Habari wakuu,
Husika na kichwa tajwa,
Sogea tukae ni aina ya ndoa za mchongo ambazo wanawake wamezitaka.
Wamezitaka wanawake kwakuwa wamejisogeza kwa wanaume bila kusubiri wakati wa wao kufunga...
Natumaini mko poa.
Katika maisha ya sasa kumezuka mtindo wa wanawake kujifanya wajuaji sana pindi unapo mtokea kwa nia njema ya kutaka kumuoa bila wao kujua hiyo ni ishara mbaya inayo wapelekea...
Watu wengi Mnashindwa kuelewaga mambo madogo na mnakuwa Vipofu katika mapenzi kwa kutoona vitu vidogo vidogo. Leo acha niwaambie ishara mbaya kwa mpenzi.
Mwamba/Dada unapokuwa katika harakati...
Habari zenu wakuu,
Hii ni mada maalumu kwa wanaume wote ambao toka kitambo wanatatizo la kutosimamisha jogoo yani tofauti na kupanda mtungi yani hawiki kabisa.
Kwanza naanza kwa pole kwa...
Takwimu zinaonesha Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA), kwa mwaka unapokea maombi ya talaka yasiyopungua 500+ Tanzania nzima.
Kilichonishangaza ni kwamba asilimia 78% ya Ndoa...
Tuna miaka 10 ya ndoa na watoto 3 sasa.
Naijua vyema radha ya papuchi yake, navyosema naijua ni kwamba naijua kweli. Mwaka juzi nilihamishiwa mkoani kikazi nikamuacha Dar. Baada ya miezi 3 nirudi...
Habari za ndugu zangu
HAKIKA NAWAAMBIENI TUSIPO WASIMAMIA NA KUWAKATAZA WANAWAKE IPO SIKU WATATEMBEA UCHI WA MNYAMA HADHARANI
Ukiwaangalia na kuchunguza sana wanawake zenu wanaovaa hivi na kama...
Bado najiuliza, Je, NDOA ni TAMU au CHUNGU ?!!
Ni swali ambalo walio nje ya ndoa wanajiuliza kila siku, lakini hata walio ndani ya ndoa nao bado hawana majibu yaliyokamilika.
•Kuna watu...
Habari wanajamvi,
Kuna huu msemo umezidi kushamiri katika maeneo mengi tofauti! Ni kuhusiana na kushushwa thamani ya kuwepo katika ndoa kwa wanawake aina ya thate plus!
Thate plus ni mwanamke wa...
Kipindi unamfukuzia alisumbua sana mpaka ukata taama kumuoa ikabidi uchukue mwengine. Muda wakati age ina bamba alikuwa anataka vigezo na masharti ni yupi mwanaume gani ampendaye.
Hivi vitu...
Nilibahatika kumsindikiza dada mmoja kwake na mizigo yake akiwa amerudi safari. Sasa ile namsaidia kuiingiza vitu ndani, sebuleni nilichokiona ni hatari!
Kweli sisi wanaume ni wachafu ila yule...
Hope you are doing good!
Kama mambo sio mambo komaa ndio tayari hivo upo duniani na hakuna dawa kwa hilo.
Kila mwanamke kazaliwa akiwa na PhD ya manipulation, hii ni sehem ya DNA yao wameumbwa...
Huku ndoani ni vurugu mechi, wakati anapika nikamgusa, nikaambiwa " ushaanza mambo yako, subiri nipike kwanza"
Nikawa mpole, sasa tumemaliza kula, nikaambiwa aongee na mama ake alimpigia af ndo...
Wengi mnamjua kama Diva The Bawse, huyu Mwanamke anajiita Rihanna na pia bila kusahau anajiita Beyonce.
Huyu Beyonce wa Bongo hataki kumpikia wala kumfulia Mume wake, kwa mujibu wa hii Video...
habari wana jukwaa,
Natumai sote ni wazima wa afya njema, na poleni kwa wenye changamoto za aina mbali mbali.
Mimi ni kijana mwenye takribani miaka 32 kwa sasa.
Nina changamoto ya vitu ndani ya...
Habari za mwisho wa mwezi mabibi na mabwana.
Kuna taarifa za msiba wa jamaa zimenifikia zikanipa tafakuri ya maisha. 🤔🤔🤔
Pindi tunapoondokewa na wapendwa wetu tunapatwa na huzuni sana...
Hii ni kasumba tutayokumbana nayo wanaume kwenye ndoa.
Ukiwa bachelor uhuru wa kurudi muda unaotaka , kukesha baa kuangalia mpira na kunywa bia, vyote hivi vinakuwa changamoto baada ya kuanza...
Kujilinda sio kwenye kupiga kavu tu, kwa huu mchezo unavyozidi kujipatia umaarufu tafiti zimeonyesha kuna wanaopata magonjwa ya vinywa na makoo, ni muhimu kuanza kuchukua tahadhari
Umegundua shemeji yako(mume wa dada yako) anatoka kimapenzi na bestfriend wako wa kike😳😳😳 na hawajui kwamba wewe unajua.
Unafanyaje? Una mconfront bestie yako au shem? Au unaenda kumuambia dada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.