wapenzi napenda kujua kama sikuu kuu ya kesho ni kweli ipo au lah nipange ratiba yangu kabisa na mamsap nataka niwe nae kesho for 24hrs kama ATM, knye kalenda yaonyesha kesho ni maulidi
Wanandoa wasisitizwa kupima ukimwi
Na David John
SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika lake la Misaada (USAID) kwa kushirikiana na shirika lisilokuwa la kiserikali nchini Engender Health...
A science geek's guide to locking lips
(SHUTTERSTOCK PHOTO)
With apologies to Louis Armstrong, a kiss is not just a kiss. Think of it as "a chemical choir," says science writer Sheril...
I shall not fear no man but God
Though I walk through the valley of death
I shed so many tears (if I should die before I wake)
Please God walk with me (grab a nigga and take me to Heaven)...
Nimepita maeneo ya Salender Bridge Dar es Salaam asubuhi hii nikaona bango kuuuubwa (billboard) limeandikwa "Broadcast Your Love"
Sijui wanamaanisha nini, nikaona nilete hapa kwa magwiji wa...
Kuna thread inaendelea kwenye jukwaa hili yenye heading "Mama au Mke", sasa kutokana na changamoto za ulimwengu wa sasa pamoja na mabadiliko ya kimfumo, sasa naomba tujadili pia kwamba "mwenye...
WanaJF,
Napenda kutoa angalizo kidogo, ukitaka kufahamu upendo wa kweli usipokee zawadi yoyote kutoka kwa mpenzi wako we mwambie mbadilishane simu siku ya leo yaani tarehe 14.02.2011. Utajua mpo...
somtimes kitu cha furaha chaweza kusababisha huzuni kwa upande mwingine. Tangu nimebalehe miaka kumi ilopita nimewahi kupenda mara mojatu.nilikua form two, swithat wangu akahama nchi akaenda nchi...
Napenda kushare na wapendwa wangu hapa JF nyimbo hii kwani nina ipenda sana na ina maana kubwa sana kwangu.
YouTube - Ronan Keating - If tomorrow never comes *with lyrics*
Valentines Day is a day to express your love, and to celebrate the spirit of love. You will love this absolutely for valentine's day site, where you can celebrate the spirit of this day of lovers...
Siku kuu ya wapendanao (Valentine's day,tunayoiga kutoka kwa wenyewe) inakaribia kwa speed ya ajabu. Ni siku maalum si kwa wapenzi na wanandoa tu bali kwa wote wanaogusa mioyo na maisha ya wenzao...
Wanandg wa JF nimeona 2anzishe jukwaa la waliowah kuumizwa cku ya valentine. Kama umewah kukutwa na tatzo lolote juu ya mapenz cku ya valentine bac jielezee mm nikiwa mmoja wapo ctasahau cku hyo...
WanaJF,
Nawatakia maandalizi mema ya V-Day. Naamini kila siku inatkiwa iwe ya kivalentine.
Ninatatizwa na suala tajwa hapo juu - Mke kubadili jina la ukoo(surname) baada ya kuolewa na kuchukua...
Habari wakuu. Naomba tubadilishane mawazo kwa hili.
Naenda kusoma nje. Mshahara wangu utaendelea kuingia kwenye akaunt yangu ambayo nayo ndio naitumia kwa biashara zangu. Sasa navyoondoka sijui...
Hii nimeikuta sehemu fulani, nikaona ni vyema niikandamize huku JF huenda ikaleta changamoto ama kwa kujikumbusha ama kwa kutilia mkazo na kadhalika hasa hiki kipindi tuiendeapo ileeee siku ya...
Love is not finding the right person,
but creating the right relationship.
It is not how much love we have in the beginning,
but how much love we build until the end.</SPAN>
Ndugu zangu wa JF, sina shaka mtakuwa wazima wa afya njema na mipango inaendelea vyema.
Kabla sijaanza topic hii, napenda kuwapongeza wale wote walioweza kudumisha mahusiano yao mpaka wakati...
Katika mahusiano ya Mwanamke na Mwanaume ili yawe ya mafanikio makubwa ni nini hasa kinampasa Mwanaume afahamu na afanye?
Utafiti mdogo unaonyesha kuwa kuna vitu vya kimsingi ambavyo wanawake...
The hours I spend with you MMU I look upon as sort of a perfumed garden, a dim twilight, and a fountain singing to it. Sometimes I've been in a very hard situation with my relationship or normal...
Gay 'marriages' to be allowed in church
Ministers are proposing to change the law to allow homosexual couples to "marry" in traditional religious ceremonies – including in church...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.