Katika jamii yetu (Tanzania) mwanamke hapati elimu bora , anaonewa ndani ya nyumba,ndani ya madaladala (usafiri),kazini.e.t.c
ili kuepusha haya mambo inabidi mwanamke apewe
-elimu bure toka shule...
Nilikuwa na mjadala na rafiki yangu mmoja siku chache zilizopita kuhusiana na tabia ambayo miaka hiyo ya 47 tulikuwa hatuchukulii kwa namna yoyote mbaya na ambayo bado inaendelea kwa namna moja au...
Wapendwa wana JF,
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitabika na hii kitu. Mara nyingi niwapo katika mizunguko yangu nikikutana na mdada yeyote yule aliyejazia jazia hamasa yangu kubwa huwa kumuangalia...
You may be wondering how these foods can boost your sexual drive, but they certainly have the ability to do just that. Such foods may be consumed or used to enhance your relationship by having a...
habari wapendwa wanajamvi,
naombeni ushauri maana nipo njiapanda pale nilipojikuta nikiwapenda watu wawili kwa wakati mmoja.sijawa na mahusiano rasmi na yeyote kati yao lakini ni marafiki nilionao...
Habari nilizozipata sasa hivi ni kuwa mmoja wa member wa JF amefiwa na Baba yake leo asubuhi.
Tumwombee apate kufarijika katika kipindi hiki kigumu.
R.I.P Baba Pearl...
waungwana! nilikuwa na mchumba,toka mwaka 2004,nikamtoa form four na sasa anamalizia degree ya education mwezi wa sita mwaka huu,mwaka jana mara tu baada ya kumlipia ada ya mwaka wa mwisho,kesho...
Heshima mbele wanajamvi,ni hivi nina marafiki zangu wawili ambao wao hawajuani bado ila mimi ndio nawajua
Sasa rafiki yangu no 1 alikuwa na my girlfriend wake kwa muda mrefu tu,akaamua kubadili...
Bibi mwenye umri wa miaka 92 wa nchini Marekani ametiwa mbaroni kwa kumpiga risasi mwanaume jirani yake ambaye alikataa kumpa 'denda' bibi huyo ambaye alizidiwa na penzi kwa jirani yake ambaye...
Una mpenzi wako wa kiume umekaa nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu na wakati wote huo mmekuwa mkifanya mapenzi. Imekuja kutokea wewe umeamua kubadili mfumo wa maisha kwa maana ya...
nina umri wa miaka 25,ninahitaji girlfriend mwenye umri kuanzia 18-23,awe atleast amesoma mpaka kidato cha sita,mkiristo,anayejiheshimu,mrembo na sifa nyingine nzuri. kama upo interested...
Luv is a game easy to start difficult to end.
I thought I could control luv but sasa siwezi kuyaacha mapenzi, labda mapenzi yaniache mimi.
Na nitamwacha mpenzi/nitaachwa ila mapenzi yako pale...
jamani hili tangazo mi silipendi sana hasa kipindi hiki ambacho nataka wakwe wakanitambue! jamaa kajitahidi ana vx, nyumba kali, kazi ndefu na demu wake atakuwa mkali vilevile ila tatizo hana...
Nimekaa nikawaza kidogo na kujiuliza hili swali. Yawezekana yaliyonisababishia kuwaza haya nimeyapitia jana, juzi, miezi kadhaa, ama miaka kadhaa nyuma.
mapenzi ya wawili waliokutana kwa bahati...
hawayuu JF!
jamani naomben tushee experience kidogo. hivi kile kinachoitwa learn to love (kujifunza kupenda) kama nimepatia kiinglish, ni kitu ambacho kinawezekana kweli??
me nimepata hii doubt...
Kuna huyu mwanamke ambaye nikiwa kijana nilimfuatilia kwa muda wa miaka minne alikuwa bikra hakuwai kumuona mwanaume..tumekuwa marafiki kwa muda wote huo..sasa ikafika kipindi urafiki ubadilike...
Jamaa yangu hapa ana mke mrembo haswa na jamaa linampenda kweli kweli mkewe. Tatizo ni kuwa mke ana vijitabia ambavyo jamaa vinamkera saaaana.
Huyu mwanamke anapenda hela huyu balaa, anafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.