Wakuu nimekaa na kutafakari hii tabia mpya ya hawa kinadada zetu.. Unamkuta msichana mzuri ana kazi nzuri na elimu ya kutosha, ukimtaka anakwambia eti alishaumizwa sana na anaogopa kuumizwa tena...
Kuna mama mmoja ameolewa kwa ndoa ya kiislamu. Ana watoto wawili. Mtoto mmoja wa kwanza kamzaa na mume wake wa Kwanza, mtoto wa pili kamzaa na mume wake wa Pili. Huyu mwanamke anafahamika kabisa...
Kwa wanandoa tu, haihusiani na uhusiano wa aina nyingine.
Epuka maneno yenye mkao wa ki-selfish; Mfano- vyangu, changu, yangu, wangu, langu nk. Usiyaone madogo lakini yanaweza mfanya mwenza wako...
Wana JF, kuna huu wimbo wa kiduku (Aladji) sijui kama nimepatia jina lake, kwa maoni yangu hauna maadili ya kitanzania ingawa unarushwa laivu kwenye Ma TV.
Kuna siku nimekaa sitting room na...
Great thinkers, kuna yeyote yule aliyepata taarifa ya kikao cha Waziri wa Elimu na Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam?
Kuna lolote jipya lilofikiwa...
Wife and Girlfriend
Wife is like a TV,
Girlfriend is like a MOBILE.
At home u watch TV,
But when u go out u take ur MOBILE.
Sometimes u enjoy TV,
But most of the time u play with ur MOBILE...
Nilikutana na rafiki yangu jana jioni..katika mazungumzo yangu aliniomba ushauri..nikaona ngoja niwashilishe kwa wadau..
Rafiki yangu huyu ana umri wa miaka 32.siku zilizopita alikuwa na...
Nawasalim wote dadazz na kakazz bila kuwasahau wamama na wababa!!!
Natumaini jumatatu mmeianza vyema na wiki itaendelea kua nzuri.
Kama wimbo tunasikia kila siku mwanamke alivyo na nafasi kubwa...
Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
So...
Wajemeni unajua ni rahisi kua playa kuliko kua na mke. Maana nakumbuka huko zamani kuwaridhisha madem wakupita ilikua rahisi sana. Sasa na staajubu inavyokua vigumu kwa wife. Nawaza nimpe nini au...
knock knock JF , leo niko kivyengine
Commited to the life, yangu mimi na wengine
About beautiful wife, wala si kitu kingine
She makes my half, sikieni na muone
Mpe...
Najua hujaolewa ndio kwanza unaghilibiwa, nakuomba ufikiri utofautishe mapenzi niliyonayo juu yako.
Naandika huku nalia sina wakunifuta machozi enyi wanaJF hamunionei huzuni??? Wanawake wote...
There was a blind girl who hated herself because she was blind.
She hated everyone, except her loving boyfriend. He was always there for her.
She told her boyfriend, 'If I could...
Chukua karatasi, halafu andika jina lake lote....na kama unaweza pia weka jina la mwisho la mama yake kabla hajaolewa, halafu malizia na jina la utani la wife.
Kwa mfano: Jackline James Mwamtambo...
Of all love songs out there I would propose that this one is the best one for me!!! It works everytime.. wimbo pekee uliowahi kunifanya nilengwe machozi..! Please enjoy!
WANA JF HABARI?
Ni wakati sasa umefika wa kuwa nae mwandani.ili tuliondoe hili gurudumu la upweke.binti yeyote ambaye yuko tayari ani PM.
nitamueleza uhalisia wangu na km tutakubaliana basi...
Najivunia kuwa na mpnz anipendae sana, kwa ujumla tunapendana bt da problem mwezangu yupo mbali na mimi, na sielewi ifanyaje ili niweze kuhisi yupo karibu yng ksb mara nyingi nikifikiria nahisi...
Habari za weekend wana JF
Kuna hili suala la sitaki nataka hasa kwa wanawake..yani mtu unaweza kujikuta unatongoza karibu mwaka mzima mtu hata haeleweki.
Sasa nashindwa kuelewa sijui ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.