Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kichwa cha habari kinajieleza. Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano. Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao...
41 Reactions
249 Replies
62K Views
Halaaaaaa!!! Unajua asilimia kubwa ya wanaume huwa tunadanganyana sana kuhusu mwanamke bikra wengi tunadanganyana kuwa bikra ni waaminifu tunadanganyana kuwa bikra hawezi kukuacha tunadanganyana...
11 Reactions
73 Replies
12K Views
Isi unavyoweza, kutokana na ndoa kuwa ngumu kila dume lililopo kwenye ndoa kulalamika ooh namuhudumia lakini haniheshimu ananisaliti nk sasa kwangu nimekuja na mfumo wa fo4 fo4 two huu mfumo...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
UMEWAHI KUWA NA RAFIKI AMBAYE UKIONA TU SIMU YAKE UNAJUA NI YA SHIDA. Taarifa mbaya kuhusu watu hao ni kuwa sio marafiki bali wanakutumia tu kwa maslahi yao mapana. SIFA ZA WATU HAO 1.Wakiwa...
6 Reactions
11 Replies
735 Views
Mpaka sasa najuta sana kulisikia neno "TANESCO" masikioni mwangu. Basi bhana! Mida ya saa 12 niliwasili hapa Ubungo kwenye hii fly over ya Kijazi, pembezoni mwa jengo la mitambo ya umeme Nikiwa...
4 Reactions
19 Replies
958 Views
Hawa viumbe wana shida ndugu zanguni. Muda huu tumetoka kuachana njia, yeye kaelekea kazini kwake na mimi naelekea mahali nikabadili hii suti yangu ili nivae vikali vyangu vya kutembezea nguo za...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Twende kwenye kisa: Mwaka 2022 mwezi September kuna binti nilivutiwa naye kutokana na kuwa na sura yenye nuru na tabasamu, shape 8 na trako la kwenda likiwa na tabia mbaya ya kunesa nesa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwanaume kavutiwa na wewe, karusha ndoano, umekubali. Usiku huo huo unaanza mizinga, naomba 150,000/- mama mdogo ana fibroid anatakiwa upasuaji. Kwa shingo upande unampa. Baada ya siku mbili...
38 Reactions
249 Replies
10K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari tajwa, Niende kwenye mada isemayo utapeli wa mapenzi unafanyika siku ya Valentine Day. Kama mjuavyo mwezi huu wa pili tar 14 Huwa ni siku ya...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu mko poa? Miaka kadhaa ilopita mtaani kwetu huko mkoani tulipata Ugeni. Familia Bora kabisa ilihamia Mjini pale. mbali na Hayo familia Ile ilikuja na Zawadi! Zawadi Adhimu ambayo kila...
54 Reactions
207 Replies
31K Views
Habari za wakati huu Moja kwa moja niende kwenye mada husika maana huu uzi nitaleta na utajumuisha matukio mbalimbali kwenye maisha yetu ya ndoa. Moderators msiuchanganye wala kubadilisha title...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
- Kuna watu hata wateswe mara ngapi na mapenzi, hata waachwe mara ngapi, wao kila siku wanapenda tena watu wapya. - Kuna wengine, hawawezi kuishi bila kufanya mapenzi na (hawajaoa wala kuolewa)...
5 Reactions
12 Replies
777 Views
Wakuu habari za blue monday! Labda niulize swali,hivi watoto wa kike karne hii ya 21 wanazaliwa wakiwa hawana "seal" au mambo ya tabia nchi yanafanya ziondoke zenyewe? Maana kwakweli nilishahaso...
11 Reactions
143 Replies
14K Views
IKiwa ni wiki ya kumbukizi ya siku ya wapendanao, hivyo naomba kwa ufupi zawadi ya kumpa mrembo wangu ( penzi jipya). Karibuni maoni na mapendekezo yako ni muhimu nb: penzi jipya mambo yasiwe mengi😊
6 Reactions
113 Replies
3K Views
Binti kaolewa wiki mbili zilizopita na anaweka kabisa status picha za harusi, mumewe n.k ila huwezi amini ninachochat naye hapa sasa hivi, na si ajabu weekend hii nikaenda mla. Aibu naona mimi...
19 Reactions
160 Replies
16K Views
Kuna muda mdada anatumia mbinu za kivita kumtega tajiri kihisia ili amnase. Na akimnasa anatumia njia za Cuba kumuweka tajiri kwapani. Ikitokea mdada kadaka ujauzito wa tajiri hutamani kumzalia...
30 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari! Kuna mambo ya ajabu yanazidi kutokea na jamii inaendelea kupigia makofi na shangwe kwa huu upuuzi. Hakuna kitu kina shangaza hivi sasa kwa mwanaume kulilia mapenzi hadharani kabisa. Kama...
7 Reactions
77 Replies
9K Views
NDOTO YA MARRY TODD LINCOLN Marry Todd alipokuwa na miaka 18 alimwambia baba yake ndoto yake kubwa ya kuwa mke wa raisi wa marekani lakini baba yake alimjibu "marry mbona una tamaa hivyo...
17 Reactions
55 Replies
3K Views
Hawa wanawake kwa kweli nimewapa nyota tatu za jeshi. Dada mmoja wiki tofauti kaja dukani kanunua simu tofauti ambazo ni iPhone 14 na Samsung S23, zote hizo ni wanaume wawili tofauti, mmoja...
1 Reactions
4 Replies
567 Views
Mu hali gani Wana JF? Natumai mnaendelea vyema na pilka pilka za kuijenga nchi yenu ya Tanzania.Huku Kenya vyuma vimekaza Sana nawaza kuhamia huko Tz kwahyo naomba mniambie sehemu nzuri ya...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom