When A Woman Loves Lyrics
When a woman loves
She, she loves for real
When a woman loves
She, she, she loves for real
She took me back
After I broke her heart
About a thousand times
She gave her...
jamani wana JF ni muda wa zaidi ya miaka minne sasa kuna rafiki yangu amekuwa akiishi na mchumba wake, lakini binti amwamini kabisa, mara nyingi wanakwazana, hasa jamaa akituhumiwa kuwa ni PLAYER...
Wanajamvi heshima na iwe nanyi nyooote...!!
Wanawake mh!! mapenzi yananisumbua sana naitaji muongozo,muongozo kuhimili hali halisi ninayo ipitia,yalikua mapenzi haswaa baina yetu-istoria ni ndefu...
Wapenzi wa jamvi hili,
Nimekuwa nikijiuliza sana hivi ndoa za wake wengi mfano wanne hata kama ni halali kisheria huwa zina upendo na mapenzi ya dhati kweli miongoni mwa wanandoa? Mimi naona...
Najua wengi mtakuja na siasa za Oooh Valentine tunaiga, kwa nini niifanye siku siku hii special kushinda zingine, sijui mimi nampenda wife or hubby na kumtreat sawa kila siku, why today iwe...
Kakuambieni nani kuwa tamaa ndio hufanya watu kuwa na mahusiano nje ya yale walio nayo ( ndoa, uchumba n.k)??
Nachoka kusikia kila mara mkisema ...kapata mtu mwingine shauri ya tamaa.kwani...
Tofauti na huko nyuma, utongozaji wa siku hizi unafanyika mkiwa mmezumgukwa na ma VX kama inavyoonekana kwenye picha. Hapo sidhani kama binti atakutosa. Ma VX yote hayo. Linganisha hizo picha mbili.
Nashukuru kwa maombi yenu nimerudi salama salimini.
Valentine ikanikutia huko hata sijaifaidi na laazizi wangu lakini yote heri tu bora uzima.
Mnaendeleaje?? MMU
Hamwezi amini vile...
LONDON - Red-haired Prince Harry will be his brother's best man and Kate Middleton's stylish younger sister Pippa will be her maid of honor at Britain's April 29 royal wedding.
The announcement...
kuna kitu kinachonishangaza kuhususu hizi ndoa za mke zaidi ya mmoja. je wenye wake wengi wameoa hivyo kwasababu ya tamaa? Au wana wasaidia wanawake ambao bado hawajapata mme? Au ni utajiri ndo...
Wana JF
Ni kitu cha kawaida kwa mzazi kumkumbushia mtoto/kijana wake kuhusu suala la mapenzi na mihemuko inayowapata vijana katika umri wa kubarehe au niseme katika level ya sekondari na kurudi...
The world's longest kiss took place on January 28, 2002. Louisa Almodovar and Rich Langly of New Jersey kissed for a record 30 hours, 59 minutes and 27 seconds on a segment of "Ricki Lake"...
waheshimiwa,
mimi ndiyo kwanza nimejiunga. nimefanya ziara ya baadhi ya majukwaa na kuchungulia mijadala michache. Nilipoingia kwenye lile jukwaa la siasa heartbeat zangu ziliongeza kasi kwa...
Ananiuliza kama n'nadem namwambia sina anahisiashaniona sehem tatizo kanisahau jina unaitwa nani.........................................
YouTube - Daz Baba ft. FID Q
Nimeweka thread yangu yenye kichwa "Valentini ya 14/2/2011"
Jamaa yangu karudi 6.30 amelewa hoi, kaniletea ua lililochakachuliwa
hii imekaje jamani?
Hii thread inaubaya gani hadi iondolewe?
Siku hizi naona huu mchezo
Wa kuingiliwa kwa wanawake wa ki tz kinyume na maumbile unaota mizizi kwa kasi ya ajabu.Jamani huu mchezo una madhara makubwa sana, na kubwa zaidi ni kudhalilishwa utu...
St. Valentine's Story
Siku ya wapendanao ni sikukuu ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 14 Februari ya kila mwaka (Valentine Day).
Historia yake imeanzia karne ya 3 huko Roma ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.