Zimekuwepo kampeni siku hizi kuwa ukitaka familia yako iishi maisha mazuri, bas couples wazae watoto wachache
katika mazingira ya kiTz, hiyo haiapply sana coz ukizaa watoto wachache, then...
Wanajamii nawasalimia wote, wakubwa kwa wadogo, Wake kwa Waume...!
Naomba kuuliza, hivi huwa ni kitu gani kinachochea au kinasababisha wapenzi waliokua wakipendana kwa dhati na hatimaye...
wapwaaz nimewamiss sana aisee.....!
mi naona TUKUTANE TU NA KUNYWA POMBE!(mavodka,valuu,viceroy,grants n.k)
mi naona inafaa zaidi
kwanin inafaa zaidi?
-inauma sana kuangalia BUNGE LA KITOTO...
Leo nimepita mitaa fulani ya Ilala nikiwa kwenye pilikapilika za kutafuta vipuri vya magari. Nimesikia vijana wakipiga stori iliyonivutia kidogo. Actually, walikuwa wanafundishana kwamba kama...
A Wife is like a TV
A Girlfriend is like a MOBILE
At home u watch TV, but when u go out u take your MOBILE
No money, u sell the TV, got money u change your MOBILE
Sometimes u enjoy TV...
Wakuu naombeni mnishauri
Naishi nyumba moja na dada mmoja ambaye nimetokea kumpenda (na sio kumtamana) sababu nataka kumuoa
tatizo nashindwa kumweleza jinsi moyo wangu ulivyomdondokea kutokana...
Kutokana na utata unaojtokeza kwenye familia nyingi kiac cha kuleta kutoelewana juu ya watoto.hisia mbaya huwakumba hasa wanaume wakidhani watoto wale c wao.je nani mhusika mkuu wa swala...
80 20 rule states that: The rule of thumb is that in many instances 80% of the consequences stem from 20% of the causes.
Kwa lugha nyepesi 80% ya mafanikio yako yanatokana na...
Uncle XOXOQY 2day's class:-Asilimia kubwa ya watu waliopata kupenda katika maisha yao kisha wakatendwa hupata "mvunjiko wa moyo"(brocken heart),watu wa namna hii hupata matatizo ya kisaikolojia...
Ndugu zangu,
Staili ya maisha ya sasa inatupeleka pabaya wanaume na kutishia ndoa nyingi. Ajabu wakati wanaume wengi wanakabiliwa na upungufu wa nguvu ya kiume, hamu ya wanawake kuwataka...
Mamboz ma Great Thinkers!
Haya majina ya ROOM za GUEST yananiacha hoi unaweza ukafikiria mtu kasafiri nje ya nchi kumbe yupo TZ coz wamezipa hizo room majina ya miji mikubwa ya nje ya nchi kama...
Haya haya wana MMU.....!
Teamo anaona ni busara zaidi kama tutaelezana facts kuhusu ndoa na mahusiano ya kizazi hichi...(kizazi cha nyoka,kudadadeki)...!
-uchakachuaji umezidi sana tu TENA...
Habari zenu, kuna mdada nilifahamiana nae wakti npo kidato cha 5(kwenye kutembeleana kishule) na tumekuwa marafiki mpk leo. Mm kwa ss niko mwaka wa 3 bt pia nafanya kazi. Hyu dada wiki jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.