Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Asante kwa JF humu tunaongea bila kujuana hata katika vitu ambavyo huwa hatupendi kuviweka wazi kama kuchapiwa maana ni aibu, humu hatujuani inakuwa rahisi kuweka mambo wazi... Kisa changu...
136 Reactions
589 Replies
110K Views
Kwa wale wanawake ambao mmewahi kunyanyaswa kingono, semeni ilikuwaje. Lengo ni kujaribu kupambana na hii hali katika jamii yetu.
3 Reactions
5 Replies
483 Views
Shosti wangu analalamika sana kuhusu kuishi maisha ya uke wenza.Mumewe alimuolea mke mwenza na toka wakati huo maisha yao ni ya shida tupu. Kiwango cha maisha kimeshuka sana. Hakuna maelewano...
0 Reactions
1K Replies
96K Views
Hii imenikuta mara nyingi sana kiasi kwamba nimepunguza urafiki na watu wengi sana. Unakuta una rafiki ako , Ila akitokea rafiki ake anakuwa busy sana na rafiki ake na wewe anakukataa kwa muda...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
ntajaribu kuelezea kwa kifupi sana ili stories zisiwe ndefu na najua watu wengi hawapendi kusoma.sitoweka majina ya wahusika na nitakwepa pia kutoa details nyingi ili nisiwaharibie huko waliko...
9 Reactions
130 Replies
20K Views
Habari wakuu! Aisee leo nahitimisha kwenye hii dunia ukiishi na kiumbe mwanamke usitegemee katu kua ukifulia ataweza ishi na wewe kama awali Anaweza kujidai na kujikaza ili asikuoneshe wazi ila...
79 Reactions
605 Replies
24K Views
Mambo hayo ni: (i) Matamanio ya mwanaume dhidi ya mwanamke wa aina fulani. Kibaiolojia kila mwanaume yuko tayari wakati wowote kushiriki tendo la ndoa na mwanamke wa aina yoyote ile ukilinganisha...
4 Reactions
9 Replies
5K Views
Wanaume tunapozeeka tunarudi kuwa watoto, Wanaume husema "men age like a wine" wakiamini kua kadri wanavyokua ndivyo wanakuwa na mvuto zaidi kwa kuwa wanajijenga kiuchumi, ila ukweli ni kuwa...
42 Reactions
103 Replies
7K Views
Kwa bahati nzuri au mbaya tabia hii nilianzisha tangu naanza kuwa na mahusiano ya mwanzo kabisa, Mwanamke akisema ajisikii au kama sijamua hata arukeruke uchi usiku au mchana mzima siwezi...
23 Reactions
338 Replies
34K Views
Salamu kwa wote Nakereka na tabia za mademu unamcheki ili aje ghetto mara pap jibu anaomba elfu 50 au laki, ukimchana kuwa baby nimeamka na nyegezi mdudu yuko juu naomba uje anakuunga na ombi...
5 Reactions
7 Replies
536 Views
Nakumbuka mama alishawahi niambia kwamba nikihitaji heshima ndani ya nyumba ni kuwa bora kiuchumi kumzidi mwanamke wangu. Lakini mpaka sasa mapambano yanaendelea naona kabisa naelekea kubaya...
12 Reactions
56 Replies
3K Views
Wataalam, Nimekuwa kwenye mahusiano ya takriban miaka mi3 Sasa na huyu Binti mmoja mtoto wa Kigogo mkubwa hapa Tanzania. Kusema kweli Binti ananipenda na Mimi nampenda sana. ila changamoto...
9 Reactions
95 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha. Sasa...
31 Reactions
180 Replies
16K Views
Nimestushwa na kauli ya hiyi ya huyu jamaa yangu, kaniambia toka amemuoa, leo wana miaka mitano lakini hali yao kiuchumi ipo vile vile zaidi ya kuongeza vikombe, sufuria na mandoo, na kikubwa...
4 Reactions
10 Replies
537 Views
Usioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati( whatever that means because watu wanapenda tu wakiona watapata nn sana sana wanawake) oa au olewa na rafiki kipenzi na mtu mnayeendana kitabia...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Habari wadau, Kwa muda mrefu umekuwepo msemo huu kwamba wanawake wenyewe kwa wenyewe hawapendani ambayo inaonekana ni tofauti na ilivyo kwa wanaume. Hadi kufikia hatua kusemwa unaweza ukakuta...
17 Reactions
406 Replies
13K Views
Naomba nitambue uwepo wa members wote wa ke/me katika suala hili kuntu la kutendwa,itoshe kusema itifaki imezingatiwa. Moja kwa moja kwenye mada,suala la mahusiano la kimapenzi linapitia katika...
4 Reactions
144 Replies
19K Views
Nimeishi naye tangu mwaka 2017 baada ya 2014 kumzalisha mtoto nikaamua nimchukue tujenge familia 2023 tukapata mtoto wa tatu nakuja kugundua mwenzangu anamahusiano nje na mchumba wake wa awali...
16 Reactions
61 Replies
3K Views
Hii code ni ngumu kumeza na wazee wachache sana wanaoweza kuwapa elimu hii vijana wao kiume kabla ya kuingia katika maisha ya ndoa. Ila ukweli ni kwamba kijana yeyote unapooa tambua ya kwanza...
2 Reactions
2 Replies
421 Views
Utajiburuzia unavyotaka. Utamwendesha unavyotaka. Utachepuka na kuzaa nje tani yako. Utamwachisha mpk kazi na ataacha. Na kamwe hutomsikia anasema chochote, maana anakupenda mpk kafika mwisho...
5 Reactions
9 Replies
599 Views
Back
Top Bottom