Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Katika purukushani zangu mitaani nimekumbana na hawa jamaa. Wanaongoza sana kwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wasichana/wanawake;- Vinyozi hawa wanawanasa sana mabinti kwa mapowder na...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
:msela::msela:Kuna jambo limetokea hapa mtaani kwetu jana. Kuna kijana mmoja ambaye kwa kweli alikuwa anajulikana kama mtu wa vimwana sana, ikafika wakati akataka kumwoa tena kwa ndoa mtoto wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi kwanini mwanamke akimuuliza mwanaume je una mtu huwa anajibu haraka kuwa niko singo, nilisha achwa na yule niliyekuwa naye na sasa niko peke yangu hata kama nyumbani ana mke na pembeni ana...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Kuna dem1 mara nyingi huwa tunakutana, wakati naanza kumchakachua huwa namuomba avue msaraba,lakini yeye hukataa katakata,mimi nakuwa sina jinsi naendelea na uchakachuaji huku nikiukodolea...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Nina jirani yangu amekuwa kero sana kuelekea hiki kipindi cha watu wapendanao. Vioja na vituko anavyo nifanyia imekuwa too much sijui ananilingishia? Kila siku anabadili wanawake kila sample...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wanna share this with you friends: Never Judge Anyone By Appearance. One beautiful spring day a red rose blossomed in a forest. Many kinds of trees and plants grew there. As the rose looked...
0 Reactions
5 Replies
992 Views
Nilimpenda sana,nikachukua muda mrefu kumwambia ukweli,nilipoenda nikakuta kuna aliyechukua muda mfupi kumchunguza na kumwambia ameshampata.......no way anaweza kujua ukweli ulio moyoni...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni mke mwema aliyetulia na kutekeleza vema majukumu yake ya ndoa. Tatizo lake anaposafiri kwenda nyumbani hawezi kupiga simu wala kutuma message mpaka atafutwe. Licha ya kulalamikiwa mara kadhaa...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Tukio la hivi karibuni mtaani kwetu ambapo jamaa mmoja alimfumania wife wake 'akimega mkate' na kijana mmoja kinyozi limekuwa ni muendelezo wa matukio ya wake za waume wenye ajira nzuri, pesa na...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Gay wedding of Mooketsi Sedimo and Mzoxolo Cakwebe at the Wanderers Country Club at the weekend…
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Nimepitia maoni ya wana-JF wengi humu na kubaini kuna kiu kubwa ya forum ya matchmaker.....................wako wengi wanataka uchumba au urafiki lakini wanajimungunya humu kwa kukosa forum sahihi...
0 Reactions
49 Replies
3K Views
0 Reactions
327 Replies
18K Views
Nimejikuta najiuliza kitu ikabidi niwaulize na nyie dadaz n kakaz!!! Hivi mtu anapomwambia mwenzake 'we huendani na mimi....mimi huniwezi wewe...mi sio saizi yako' na mengine kama hayo huwa...
0 Reactions
97 Replies
6K Views
Mimi ni wakati wowote tu nikijisia namwambia mwenzagu na libeneke linaendelea kama kawa. Lakini kuna wataalam wanasema upo muda wake muafaka. Wengine mnasemaje?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
siku nyingi hiki kitu nakiona sikupata pakusemea wacha leo nikiseme..... watu wanadai eti valentine day si lazima umpe zawadi mpenzi wako eti hata dada, kaka, mama au baba?...... Mbona uongo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
If you look through ME you will see YOU
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Try it guys! Nani amewahi kuguswa na penzi la kweli la mwanamke? Hebu jitokeze useme tukupatie zawadi yako maana mijadala mingi imezidi kuponda mahusiano.Unachotakiwa kufanya ni kutuambia kwa...
0 Reactions
90 Replies
6K Views
Mkeo umemuoa akiwa tayari ana mtoto,na ukakubali kumuhudumia mtoto kwa mahitaji yake yote,lakini inakuja kwamba bado anawasiliana mara kwa mara na mwanaume aliyezaa nae kwa namba nyingine...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Eti jamani..mi naona siku hii ni mechi tu! tuache utani bana
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanawake ndo chanzo kikubwa cha wanaume zetu kufanya mapenzi nje. Sababu wanawake wengi wanajifanya hawapendi kufanya mapenzi kitu ambacho si kweli. Wanawake wanapenda sana kufanya mapenzi ila...
0 Reactions
106 Replies
10K Views
Back
Top Bottom