Ama kweli za mwizi arobaini, nikiwa naendelea na kazi zangu humu ofisini kuna rafiki yangu mmoja amekuja ofisini kwangu macho yamemtoka, sijamuuliza tayari akanipa simu yake na kunionyesha sms...
Baada ya kukaa mda mrefu bila kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi,nimejikuta naangukia penzi la kaka mmoja tuliyefahamiana miaka mitatu iliyopita, huyu kaka aliniambia kwamba ananipenda toka mwanzo...
Schoolgirl,12, gives birth on school trip
A Dutch schoolgirl has been put into foster care after giving birth on a school trip.
Wednesday, 30 March 2011 17:02 BST
A 12-year-old...
Kwa Wana JF Wote:
Mnaobakia nyumbani, pumzikeni salama.
Mnaoenda kusali, ombeni pamoja na mengine, Mapenzi na Amani,
mjiombee nyinyi na wapenzi wenu,
muwaombee wagonjwa, masikini. Watanzania wote...
Habari zenu wandugu...!
Nina tatizo moja nahitaji msaada wa mawazo.
I've been in this relationship for almost a year now., I mean this 6th April will be our Anniversary since we started...
Hello JF
Kuna zawadi nazawadiwa ila kiukweli duh! Kuan jamaa yangu aliwahi kuachwa na mke! By that time jamaa laikuwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Wakati anaachwa walikuwa na mtoto mmoja wa kike...
Mkazi mmoja wa Arusha alimuaga mkewe anakwenda Dar kwa safari za kikazi. Kumbe safari ikawa ni kwenda Loliondo kwa babu.
Mkewe naye, akaona huu ndiyo wakati haswa wa kwenda kwa babu...
Jamani kunajamaa yangu alimpata binti mmoja miezi minne iliyopita wakapeana sana maluv duvi sasa wameachana ghafla jana amepigiwa simu na dada yake wakati wakiagana akaambiwa "msalimie wifi yangu"...
Habarini wandugu,
Wife kaniambia anataka achukue mkopo kazini kwao kama 1.5mil nikamuuliza kwa ajili ya nini akaniambia nataka kuongeza baadhi ya vitu hapa ndani nikamwambia sawa lakini hiyo 1.5m...
Wana JF nimekuja na mada nyingine kuhusu hizi cm zetu za mikononi, binafs nataman niachane na cm kwn ndio chanzo cha mgongano na my wife! Mke wangu kila nikirud kutoka kazn lazm akague cm zangu...
Nilikuwa na BF wangu tukapenda sana mpaka tukakubaliana kuona kwenda kwa wazazi wake wakanikataa eti kabila tofauti aoe kabila yake baada ya kuambiwa hivyo mie mapenzi yakapungua kabisa, na yeye...
Katika mahusiano ya wapenzi wengi pamekuwa na vijineno ambavyo ni common sana aidha kutoka kwa mwanamke au mwanaume.
Kwa mfano ; baby!, Honey!, malaika, nakupenda kama...., uko peke yako...,kwako...
kuna mdada ambae ana boy friend nje ya nchi kikazi na anatoka na mdada mwingine huku ambae nae ni girl friend wake wamekua katika relationship na huyu mdada wa huku kwa miaka mi4 sasa yaani tokea...
Tangu 2008, nimekuwa na mchumba ambaye nilimpenda sana na tulitarajia kuona, bahati mbaya akatembea na waziri mmoja kijana, nilipogundua ilinibidi niachane naye. Baada ya hapo nikakutana na mdada...
Kuna jamaa yangu best sana tangu primary!tulipotezana kwa mda baada ya yeye kuendelea na masomo.Baadae nilisikia yupo Uganda anafanya biashara kwa mda mrefu.Baada ya kitambo cha miaka kazaa...
Jamani naomba kujua mshenga anatakiwa awe na vigezo gani maana kuna mtu mmoja aliniomba eti niwe mshenga wake nikakataa kwa kujua kuwa mshenga anatakiwa awe ameoa.....
Wale ambao mmewahi kuwa...
Nimepigiwa simu kuna jamaa amefumaniwa ndani ya chumba cha jirani akijinjari na mke wa jirani yake usiku wa kuamkia leo. Aliambiwa kwamba mume kasafiri basi jamaa akajiachia kinomi. Ghafla jamaa...