Leo nimepata ugeni nyumbani kwangu wa binti mmoja ambae alikuja kuniona na wife akitafuta ushauri baada ya kuumizwa na mwanaume aliemwamini kiasi cha kuwa huru kumpatia ule uthamani wake kama...
Ni rahisi sana kushauri hapa jukwaani.
Hata hivyo ni very tricky kushauri live hasa kwa rafiki yako. Ukweli ni kwamba mara nyingi rafiki yako anapokuhadisia juu ya mapungufu ya mpenzi wake...
sikuweza kupata habari in details
but kijuu juu nimesikia kuna mama anaitwa
mama shughuli ambaye anapita hosteli za wasichana ili
kuwafundisha mambo ya chumbani...na wanamlipa huyo mama..
sasa...
Team..hop mpo salama.nina uhusiano na bnt takrban miaka mi3..nimemsoma na kila niktaka kuamua nimuoe roho ikasita,hasa baada ya kumshrkisha Mungu..nikafanikiwa kuanzsha Uhusiano mwngne pemben lakn...
Mnaotafuta wachumba jf muwe na maelezo yenye shibe humu wanawake wa jf wameitimu Bagamoyo chuo cha sanaa nawengine wapo Nyumba ya sanaa!!Hivyo kuweni makini msijekuta mnanachumbiwa wenyewe!!
Is it wrong for your friend to date your sister or your Brother,not that they had known each other before he got to know her/him through you,is it Cool???
Ndugu zangu wanaJF,mie ni kijana wa kiume na ninatafuta msichana alie tayari kuwa nami kwenye mahusiano.
mie ni graduate na natafuta mwenye elimu kama yangu.
awe na kipato cha kujitosheleza.
awe...
Nakuja nyumbani Tanzania mara moja kutoka Holland mbako nasoma. Likizo yangu ni ya wiki 2, natafuta mtu mzima wa kula naye goodtime kwa kipindi nitakapokuwepo Bongo (DAR). Umri kuanzia 28-45 ili...
Wana JF;
Kuna rafiki yangu nlikuwa naye majuzi kati. yeye ni Daktari ila aliniambia haya kuhusu mahusiano kwamba:
1. Mhasibu yeyote lazima katika maisha yake siku moja atafanya mapenzi na house...
Wepesi wa kutema Big G (chewing gum)kwa karanga za kuonjeshwa huwafikisha watu pabaya jamani.
Mtu una mpenzi anakupenda kufa. Unakutana na mtu siku moja tu anakupagawisha unaamua kumtema mpenzi...
According to nature a lady is meant to be taken care of by a man. But sometimes it goes beyond control. You load airtime on her phone but she never returns a call unless there is something she...
NINA RAFIKI YANGU WA KIKE NI MFANYAKAZI ANAOMBA USHAURI KATIKA HILI.
ANA RAFIKI YAKE WA KIUME WANA UHUSIANO KWA MUDA WA MIAKA 9. SASA HIVI MWANAUME ANAMWOMBA AMUOE , ILA MWANAMKE AMEKATAA NA...
igweeeeeeeeeeeeee!! jf. kwa muda sasa watu wamekuwa wakiwatafuta wenza kupitia forum hii, sasa nashangaa kwa nini hawaleti mrejesho nyuma(feedback)??. Yaani kama kwa babu watu wanagonga kikombe...
Habari wana MMU,.
Mwaka mmoja nilikutana na mdada mzuri sana, tukapendana. Uchumba ukatimia, tukavishana pete yetu! Tatizo mdada akawa anakavmba kchwa, nkmpigia cm anagoma...Anafoka!
Nikawa...
Mimi ni msichana wa miaka 28!nimekua na mahusiano na mkaka mwaka sasa na hapa nilipo ninaujauzito wake wa miez 9.tatizo ni kwamba jamaa alikua anasumbua sana swala la kuwaambia wazaz wake kuja...
Asalam aleykum wadau wote, mimi ni kijana mwezenu na nimeoa miaka 3 iliyopita na nimejaliwa Mtoto mmoja wa Kike wa kuzaa..kilichonisukuma kuandika mada hii ni kupata ushauri kutoka kwenu kwani...
He's worth $43 million dollars but Hugh Hefner is not putting a pre-nuptial agreement in place with new wife Crystal Harris.
The 84-year-old mogul is apparently unconcerned by any suggestion...
Nina rafiki yangu mmoja ambaye anaishi wilaya ya kinondoni (eneo na mtaa sitataja kwani ni kisa cha kweli) yeye na mke wake walikuwa wamejaliwa kupata mtoto mmoja. Rafiki yangu huyo siku moja...