Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hivi hawa viongozi wetu wamepatwa na nini ndugu zanguni? Inasikitisha sana. Jioni ya leo nimekutana na moja ya dhehebu katika pita pita zangu, ikabidi niingie japo niiburudishe nafsi. Mara pap ni...
0 Reactions
13 Replies
864 Views
Tuambiazane faida za kumtafuta au za kumpata mwanaume mitandaoni wanadumu.
6 Reactions
55 Replies
2K Views
Wadau, Kwamimi ninavyoona, kufanya punyeto ni sawa tu kusema unafanya mapenzi ya jinsia moja lakini pia ni sawa tu kusema unafanya mapenzi kinyume cha maumbile. Nyie mnaonaje?
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari wana JF, ni mimi hapa nguli wa mapenzi, a.k.a mzee wa ovyo, hapa kitaani ukiulizia nyumbani kwa mzee wa matikiti kudondokeana unaletwa hapa mlangoni kwangu Basi bhana, miezi miwili...
1 Reactions
17 Replies
822 Views
Kidume mwenzangu umeshawahi kukutana na wadada waivaa kama hiyo picha hapo chini? Tiririka sifa zao hapo chini……
15 Reactions
136 Replies
5K Views
Nimekuwa nikiwa katika mahusiano na risk tofauti lakini hakuna aliyekuwa afadhali! Wanaamini wao ni wakuhudumiwa yeah ni wakuhudumiwa ila sasa wamezidi kutoka katika kuhudumiwa na kufanya fursa...
10 Reactions
64 Replies
2K Views
Salaamu wana MMU... Binafsi napendekeza hawa members wawe couples kwa mwaka 2024 kama walivo wale wengine (siwataji mnawajua)......hii ni kutokana na uandishi na style yao ya uandishi.. Usisahau...
16 Reactions
258 Replies
5K Views
Ni kawaida kuwaona wakiita besti, mara rafiki mara shosti nk nk huku wakienda mbele zaidi na kupiga picha wakiwa wamebinua makalio na kuweka instagram. ILA.. Deep down wanajua kabisa...
23 Reactions
132 Replies
4K Views
Kuhonga mwanamke asiyekuwa na shepu hii, ni matumizi mabaya ya fedha. Wengi wanajisifia kuhonga vipato vyao kwa wapenzi wao mbalimbali; wengine wanasema pesa ya mwanaume lazima itumiwe na...
35 Reactions
239 Replies
11K Views
Je, unaweza kuanza maisha na mwanaume ambae hana kitu yaaan apeche alolo na mkapanda taratibu? Nasubiria majibu, wanaume mnakaribishwa kuchangia.
12 Reactions
216 Replies
11K Views
Katika hali isiyo ya kawaida ambayo nimeifanyia utafiti mikoani na mjini na vijijini, wanawake ukidate naye hawazi tena kinga na akuilizi na akiona unataka sana kinga anakwambia zinaniletea fungus...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa.. limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲 anyway, ladies take time to...
46 Reactions
343 Replies
13K Views
Habari zenu wakuu, Nimekuwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu sana, sijawahi kufikiria kumuoa kutokana na tabia yake ya kunipiga vizinga. Juzi wakati nipo mahali nilikutana na...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Mapenzi yapo huduma zote ananipa majina yote ya mahaba naitwa, ila kama mwanaume alieenda shule na kujitambua naona kiunganisho kikuu na yeye ni hali yangu ya uchumi kwa sasa. Men we need to be...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Binti kaanza kunywa p2 tangu form 1 mpaka chuoni, wewe unavamia treni kwa mbele kujifanya mtakatifu eti uende kufunga nae ndoa ya kitakatifu, ogaaaaa utaumiaaaa, utaliaaaaaa !! Piga sana karanga...
4 Reactions
11 Replies
695 Views
Leo tupige story kidogo, siyo muda wote kuwa serious sana. Mimi nilioa nikiwa na umri wa miaka 27 nikajaaliwa kupata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 28, hiyo ilikuwa 2011, hadi leo nipo kwenye...
15 Reactions
63 Replies
6K Views
Nimeishi na mke wangu kwa miaka zaidi ya kumi na tumepata watoto. Katika miaka yote hiyo sijawahi kumpiga wife ukiacha kuzunguana hapa na pale. Sasa juzi kati alinizingua vibaya nikajikuta...
8 Reactions
48 Replies
2K Views
Aisee, ule wimbo wa Mwana FA BADO NIPONIPO kuna verse inasema "alilala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi. Ninaishi Moro mijini. Natoka zangu kwenda mihangaikoni ghafla nakutana binti...
16 Reactions
145 Replies
7K Views
Habari, mnisamehe wapendwa nawapenda wote miamia. Yaani naipenda hii siku hadi naumwa mapenzi hapa nilipo nshapiga konyagi kubwa lao mbili nakula vibez kama zote. Ni mimi Baharia Wadiz
5 Reactions
6 Replies
347 Views
Hii ni siku inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo Februari 14. Imetokana na Mtakatifu, Askofu wa Kanisa Katoliki wa miaka ya 496 baada ya Kristo aliyeitwa Valentino. Siku hii watu wengi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom