Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hivi ni lazima uwe na mwanaume kila saa akuridhishe maana hili nalo neno kwa maana humu wengi wanadai kufanya mapenzi eti nilazima . Wajuzi ambao mnazini kila daily tujulisheni umuhimu wa...
8 Reactions
74 Replies
2K Views
Dah! Sio kwamba tunashindwa la hasha! Ni kwa vile tu uchumi umeshuka, hasahasa ninyi mnaojieka ki baby Zuu, inafikia hatua tunajiuliza kuwa endapo tutawarushia nyavu, tutakuwa tayari kukabiliana...
7 Reactions
15 Replies
867 Views
Unaambiwa "Kua Uyaone". Siku hizi replies zimeanza kuwa Smart sana. Baada ya kufuatilia kwa kina ndipo nikagundua kuwa kuna watu wanalinda mapenzi, mahusiano ama ndoa zao, unaambiwa nowdays si...
4 Reactions
5 Replies
290 Views
Leo nataka niwape faida ya karafuu katika kuchelewa kufika kilele kwa lisaa1hadi lisaa 1:30 mpaka massa 2:00 kama unapumzi ya kutosha. Chukua karafuu kijiko kidogo cha chai ponda upate unga wake...
2 Reactions
51 Replies
86K Views
Wiki iliyopita nilikuwa kwenye daladala za makumbusho nawasiliano tukawa tumekaa na dada mmoja hivi jina aliniambia anaitwa Cathy Huyu dada cathy sio siri alikuwa mzuri sana na nilijiapiza japo...
25 Reactions
152 Replies
12K Views
Huyu member nna muda sijaona comments zake hapa jf. Namkumbuka kwa michango yake hapa jukwaani ila kwa sasa Kawa kimya.
6 Reactions
147 Replies
4K Views
Kuna mambo ukisimulia watu wanaweza wasiamini ila yapo. Nimetafakari sana kuhusu kusaidia kuolewa kwa wanawake. Nimekuwa nikikutana na wanawake wengi tunajadili maisha hasa sehemu za ulabu...
6 Reactions
54 Replies
2K Views
Manipulation is to control or play upon by hurtful, unfair, or insidious means especially to one's own advantage. Sikatai hii ni sehemu ya driving force ya ulimwengu huu ili mambo yaende. Ila...
4 Reactions
23 Replies
630 Views
Wakuu kuna Single Mother mmoja kila akiniona ananikonyeza na kunitikisia Wowowo lake mithili ya tetemeko la ardhi! Wakuu sio mtego huu?
11 Reactions
29 Replies
1K Views
Nina shida ndugu zanguni. Nimepumzisha akili vya kutosha, nimepata wazo la kuoa. Ili moyo wangu usuuzike, unahitaji mwanamke bikra Huku duniani hali ni dhofrihali! Mbususu zinachakatwa na...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu, Tangu xmass sijafungua kabisa Duka langu, niliamua kujipa mapumziko ya hiari mpaka sikukuu zote za xmass na mwaka mpya zipite ndo ntaendelea na biashara. Siku ya Jana tulikua na miadi ya...
11 Reactions
113 Replies
5K Views
Ikipita miaka kadhaa huwa wanarudi kwa wanaume wa zamani. Unakuta mtu kashazaa watoto na ana mume lakini anarudi tena kwa wale waliomuacha zamani.
1 Reactions
5 Replies
488 Views
Habari WanaJamiiforums, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Imekuwa kawaida Wanawake kulalamika kwamba wanaume hawaangalii wala kutilia mkazo kikamilifu kuhusu shida zao. Lakini ukweli ni kwamba...
10 Reactions
297 Replies
8K Views
Mpendwa taja kila kitu, kwa mfano... Urefu wake, rangi yake, lugha yake, elimu yake, wadhifa wake kazini, mwenye dimples, utu wake, hobbies zake, maadili yake, umri wake, nk. Hayo utakayoyataja...
6 Reactions
47 Replies
2K Views
Kuna dini moja inamwabudu mwanamke bikira, alizaa mtoto zaidi ya mmoja, lakini bado wanamuita bikira mtakatifu mama wa Mungu. Dini nyingi wanaamini kwamba peponi ukifika unapewa wanawake bikira...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
sisi wanaume waongo ila mwanamke anamaumivu na akikuumiza anakuumiza kweli kwa hiyo wanaume tusiwatendee sana vbaya wanawake.
2 Reactions
25 Replies
1K Views
I have come to realize that marriage is not for everyone, and I have accepted that it may not be the right path for me. After going through multiple relationships and experiencing heartbreak, I...
50 Reactions
216 Replies
8K Views
Rejea kichwa Cha habari hapo juu Kuna Dem nimemfukuzia kama mwezi Moja hivi ila alichonijibu et Mimi Nina pigo za kichungaji Kiukweli Mimi sio mchungaji wala Nini ila sijajua kajifikiria nini...
11 Reactions
32 Replies
1K Views
Hii kitu inanishangaza sana, nipo mkoa X ambapo ndipo makazi yakudumu yalipo ila sikai sana sababu ya kazi zangu, lakini ninakutana na mambo ambayo nadhan yanasababishwa na mabadiliko ya tabia ya...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Wapo watu akiwamo mgombea urais wa Kenya William Ruto kutetea kwamba hakuna haja ya kutahiri sababu ndivyo tulivyoumbwa Mkono wa sweta na condom ni sawa na kutumia mafuta ya kujipaka mwilini...
1 Reactions
4 Replies
535 Views
Back
Top Bottom