Habari!
Nimeandika huu uzi kwa majonzi makubwa kwa huyu jamaa mwenye huyu mke kwa niliyoyashuhudia kwa macho yangu. Hivi karibuni nilikuwa na matembezi yangu binafsi ya hapa na pale, sasa mwezi...
Habari wakuu,
Nimewakumbuka sana,
Husika na kichwa cha habari hapo juu, umeoa au kuolewa ila Kuna yule mpenzi usiyeweza msahau.
Kama kuna jinamizi linalowatesa wengi waliopo kwenye ndoa ni lile...
Katika harakati zangu za kuizunguka tz, baada ya kutoka Arusha, nikasema nitaenda Lushoto, Sasa Leo kwenye safari ya Lushoto nikaona nishukie njiani hapa same maana ni kama nyumban pia, nikachukua...
Nyie wanawake mbona hamjijali kiasi hiki, Msichana unaonekana mzuri kwa nje ila kwa ndani ni balaaa una magonjwa kama yote.
Nilikutana na ka Binti kazuri nikakaamini nikakapelekea moto kavu kavu...
Habari za wasaa huu wandugu,
Nahisi siko vizuri kisaikolojia naombeni msaada nilitengwa kijamii. Sipati ushirikiano kutoka kwa ndugu, marafiki zangu na jamii yangu kwa ujumla.
Hali hii...
Hey, sasa mpo dar namnasema asilimia nyingi mpo single why . Nampo kwenye eneo kubwa Tanzania nzima .
Ukiacha watu wa serikali. Katika vitengo mbali mbali. Kuna makampuni makubwa ambayo head...
UKWELI NI KWAMBA, Wanawake Nao Wanajichua Au Wanapiga Punyeto Kama Wanaume Na Kitendo Hicho Kina Madhara Kiafya Kwao Kama Ilivyo Kwa Wanaume Hivyo Kukaa Kimya Bila Kulizungumzia Hili Ni...
Kumuuliza mpenzi wako kuhusu historia yake ya ngono inaweza kuwa kama kutazama filamu ya kutisha, unataka kujua kinachoendelea lakini pia hutaki kujua. Wataalamu wa mahusiano wanaeleza kuwa...
Hello guys!
Kama unasoma ujumbe huu naomba nikushukuru kwa kupoteza muda wa kusoma nyuzi zingine na kujua ni kipi hasa ninahitaji unishauri. Nitaanzia mbali kidogo ili upate mtiririko mzuri wa...
Naomba uandike hiki kitu kaka kwani mimi kinaniumiza sana, nina miaka 35 sijaolewa nahisi kila mwanaume ananiona Malaya.
Iko hivi, kipindi cha ujana nikiwa chuo kuna mwanaume nilikua naye, kama...
Nataka mke wangu siku zote awe soft, young elegant and flourishing, sitaki aonekane mzee,
Naombeni uzoefu kuanzia moangilio wa uzazi na mambo mengine
Shukran
Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada yetu isemayo, Dunia inaenda kasi, kulea mtoto wa kiume ni kazi kuliko wa kike.
Hapo zamani kidogo, ilikuwa mzazi kulea mtoto wa kike alikuwa na...
3 Lakini fahamu jambo hili: kwamba siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu.
2 Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, watukanaji...
Siku hizi imezuka tabia ya mijimama kupendelea vijana zaidi ya wazee. Unakuta mjimama unapita barabarani [emoji23] na kijana ambaye wametofautiana hat miaka 20 lakini yupo comfortable na kamuacha...
Wakuu, share experience yako hapa ya siku ya kwanza kufanya Ngono ulikua na umri gani na ulipata hisia gani na
Hali ilikuaje?
Binafsi nilikua na miaka 14 mwanamke nlieanza nae alikuwa ananizidi...
Wadau poleni na kazi za leo,ok
Kuna kitu huwa najiuliza sipati majibu ya kuridhisha,Hivi kama una mchumba unaetarajia kumuoa/kuoana unaweza kumpiga picha za uchi?au video za uchi? Mdada kama...
Mie ni Mama na mjue kuwa hata mkisema mengi mie ni mama nimeolewa na watoto sio mtoto na watoto wanne mie ni mama.
Juzi kati hapa mnaniandama mie nimtu mzima sana. Ongeeni mengi ila mie ni mama...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu kisemacho sponsor's wanavyowanyima uhuru wadada.
Kama kuna kitu ambacho wadada wanakipatapata hasa wale wanaopenda kudanga na masponsors basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.