shukri llah jamani allhamdulillah niko tena hapa mbele yenu na sitafanya kosa kujakuwaeleza na kuwa mkweli kwa kila hali......
kitu muhimu ni kuwashukuru na nyie kuwa pamoja na...
Kwanza nianze ni kakaz.....
Kwanza kabisa linapokuja swala la kumwaga..kupokea sera na kutoa majibu kama mwanamke naamini hua tunajua kabisa jibu letu la mwisho litakua nini kabla hata...
HABARI ZA WEEKEND WAKUU
LEO NIMESOMA KATIKA GAZETI LA THE CITIZEN, MALALAMIKO YA WANAFUNZI WANAUME KATIKA VYUO HASA VYA TANZANIA, KUWA UVAAJI WA KINADADA KATIKA COMPUS UNAWALETEA MATATIZO HATA...
nimemaliza utafiti baada ya miaka 2 ya uchunguzi.nimegundua kuwa kuwa:kabla ya ndoa wapenzi hufanya mapenzi kwa kujituma wote wawili,hubuni na kufanya style mbalix2.lakini kwenye ndoa asilimia 98...
Fikiria kidume na mbavu zako ulikuwa na mpenzi wako siku za nyuma..mkazinguana mkaaachana kwa ngumi na matusi...kila mtu akaendelea na maisha.
Leo una maisha yako lakini bahati mbaya umepata...
Nakupenda sana mpezni wangu Mungu atakupa shifaa tutaonana kwa furaha.
Si kitu kunipuuza, kwako tamaa sikati
Kilio sitogeuza, roho yangu mahtuti
Nilani utavyoweza, lakini sikubanduki
Usirudi...
Wandugu wapenzi forum hii,
Imefika mahali naona bora niseme wazi. Binafsi ninakerwa sana na harufu mbaya ya mdomoni. Imefikia stage hata 'kick' ya mapenzi inapotea kwa sababu tu mwenzangu ananuka...
A wife is required:
Qualifications
Nationality: Tanzanian
Age 24 -28
Height: Above 160 cm
Body size: Medium
Body Colour: White
Marital -status: single
Sero - status: HIV Negative
Tribe: all...
Nimetoka kwenye hospitali moja for CT Scan..
Nikaambiwa niingie ktk chumba kimoja hivi kwa ajili ya kupimwa..akaingia nesi mmoja yani nashkuru nimetoka salama kwakweli na hata yale maumivu...
I miss you,,naye akakujibu I miss you too au
I love you,, naye pia akakujibu I love you too,,
Naona kama amekuiga tu,,alikua wapi kukuambia in the first place, mpaka ukampigia au ukam-text?
Ivi...
Hili jambo haliishi kunishangaza... ni vipi madai mengi ya DNA ni ya wababa kukataa watoto na si wababa kudai watoto?
Je ni kukwepa majukumu ama kutowaamini wanawake?
au ni aibu kwa kupata mtoto...
S/M MBUYUNI,
KCU KISHUMUNDU
P.O.Box 2000,
URU.
Halow,
Pokea salamu nyingi. Utakapo kujua hali yangu ni nzuri wa afya. Wasiwas ni wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.
Madhumuni ya...
###################################################################
Mfano wewe umesafiri kwa wiki 2,
unarudi ghafla unakuta mkeo ananong'ona na m2 chumbani
lakini ukiwa unawaza ha2a ya kuchukua...
Wadau naomba mnisaidie kuchanga mawazo.
Zilipendwa wangu tuliyeachana miaka mitano iliyopita amenipigia simu anaomba ushauri.
Anasema mume wake amemtelekeza yeye na mtoto wake tangu alipokuwa...
Siku hizi naona kupewa gari na wanaume imekuwa issue kubwa.......kiasi kwamba kuna wakati hoja inajadiliwa mtu labda ana tatizo...mtu anaweka comment za ajabu kwamba wasichana wa siku hizi...
Mimi nina best frend wangu sanasana ni mwanaume na mimi ni mwanamke. ni rafiki yangu wa siku nyingi kiasi kwamba ndugu zangu wote wanamjua na mume wangu anamjua na wanapatana sana sometime...
Rafiki yangu alikua outing beach bagamoyo last wkend na wenzake, gafla mzungu mmoja kwa mwonekano alikua mwanaume akamwita wakawa wanaongea at the end wakabadilishana contacts, just today msela...