Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri juu ya tatizo linalomkabili. Yeye kaoa mke. Baada ya kufiwa na mdogo wake wa kike, ndugu waligawana watoto wa marehemu na yeye(jamaa) akapewa mtoto m1 ili amtunze...
Sioni faida yeyote ya hii kitu inaitwa colour of wedding, sanasana ni kuiga tu utamaduni wa kimagharibi na kuongeza gharama zisizo kuwa na maana.
Ni wakati wetu sasa kurudi kwenye sherehe zetu za...
The world's oldest father has done it again, fathering a child for at least the 21st time, at the age of 90. Indian farmer Nanu Ram Jogi, who is married to his fourth wife, boasts he does not want...
yupo aliye fit namna hii????nimeona mahali kuna BABU humu wa kukagua sijui matiti ya wadada kwa ajili ya wapwazzz wa kiume.....jamani mie najitolea kuwa BIBI wa kukagua wakakazzzzzzzzz kwa wadada...
mimi na mke wangu (3 yrs mrrge), age gap yetu ni 17 yrs.
tumejaaliwa kupata watoto wawili wazuri, tunapendana na
hasa yeye ananipenda sana2.
kwa muda nimekuwa nikikerekwetwa kuhusu future yetu...
Wanajamii nimeamua kuwa letea jamvini nanyi muweze ni shauri kwani maranyingi nimekuwa na marafiki katika maisha tukisaidiana ktk mambo mbalimbali lakini ya kimaisha na mwingine...
Nimeona malalamiko na matukio kibao yanayotokea nyumba za wageni yakiletwa humu!Wengine utawagundua ni maInfii kwahiyo hawawezi kupelekana nyumbani ila wengine ni mabachela!Sasa kwa hawa walio...
Nadhani sasa hashycool anajionea mwenyeweeeeee jinsi NILHAM alivyo mrembo kuliko HAPA JF. .
Mtoto hana papara, bali ameupara
Wenye kuchachawa, wataishiwa kunawa
Kampata wake wa kumfaa, sasa...
Guys...
This JF MMU is very addictive sasa... yani wherever i go these days, the first thing i do ni kuulizia kama kuna wanaJF nk.
You just cant stop thinking of MMU
I think we can create a...
Ni mwanamke gani mwaminifu na hajawahi kucheat hata mara moja maishani mwake?
Namtafuta huyo ili nimuoze kwa kaka yangu, maana anajidanganya kuwa eti ataoa mwanamke ambaye hajawahi kuchepuka hata...
Leo kabla sijarudi home nilikaa na marafiki kama sita mahala kupoteza muda ,kuna mmoja wetu akasema mume wake kila akifika home anamwangalia kama mkewe kalala na yeye anajifanya kalala. kwa vile...
Kuna kaka mmoja alipendana na mdada. wakati urafiki umekolea akaanza kuhamia kwa mdada huyu kwa kuleta nguo moja, mbili mara kahamisha nguo zote. Mwisho chumba chake kimechukuliwa. Siku moja...
During the wedding rehearsal, the groom approached the pastor with an unusual offer.
"Look, I'll give you $100 if you'll change the wedding vows. When you get to me and the part where I'm to...
Umeumbika, Mungu amekujaalia
Nimekupenda saaana
Sina mengi wewe soma kati kati ya mistari kuwa nimekupenda.
Mungu akipenda Inshallah tutaonana kijijini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.