Habari wana JF
Mwenzenu nimeoa (mke mfanyakazi) miaka mitatu iliyopita na kujaaliwa ka baby boy mmoja tu.
Tatizo langu ni, mke wangu kamwachia majukumu yooote msichana wa kazi! Kwa mfano...
Maskini waweza hisi....,ni pdidy la hashsa soma habari hii ya kusikitisha pg 9 ya nipashe
MKAZI MMOJA WA KIJIJI CHA KASEKEKESE MKOA WA KATAVI MAYUNGA SAMIKE 44YRS AMETUBU NA KUKIRI IBILISI...
Kuna mijibaba ja humu JF ina tabia mbaya kama nini, inapenda ku PM kwa lengo la ku approach. Acheni tabia mbaya.
Naombeni muache lasivyo nitaweka ID zenu hadharani.
nini cha kufanya kama umekutana na msichana umempenda saana pia na yeye amekupenda, tatizo ana mshkaji wake na hataki kumsaliti, lakini pia mim ananipenda?
Mpaka leo sijawahi kuelewa kati ya mwanaume na mke wakati wakichakachuana ni nani anafaidi zaidi. Nionavyo mwanaume hufaidi zaidi, na hii inajidhihirisha katika kutafutana, mwanaume uhaha kweli...
1- wanajua kwenda na wakati. Hili jambo ni nadra sana wadada walioolewa kwani wengi wao hujisahau sana.
2-wanajua mapenzi. vimada wengi wanajuwa sana mapenz wawapo kitandani ni wa2ndu sana...
s. aleykum... akhbar zenu jamani niliwatupa kidogo vp mambo zenu? my hope ua all doing okay.... mi nna swali la kirafiki tuu....nimeona bara niiulize hii hal na vipi niiepuke....
ni kwamba...
Katika pita pita zangu hapa JF nimeshuhudia mara nyingi sana hawa mademu wakimwagiwa sifa kemkem...kama vile wana maji ya kutosha, v.s.m. virefu......na nyinginezo nyingi. Sasa juzi kati...
Jamani! Siku hizi imekuwa ni kawaida sana kwa mwanamume na mwanamke(ambao wanategemea kuoana) kuishi pamoja kama mke na mume. Si ajabu ukakuta mwanamke anakaa mkoa X lakini kila weekend au likizo...
hello people in here....i have a word i wanna share to those who will be concerned on my situation and the one who will take me me from where i`m to another side of new life.....u know...
Baadhi ya wanaume wamekuwa na akaunti ambazo hazijulikani na wake zao (Yaani hazijulikani kuwa zipo, sio zina sh ngapi..).
Mfano mzuri ni stori ya leo kwenye magazeti kuwa baada ya hali ya...
Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi videmu.
Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner.
Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na...
Let's THANK them all
those who HATED us..
They made us HUMBLE persons;
Those who LOVED us..
They made our HEARTS grow FONDER;
Those who ENVIED us...
They made our SELF-ESTEEM grow...
Fasili yake:
Kilugha maana yake ni kuchuruzika maji juu ya kitu. Ama kisheria, ni kumiminisha maji yaliyo twahara katika mwili wote kwa njia maalumu.([1])
YENYE KUPASISHA KUOGA
1-...
The husband and his wife were not on good terms. In fact, the wife was convinced that he was carrying on with the pretty housemaid, so she laid a trap.
One evening she suddenly sent the maid home...
Baba yangu alifariki mwaka jana mwezi wa saba, katika harakati za kufuatilia mali zake tukakuta kumbe nyumba moja imeshauzwa kwa Mpangaji anaekaa humo ndani kitambo tu. baada ya kupekua nyaraka za...