Jamaa yangu anapanga kwenye nyumba moja na mwanamke ambaye mmewe anasoma nje. Huyu mwanamwanamke amekuwa akitafuta namna ya kufanya ili apate huduma toka kwa huyu jamaa yangu lakini hakupata...
Kuna mwanamke mke wa mtu hupenda sana kuja dukani kununua nguo kila hakija humpenda sana kunionyesha mapozi kichokozi nakuna cku alikuja akaingia sehemu ya kujaribia nguo akavua nguo then akanita...
wapendwa MMU,
ni udadisi tu...
Ni kwanini vdume walio na status ya kuitwa gentleman wanakuwa wahanga wa....
- kutamkiwa lolote na wenzi wao
-kubishiwa hata kama hoja yako kwa mwandani wako...
Wana JF
Ni kitu cha kawaida kwa mzazi kumkumbushia mtoto/kijana wake kuhusu suala la mapenzi na mihemuko inayowapata vijana katika umri wa kubarehe au niseme katika level ya sekondari na kurudi...
Mimi sielewi labda ni utandawazi inakuwaje mwanamke akiwa na Mpenzi wake kwa shida na raha zote!!Lakini ikifika kwamba mume kipato kimepungua mke uanza mbwembwe na kuanza kumdharau nakuona simali...
Mbagala yalilipuka,likasemwa ile mbaya,
Bahati yamekumbuka,waseme tena ubaya,
kila lake kuibuka,wamwite baba ubaya,
Wapendwa wetu wahanga,subira si yetu haki,
Waziri naye raisi,zao hoja kama...
Kuzaa nje ya ndoa ni jambo la kawaida sana (either kabla ya ndoa au baada ya ndoa) sasa naomba kuuliza ni lipi linaumiza zaidi kwa mwanaume au mwanamke
1 mwanaume kuoa mwanamke aliyekwisha kuzaa...
:sad::sad::sad:Jamani, hapa kwetu kuna mdada mmoja ni mgonjwa na anatumia dawa za kuongeza siku (ARV's) tena kwa muda mrefu sana sasa tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000, na yupo wazi kabisa tena...
WanaJF ninapenda sana kuwapa pole wale wote waliokuwa wanaish au wenye ndugu jamaa na marafiki bila KUSAHAU WENYE WAPENZI. imependa kuleta safu hii ili kutiana moyo kwa kile kilichotokea so kama...
Here are 30 ways to enjoy life. Pick the ones that work for you:
Enjoy your meal. Don't just eat. Taste it and appreciate its richness.
Learn to cook.
Feel music and not just listen to it.
Play...
Wapendwa nawasalimu!!
Ninatumai kila mtu ana sifa za ama mke au mume anayemtaka, rafiki zangu wa JF, napenda sana nipate mume mwenye vigezo hivyo hapo nilivyovitaja lakini kila siku imekua...
dunia imekwisha,katika pitapita zangu za kujivinjari na kujionea night life nikakutana na wanawake wanabehave kiutata na kuuliza nikaambiwa ni girls night out,wengine wanakiss kabisa,tukaondoka na...
Wandugu nishakuwa na jirani yangu mke ana sauti nzito kweli kweli na mme ana kasauti kepesi tu, mwanamke ameumbika vizuri sana tu ila hiyo sauti ya besi ndio hoja yangu. Ukiwa unapita nje halafu...
Ladies, iam looking for lifetime relationship. Iam looking for a young christian beautiful lady 25-28. I know all jf members are educated. Just send a msg to 0789704001 and i will find them there...
...and when they dare, they dare for more. There is a cord somewhere in women which is between courage and fear. The courage is engulfed by fear while she hates that fear. Alternatively, she...
Katika mazingira ya kawaida... Wapo watu wa aina na umri tofauti, wazazi, au wakwe, au watoto, au wageni, au jirani. Nyumbani, au ofisini, au ugenini au pengine popote.
Hivi unamwitaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.