Angalia tu hata kwenye contact list yako.
Wanaopost sana status kuhusu valentines ni wale wasiojulikana bwana zao. Walioolewa na wale wenye mahusiano hai, hawajishughulishi sana.
Dear Beautiful sunshine,
I hope this puts a smile on your face because whenever someone calls me handsome, it makes me smile. Every morning look at yourself in the mirror and say"I love you...
Acheni kupiga vita ndoa, kwani ndoa ni mpango wa Mungu, bila kujali dini yoyote. Kwamba zina shida na changamoto nyingi ni kweli, lakini hii haifanyi ndoa kuwa kitu kibaya, kumbukeni ndoa ni baina...
Huwa siwaelewi watu wanaowapinga team kataa ndoa na Atheist sababu kufanya hivyo ni kama kupangiana jinsi ya kuishi hapa duniani na hiyo sio sawa kwani kila mtu ana haki ya kuishi na kuamini...
Ukweli usiopingika....!
Kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa miaka hii imekuwa kama kitu cha kawaida sana kwa watu, imekuwa kama fasheni watu hawaoni shida kuoana ndani ya kipindi kifupi wanakuwa washa...
Wakuu,
Kweli nimeamini hawa viumbe ni nyoka aisee, nimekoma kuoa hawa watu watu kutoka kanda ile ya Kaskazini, hawa wanawake siyo poa kabisa najuta kabisa, dah!
Huyu mwanamke anajikuta ni...
Mkaka mmoja alilalamika kua:
Atamnunulia nguo huyo mwanamke kila week mdada akiona nguo nzuri mwanaume atanunua
Atampeleka outing mara nyingi kwa gharama zake
Atamlipia hela akasuke aweke kucha...
Usiharakishe kuingia kwenye mahusiano mpaka utakapokutana na mtu sahihi ambaye atakupenda bila masharti.
Jizawadie, pata mtoko wako mwenyewe, na ujijali. Huna haja ya kuwa kwenye mahusiano ili...
Wakuu niwastue au niwaache....leo mnapgaje hapo?
Aisee mkiwa ndugu tena wa family moja mara nyng mtakuwa wamoja sn kabla mmoja mmoja hajaoa ila mkshaanza kuoa uwenda na undugu ukabaki wa damu tu...
Hivi wa dada, Katika mahusiano ukiwa unaanza nini kikubwa ndio kitu ambacho unawasiwasi nacho?
Unaogopa kuwa utapotezewa muda, au ni kwamba jamaa ameshakula na amekuacha tu kama mchezo mchezo...
Habari ya wakati huu..uzi huu unakukuta sehemu gani ya kudanganywa?kitandani?unatembea?kwenye daladala?uko vacay?au ndio hueleweki ndugu mtanzania mwenzangu?
Bhana mapenzi ni matamu sana ukimpata...
Wajameni mimi ni mswahili kabisa na sifa moja ya mswahili ni ustaarabu na uadilifu aisee na wala sihitaji ugomvi na mtu yoyote ile aisee siku moja kabla ya msiba wa ndugu yetu tulikaa kikao na...
Hello ladies!!
Niseme ukweli, mimi sio mtu wakutilia sana maanani sikukuu(s) zaidi ya birthdays. Kwahiyo sikumbuki kusherehekea Valentine na mtoto wa mtu, ila zawadi ambayo nimewahi kumpa mkaka...
Yawezekana ukawa muhanga kwa sasa au ukawa tayari umepitia hali hiyo na ukikumbuka unajishangaa ni vipi uliweza kuvumilia ilihali ulikuwa unafukuzwa? Au ulipewa dawa? Muda mwingine sio dawa bali...
Eid Mubarak watu Wa Mungu!
Naombeni ushauri, nimetamani kusafiri kwenda nchi yoyote ya Africa kutembea na kujifunza fursa za uwekezaji na ajira ktk nchi hizo, nimejipendekezea kwenda s/Africa au...
Wanawake waliofika miaka 30 na kuendelea na hawajaolewa huwa wanahonga asikwambie mtu, lengo ni kumvutia mwanaume ili amuoe.
Kutokana na kupoteza matumaini ya kutokuolewa kwa muda mrefu...
Dada zetu mbona mnatutenga sana sisi tusio na kitu? Sasa upwiru tutaupeleka wapi jamani?
Unakutana na mdada mzuri umevutiwa nae, kutokana na haraka alizonazo unaona bora niombe namba ya simu...
Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi...
1. Abrahim > Wake watatu
2. Jacob > Wake wanne
3. David > Wake 8 na masuria kibao
4. Solomon > Wake 700 na masuria 300
5. Rehoboam > Wake 18 na masuria 60
6. Abijah > Wake 14
7 Lameki > Wake...
Baada ya kusafisha na kupanga nyumba yangu, kaka yangu alinipigia simu na kuniambia, "Mimi na mke wangu tunakuja kukutembelea."
Nilienda jikoni kuwaandalia kitu, lakini sikuweza kupata chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.