Sielewi nini kinachotusababisha tuwe na ubinafsi Fikiria weweunamfumania mkeo kwanza usipo muua utamua uliyemkuta naye au kumdhuru au kitu chochote kinachokaribia hapo!!Sasa inapokuja kwa Wewe...
This is the best and most civil way to have a fight between husband and wife instead of resorting to physical force...
Poems written by WIFE and HUSBAND.
WIFE:
I wrote your name on sand it got...
Mume ana mtoto wa kiume na mke ana mtoto wa kike (au kinyume chake), wanaoana. Katika mazingira hayo watoto wakikua na kupendana wanaweza kuruhusiwa kuoana? Kwa hali ya kawaida ni lazima...
hawayuu JF!
jamani naomben tushee experience kidogo. hivi kile kinachoitwa learn to love (kujifunza kupenda) kama nimepatia kiinglish, ni kitu ambacho kinawezekana kweli??
me nimepata hii doubt...
Nawapenda nyote, na ninawasalimu pia!!!
katika soma soma ya habari wapendwa kuna habari na picha nimekutana nazo zimenitoa machozi, nimesikitika sana, na nimeumia sana, sijui wewe mwenzangu ndio...
Wana FJ.
Katika ndoa kuna mambo mengi kuna wakati wa furaha na karaha kuna kupeana na wakati mwingine kunyimana pia. Utasikia mchana mtu na mke wake wanatupiana maneno makali hadharani. mr...
Imekuwa ni kawaida kusikia ugomvi baina ya wamama na wake za watoto wao wa kiume(wakwe zao)
Hii ni kutokana na wamama wengi kutotambua nafasi yao pindi watoto wao wanapopata wake.
Kwani kabla ya...
Sijawahi kuwachukia wanaume wote kama kundi...ila kuna baadhi wenye tabia za ajabu ajabu nawachukia sana.Hawa ni wale wenye maneno mengi....ya ukweli au ya uongo...mwanaume akishaanza kutumia...
Penzi la dhati ndiyo bidhaa adimu kuliko zote maishani. Haiuzwi kokote, ukiipata unaweza usiithamini, thamani yake ukaiona ukisha ipoteza.
Ukipendwa kwa dhati nawe thamini penzi unalopewa.
Mchumba angu alisafiri wiki 2 zilizo pita kwenda Loliondo kunywa kikombe kwa babu. Nilivyo muuliza gonjwa gani sugu linalo kupeleka huko kwa babu akasema Kisukari huwa kinamsumbua mara kwa mara...
Hivi kawa nini kwenye mapenzi
ikitokea umeambiwa au umemwambia mwenzio
niko bize sana.......
Always huwa inaleta ugomvi au kutokuelewana??????????
I mean kama mtu uko bize sana kikweli...
Heloooooooooooooooooo
wapendwa nimedaka hii. Kuna moto unafuka chini kwa chini. Kwa kuwa mimi nanusaga harufu kali nikainasa. Kama ambavyo niliwahi kusema huko kuwa nilikuwa na mke wa kwanza na...
Yesterday I was ago between, trying to resolve a conflict between my friend and his girlfriend. The subject was abortion. The guy started showing his dubious acts to his girlfriend when she told...
Pengine watanzania tulio wengi huwa hatupo makini sana na mambo ambayo yanaweza kutujenga au kutuathiri sana maishani.
Kwa sasa imekuwa ni desturi kama si kawaida kwa wengi wetu kuwatumia...
You are watching a live promotion, take for instance Vodacom promotion, a representative announces that X had won 10m prize.
1st phone rings 10 times but the owner doesnt pick it up. (Tayari...
Wana JF lipi ni la busara kati ya haya mawili kuhusu simu ya mkononi. Je, ni busara kufuatilia (kupokea) simu au meseji za mwenzi wako au ni busara kila mmoja aweze ku maintain simu yake na kuacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.