Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
By Kabakura Jean Bosco Ceusi Orgasm is the peak of sexual arousal, which culminates into ejaculation in men. Therefore, men or even their sexual partners may be aware it has happened. Only a few...
0 Reactions
2 Replies
533 Views
Kama mpenzi wako wa kike hajawahi kukununulia kitu chochote chenye thamani, au kukulipia bili yoyote katika harakati zako za kimaisha, au kukusaidia katika mchango wowote katika majukumu yako ya...
11 Reactions
64 Replies
2K Views
wakuu ni Adje. Mechi ya South Africa na Nigeria tulikuwa tunacheki mshkaj wetu mmoja akawa kuna demu anamfukuzia, sasa mpaka usiku mrefu anachat nae akawa anatuambia demu anasema yupo na mtu...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Jua kali mida ya mchana kuelekea al asiri, mwamba mmoja anaonekana akiongea na simu yake ya mkononi,na hakika amezama hasa katika maongezi yake. Wazee wa Cuba huwa hatukawii kung'amua kwamba kuna...
7 Reactions
16 Replies
868 Views
Mwanamke ameajiriwa taasisi binafsi, anaingia saa moja asubuhi anatoka saa kumi na dk 40 jioni, akirudi nyumbani mume anataka apikiwe, mpaka afike kwake ni saa kumi na mbili jioni akirudi apike...
15 Reactions
126 Replies
4K Views
Natumaini mko salama Huu msemo unazidi kushika kasi sana mitaani, nimekuwa nikisikia wadada wengi nyakati tofauti tofauti wakidai hawapendi mwanaume mweupe. Kwa maana nyingine wanatuaminisha...
31 Reactions
94 Replies
8K Views
Wakuu niwastue au niwaache? Jpl ya leo mnapgaje huko yanga na prisons kule fainal ya afcon. Narudia tena maskini ndo huwa wanaamin ukiwa na hela basi huitaji mahusiano tena au uktafuta hela bs...
0 Reactions
4 Replies
335 Views
Habari za Usiku wana JF, Kuna mdada nimempenda Sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina. Mtoto ana miaka 6. Naomba ushauri tafadhali!
14 Reactions
158 Replies
7K Views
Ulianza kufanya mapenzi ukiwa na miaka mingapi? Binafsi nilikuwa kidato cha kwanza mwezi wa 12 nikiwa na miaka 15 , ilikuwa kama utani hivi kuna demu mmoja alikuwa jirani yetu ni mkubwa kiumri na...
4 Reactions
162 Replies
25K Views
Ndugu wanajamii nawatakia heri ya Christmas na maandalizi ya mwaka mpya. Kuhusu mada hapo juu, nipo kwenye mahusiano (sijui kweli au geresha) na mdada matured kama mimi kwa karibu mwaka na zaidi...
32 Reactions
227 Replies
11K Views
Habarini wakuu, teknolojia inazidi kukua kila uchao. Hivyo inatuwezesha watumiaji wake kuwekeza pesa kiduchu ili kupata matokeo makubwa Twende kwenye mada. Naweza tumia kamera ya simu ipi kupata...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Mwanadada Mentor Cherry, amewahasa wanawake wenzake kutovumilia usaliti kwenye ndoa kwa kigezo cha kwamba Mwanaume hatosheki. "Kumekuwa na maneno ya kuwa Mwanaume hatosheki na Mwanamke mmoja n.k...
2 Reactions
16 Replies
883 Views
FAHAMU KUHUSU BUNDUKI & MISHALE YA KICHAWI. Juu na chini mfano wa picha za bunduki za kichawi. Mshale. Ninapo sema bunduki na mishale...
8 Reactions
61 Replies
119K Views
Huyu msanii anaitwa yammi mpelekeeni mauwa yake kutoka kwangu. Nilikua kwa mchepuko, baada ya game nimeenda kuoga yeye anarekebisha mambo si akaweka huu wimbo, nikawasha shazam ikaudaka unaitwa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni ngumu Mwanaume kula hela ya mwanamke Ila Kuna nyakati nafasi inapatikana ushauri ukipata hiyo nafasi we kula pesa. Kuna wanawake wenye pesa Ila kichwani sifuri wengi wapo mijini hawa ni kula...
4 Reactions
18 Replies
998 Views
Huwa tunachati mpaka sawa tano usiku, ila cha kushangaza saa moja jioni naona meseji ya usiku mwema. Sikujibu ila nilimpigia simu haipatikani. Leo sijamtafuta naye hajanitafuta
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Simu yake imeharibika halafu akasema atarekebisha juujuu ili akambambikie mtu mwingine. Nikamuacha mara moja. Mwingine namuuliza kitu gani unachokipenda maishani akanijibu yeye anataka avae na...
15 Reactions
29 Replies
2K Views
Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu. Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi. Nimekuja kujua tunda la kati kati ni tamu ila madhara yake ndio...
52 Reactions
459 Replies
16K Views
Ndugu wana jf, baby wangu mpya ananipa changamoto sana ila anafanya na tumia akili kubwa sana, Sihitaji hasira wala kuchukia chukia japo wakati mwingine akiwa anakonyeza konyeza najikuta moyo...
4 Reactions
55 Replies
2K Views
Back
Top Bottom