Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kusema kweli mi ni mshabiki wa Yanga, kwa hiyo naichukia Simba. Kutokana na hilo sijawahi kuvaa wala kumnunulia mpnz wangu nguo nyekundu. Tena huwa siko comfortable nikiambatana nae akiwa amevaa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
If love is great, and there are no greater things, then what I feel for you must be the greatest. I don't pretend to know what love is for everyone, but I can tell you what it is for me; love...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna Mdau aliwahi kuuliza maswali katika thread moja iliyoko hapa: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/102386-wanaume-nisaidieni.html. Katika maswali hayo kulikuwa na swali...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
kuna rafiki yangu alikuwa na mke hapo awali,ikatokea tafrani wakaachana jamaa akiwa kwenye msoto mkali,akaahidi hatooa tena!Mungu si athumani akatokea mdada akampenda akamuoa,sasa kivumbi yule mke...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Waungwana swali la kizushi. Je sehemu zipi unaweza kutembelea na ku enjoy? Hoteli nzuri za kufikia, sehemu nzuri za kujirusha and of course mahali unapoweza kwenda na kuona warembos wa kitanga wengi!
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Wana JF siku ndo znaendelea kuyoyoma namna iyo..vp manthly plan yako ya januar.tayar!?..sio ishu!nina utata apa,naish dsm ni kijana mwenye ajira sekta binafs tangu june last yr..kipato changu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Sina mood ya kusoma for a week now na test nyingi na mtihani wa mwisho unakaribia,any idea why?
0 Reactions
61 Replies
6K Views
One morning the husband returns after several hours of fishing and decides to take a nap. Although not familiar with the lake, the wife decides to take the boat out. She motors out a short...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna aina nyingi za Mapenzi. Kuna mapenzi ya Mama na mwanae, family members, marafiki n.k. Mapenzi ya namna hii huwa yanatokea au kuanza bila kuwepo na condition ya TRUST. Kumekuwa na mijadala...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
How to have him begging for more Sex is a glorious, delicious, sumptuous feast. It is simply one of the most fabulous aspects of being alive. When it's really good it turns you weak with...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello wapenzi wa forum hii…. Nilikuwa nauliza swali na nina imani nitasaidiwa, mimi kabila langu ni msukuma , na nimekua nikivutiwa sana na makabila ya wanyakyusa, wapare, wasambaa, Je kama siku...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
"I had food poisoning that was really bad. Just realized we bought eggchops on sunday from Royal Bakery at Kawe Road, a number of people were affected as well- 2died and 18 more hospitalized. The...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Seven ways sex is good for your health A Valentine's day guide Print...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale wote walio nje, wenye wapenzi bongo nataka kuwapa fursa ya kutuma maua na vitu vengine! General costs ...flowers usd 40/=includes a card with message! chocolates usd 10/=, wine usd 20...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari zenu, Wiki kadhaa zilizopita nilirudi nyumbani kumkuta mume wangu na mjomba wake wakiwa wanazungumza.Nilitulia sehemu nikawasikiliza kiasi,nilichanganyikiwa.Nikaondoka, badae nikarudi...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Nakumbuka miaka ya nyuma niliwahi kuwa na mpenzi wangu ambaye mpaka leo nimeshindwa kumuelewa alikuwa akimaanisha nini.Kila siku alikuwa akifika kulala kwangu lazima aache nguo yake ya ndani...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Mzazi ni mtu muhimu sana katika maisha ya kila mmoja wetu....ila wakati mwingine wanaweza kuharibu zaidi ya kujenga kutona na influence waliyonayo juu yetu!!! Ni sawa kumjali na kumwangalia...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
I just read this article and find it very useful...may be you can also learn sth.... Never Argue With A Fool – They Will Drag You Down To Their Level. Do you feel like every time you get...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanaume wengi wanatumia mara kwa mara haya maneno bila kujijua wakati wanapofika mwisho wa safari. Hata ukicheki zile picha za video utasikia maneno hayo. Hivi huwa inaashiria nini?? Au ndiyo...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
ndugu zangu mimi nipo very serious. nataka kumpa surprise ya maua na zawadi ndogo mke wangu ambaye tumeishi naye miaka isiyopungua 4. huwa nampa zawadi mbalimbali ikiwemo mapenzi ya kweli. sasa...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Back
Top Bottom