Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Leo nimepata ugeni nyumbani kwangu wa binti mmoja ambae alikuja kuniona na wife akitafuta ushauri baada ya kuumizwa na mwanaume aliemwamini kiasi cha kuwa huru kumpatia ule uthamani wake kama...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hapo ndo unasema leo ni leo, nimefumania mume/shemeji/kaka/mkwe wangu. Then!!!! So think a while...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni rahisi sana kushauri hapa jukwaani. Hata hivyo ni very tricky kushauri live hasa kwa rafiki yako. Ukweli ni kwamba mara nyingi rafiki yako anapokuhadisia juu ya mapungufu ya mpenzi wake...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
nawasalimu sana, nadhani mmepokea salamu, napiga hodi
0 Reactions
10 Replies
1K Views
sikuweza kupata habari in details but kijuu juu nimesikia kuna mama anaitwa mama shughuli ambaye anapita hosteli za wasichana ili kuwafundisha mambo ya chumbani...na wanamlipa huyo mama.. sasa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Team..hop mpo salama.nina uhusiano na bnt takrban miaka mi3..nimemsoma na kila niktaka kuamua nimuoe roho ikasita,hasa baada ya kumshrkisha Mungu..nikafanikiwa kuanzsha Uhusiano mwngne pemben lakn...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Mnaotafuta wachumba jf muwe na maelezo yenye shibe humu wanawake wa jf wameitimu Bagamoyo chuo cha sanaa nawengine wapo Nyumba ya sanaa!!Hivyo kuweni makini msijekuta mnanachumbiwa wenyewe!!
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Is it wrong for your friend to date your sister or your Brother,not that they had known each other before he got to know her/him through you,is it Cool???
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanaJF,mie ni kijana wa kiume na ninatafuta msichana alie tayari kuwa nami kwenye mahusiano. mie ni graduate na natafuta mwenye elimu kama yangu. awe na kipato cha kujitosheleza. awe...
0 Reactions
134 Replies
8K Views
Nakuja nyumbani Tanzania mara moja kutoka Holland mbako nasoma. Likizo yangu ni ya wiki 2, natafuta mtu mzima wa kula naye goodtime kwa kipindi nitakapokuwepo Bongo (DAR). Umri kuanzia 28-45 ili...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Wana JF; Kuna rafiki yangu nlikuwa naye majuzi kati. yeye ni Daktari ila aliniambia haya kuhusu mahusiano kwamba: 1. Mhasibu yeyote lazima katika maisha yake siku moja atafanya mapenzi na house...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wepesi wa kutema Big G (chewing gum)kwa karanga za kuonjeshwa huwafikisha watu pabaya jamani. Mtu una mpenzi anakupenda kufa. Unakutana na mtu siku moja tu anakupagawisha unaamua kumtema mpenzi...
0 Reactions
26 Replies
12K Views
According to nature a lady is meant to be taken care of by a man. But sometimes it goes beyond control. You load airtime on her phone but she never returns a call unless there is something she...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
NINA RAFIKI YANGU WA KIKE NI MFANYAKAZI ANAOMBA USHAURI KATIKA HILI. ANA RAFIKI YAKE WA KIUME WANA UHUSIANO KWA MUDA WA MIAKA 9. SASA HIVI MWANAUME ANAMWOMBA AMUOE , ILA MWANAMKE AMEKATAA NA...
1 Reactions
221 Replies
28K Views
igweeeeeeeeeeeeee!! jf. kwa muda sasa watu wamekuwa wakiwatafuta wenza kupitia forum hii, sasa nashangaa kwa nini hawaleti mrejesho nyuma(feedback)??. Yaani kama kwa babu watu wanagonga kikombe...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wana MMU,. Mwaka mmoja nilikutana na mdada mzuri sana, tukapendana. Uchumba ukatimia, tukavishana pete yetu! Tatizo mdada akawa anakavmba kchwa, nkmpigia cm anagoma...Anafoka! Nikawa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Mimi ni msichana wa miaka 28!nimekua na mahusiano na mkaka mwaka sasa na hapa nilipo ninaujauzito wake wa miez 9.tatizo ni kwamba jamaa alikua anasumbua sana swala la kuwaambia wazaz wake kuja...
0 Reactions
130 Replies
9K Views
Asalam aleykum wadau wote, mimi ni kijana mwezenu na nimeoa miaka 3 iliyopita na nimejaliwa Mtoto mmoja wa Kike wa kuzaa..kilichonisukuma kuandika mada hii ni kupata ushauri kutoka kwenu kwani...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
He's worth $43 million dollars but Hugh Hefner is not putting a pre-nuptial agreement in place with new wife Crystal Harris. The 84-year-old mogul is apparently unconcerned by any suggestion...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nina rafiki yangu mmoja ambaye anaishi wilaya ya kinondoni (eneo na mtaa sitataja kwani ni kisa cha kweli) yeye na mke wake walikuwa wamejaliwa kupata mtoto mmoja. Rafiki yangu huyo siku moja...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Back
Top Bottom