Nimesikia hii katika pitapita yangu but sijamini, eti kuna baadhi ya mila zetu hapa Tanzania kama mtu kafiwa na Mumewe, kuna watu rasimi wanao itwa watakasaji, Wanatakiwa kutembea na mfiwa kama...
Maadam mmelianzisha basi tumalizie kabisaaaaa: Hayo mabriscafe sijui briefcase huwa mnabeba nini humo? Sanduku zima zitoooooo unakuta mtu anazunguka nalo.Niliwahi kuona mbaba mmoja kila mara...
Mabibi na Mabwana
kwa uzoefu wa miaka mingi, nimegundua kwamba katika tasnia ya kumtafuta mweza kimapenzi/kutongoza na kutongozwa, kuna makundi mawili makuu kwa upande wa hawa kina dada zetu...
Naamini wandugu wote mu bukheri wa afya, ningependa tusaidiane katika dhana hizi na kuona usahihi wake kwani kwa upande wangu huwa zinanipa mgagasuko kuzielewa.
Ni kweli katika mapenzi mwanaume...
:msela:Demu wangu kaniuliza leo hii, eti nimewahi kufanya malavidavi kwa kutumia asali? Nimemjibu sijawahi! Kasema basi yeye atanionjesha na nitapata utamu ambao sitakaa nisahau katika maisha...
Darlings. Sweethearts, Brothers and Sisters............
Nawasalimu kwa jina la Allah, Almight GOD ..............na JF anayetuunganisha kwa umoja wetu.
Ni kwa muda sasa nimekuwa nikiwaza kuwa...
Wapendwa wanajf jamvi la MMU, nawatakia wkend njema. Kwa wenye kugonjwa wapone haraka, wenye matatizo mbalimbali Mungu awasaidie . Na wazima awazidishe heri. Ntakuwa safarini Kazuramimba...
KAMA SI ANZA SASA USIKUBALI KUHARIBU NYUMBA YAKO
Sikutegemea kabisa!
Nimechoka sana kuendelea nkujitahidi kuhakikisha ndoa yetu inakuwa nzuri na inanifanya kuridhika, miaka nenda rudi...
Kuna watu hua wanaongelea msamaha as if ni neno tu bila matendo...yani unaomba tu kirahisi NISAMEHE na mimi najibu tu NIMEKUSAMEHE ilimradi umeomba na mimi nimejibu.
Utasikia watu wakisema ohh...
Leo nina hamu, tena hamu ni ya chai,
chai isiyo sanda, tena iso na viungo
tena nijibanze kona, wakati najifyonzea
chai iwe ya kweli, niinywe kwa kuivuta
Nina hamu nina hamu, kuliko hata ya jana...
Wapendwa wanaJF jamvi la MMU nawatakia wkeend njema, kwa wenye kugonjwa wapone haraka, wenye matatizo mbalimbali Mungu awasaidie na wazima awazidishie heri...
Najua wengi mnajiuliza na maana Gani,..ni kweli wapo vijana wengi leo hii wamebadili ndoa kama vazi la kitenge ukichoka unaamua kuvua...nasema kwa wale waliokuwa bado naomba kama aupo tayari kuoa...
While you SCREAM at your woman, there's a man
wishing he could talk softly to her ear. While you HUMILIATE, OFFEND & INSULT her, there's a man flirting with her & reminding her how wonderful she...
1GET TO KNOW HER. Hili ndilo la kwanza unalotakiwa kulifahamu. You have to know her like she was your own relative. Get to know what she likes, what she dislikes, what she enjoys, her favorite...
Wana ndg ningeomba ushaur wenu mana ninarafiki yangu anampenz wake wa kike. Nimejaribu kumshaur lakn nimeshndwa labda na nyny mnaweza kunisaidia ili nifikishe kwake ushaur huu. Rafiki yangu ana...
ndugu,naishi nyumba za kupanga uswahilini.sasa nje ya dirisha langu hukaa wakina mama nikiwa nimepumzika ndani.wanaongea hao nami nawasikia.lakini sina mazoea nao.sasa juzi nilisikia mmoja...
While you scream at your woman, there's a man wishing he could whisper in her ear. While you humiliate, offend, and insult her, there's a man flirting with her and reminding her how beautiful...
Juzi nilikua naangalia kipindi cha TV.
Docta mmja alikuwa anaelezea jinsi anavyomtanua mgonjwa mwanamke kwa kuwaingizi vifaa maalumu na kupima kama atakuwa na magonjwa /saratani ya shingo ya...
MUME WA MTU SUMU...
Jamani msione watu wanaishi nyumba nzuri asubuhi kila mmoja anatoka na gari lake kwenda ofisini yanayoendelea humo ndani ni KUTA ndio zinayazuia.Jana lilitokea bonge moja la...