Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Leo ngoja niweke ushahidi wangu binafsi. Kuna mahala kwenye mijadala yangu humu niliwahi kusema nina mke mmoja na michepuko watatu ila watu wakapinga. Lakini ukiachana na michepuko hao watatu...
11 Reactions
50 Replies
2K Views
Ukipenda hauoni. Unapokuwa kwenye mapenzi na mtu ni ngumu kuona mapungufu yake sababu ubora unaopenda kwake, unafanya upuuzie mapungufu aliyonayo. Kitaalamu hali hiyo inaitwa "Halo Effect". Ila...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Mahusiano sio kitu kigeni na hasa mahusiano ya kimapenzi yamekuwa yakiimbwa kwa ubaya na uzuri kila uitwao leo, kwenye hii Dunia kila mtu ni lazima ahusiane kama hutofanya hivyo kwenye mahusiano...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Nina demu mmoja anasoma chuo, ananipenda sana lakini mimi namchukulia kawaida tu kwasababu ananiweka mjini, naishi kwake ananilisha na bills zote analipia yeye, mimi mchango wangu kweke ni kidogo...
8 Reactions
121 Replies
11K Views
Aggy ni mtoto aliyelelewa kanisani Pentecoste haswaa. Baba yake akiwa mtumishi wa hospitali ya kanisa hilo naye ni mzee wa kanisa kwa miaka mingi, bila kumuacha nyuma mkewe. Mimi na Aggy...
1 Reactions
3 Replies
610 Views
Kwema wana Jf Mwaka huu january nilipataga demu mmoja hivi pisi kali sana wa Arusha nikamuomba namba akanipa . Hapa nilikua sijawahi kuiona kabisa sura yake ila ni picha tuu na story tukawa...
17 Reactions
67 Replies
6K Views
Ndugu wana Jf . Ukitafakari sana kwa kina mapenzi ya siku hizi yamekua ghali sana kuliko kawaida, kama wewe ni wakuandika gharama za hela unazo honga honga na kumtunzia mrembo wako utakuja...
27 Reactions
108 Replies
5K Views
Binafsi ni msharika wa KKKT. nimebahatika kusali madhehebu mengi sana yakiwemo Roman Catholic, TAG,Anglican, SDA, KKKT na mengineyo. nimeenda kwa kualikwa na ndugu , jamaa na marafiki kusikiliza...
10 Reactions
53 Replies
4K Views
Siku hizi teknolojia imekua kiasi kwamba sio lazima umtongoze mwanamke barabarani sababu kuna mitandao mbalimbali ya kijamii ambayo ina wanawake wazuri wengi tu wenye maumbo na rangi...
17 Reactions
74 Replies
4K Views
Entitlement kwa ndugu wa kiafrika ni tatizo kubwa sana, mtu anajihisi kwamba kwavile ndugu yake kafanikiwa basi ana haki ya kupata sehemu ya mafanikio ya ndugu yake, nadhani hata wachezaji wengi...
3 Reactions
19 Replies
625 Views
Habari Wadau... Ni muda mrefu sasa sijachangia humu ndani, majukumu yamenifanya niwe nasoma thread za wenzangu tu.. Ila leo acha niwanasue baadhi ya vijana wanaoelemewa na mizigo mikubwa ya...
33 Reactions
163 Replies
75K Views
Hii kitu huwa najiuliza hivi unaweza kucheat ukiwa na mke ukawa na kimada kabisa pembeni hadi uwe unalala nacho. Hili ni moja ya zoezi la ujasusi kabisa. Hebu tupieni mbinu hapa.
12 Reactions
58 Replies
2K Views
Ndoa msingi wake ni upendo bila kujali nani ana ajira, ana biashara, ana cheo au hana kitu. Na jukumu kubwa la mwanaume ni kumpenda mke wake(upendo ndani yake kuna wajibu wa kucare umpendaye)...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Unashindanaje na kiumbe ambacho kina nyoa nyusi halafu kinajichora nyusi na Wanja? Unashindanaje na kiumbe ambacho kinakata kucha halafu kinajiweka kucha bandia? Unashindanaje na kiumbe ambacho...
6 Reactions
7 Replies
523 Views
Mwanamke anayekupenda kwa dhati ni mama yako tu. Hawa wengine wako na sisi kwa sababu kuna kitu wanapata au wanatarajia. Ukitaka kuamini ngoja itokee hicho kitu usiwe na uwezo wa kumpa ndio...
21 Reactions
81 Replies
3K Views
Idadi ya single mother ni ndogo mno lakini watu wanavyosema kuhusu single mother utadhan ni janga la taifa. Post nyingi zinawesema vibaya single mother kwamba sio wife material. Humtaki single...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME...
71 Reactions
310 Replies
21K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Niende moja kwa moja kwenye mada, Wanawake bwana wana vituko sana, yaani kwenye uchumba wanaweka mbwembwe kwenye sita kwa sita ni hatari...
21 Reactions
127 Replies
7K Views
Baada ya kupokea haya majibu nilipigwa na butwaa na kujiuliza, inawezekanaje huyu mwamba amruhusu mke wake abaki na simu yake wakati yeye ni mgonjwa? Tena ametoka kunywa dawa za usingizi...
10 Reactions
127 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Mimi ni kijana umri wangu ni 34years niliajiriwa nikiwa na umri Wa miaka 28 baada ya kuajiriwa nikaishi home miezi 9 nikaenda kupanga ila sio mbali sana na home nikawa huru. Nikawa...
32 Reactions
98 Replies
5K Views
Back
Top Bottom