kwamba hawajala...
0 Reactions
81 Replies
6K Views
Women hit men but men can't hit back?
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Marriage is good especially when its purpose is fully known and understood. These days the purpose of marriage is no longer known and women get married for all the wrong reasons. All of us wanna...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Love & Sex Are you telling your partner a little bit too much? It can be risky to share everything with your partner, and silence can...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana JF-MMU! Nitafurahi kama nitapata ushauri wa malezi ya mtoto wa kiume mwenye miaka 10. Mimi ni single mama wa huyo kijana. Swala ni kuhusu elimu ya mtoto huyo, ni kijana mwenye akili sana...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom