Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Bila salamu! Sifa nyingi anazo, msikivu, mtamu, ana tako, mpambanaji, ana heshima, mvumilivu na kadhalika. Na mimi hapa nimemuelewa, ila kwa sasa tatizo naloliona ni moja tu. Anajaza ndugu sana...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Demu kupika anasema anachoka, yani kuna muda anapika chakula cha usiku mchana ili usiku asipike tena. Kufanya usafi ndani ni shida eti anasema mgongo unamuuma akiinama sana. Vyombo akishakula...
29 Reactions
411 Replies
13K Views
Kwasasa tunatembea barabarani ila ndani ya miili ni wabovu usije kumpiga mtu hata kwenzi la kichwa utaishia jela ndugu yangu watu tumeoza maradhi kama yote kutilia ndani saratani,ukimwi na BP. Ni...
16 Reactions
49 Replies
2K Views
Mwaka jana Desemba niliwatembelea ndugu zangu jirani, katika mazungumzo waliniambia kwa Kinyankole ila nitasema kwa Kiswahili 'Vijana wengi wa huku kwetu wanafanya mapenzi na wake zao kila siku...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Anachokifanya Sadio Mane kwa mkewe kinaweza kumgharimu sana. Maana dunia hii ni tambara bovu, linaweza kuchanika mahala asipotarajia. Eti kamruhusu mkewe aende chuo akaendelee na masomo ili hali...
20 Reactions
91 Replies
5K Views
1. Kutumia lugha asiyoijua Ni hadhi mtu kutumia lugha fulani kuonyesha wewe ni msomi, mjuaji au umetembea, lakini ni mbaya kwa mpenzio ambaye hana maarifa hayo, uona kama umedharau na kumkejeli...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Najisikia vibaya sana aliekuwa mchumba wangu amepata ajari mbaya sana na kwa bahatii mbaya amefariki. Ajali ya pikipiki yeye pamoja na mdogo wake, mdogo ake hajitambuii...
27 Reactions
141 Replies
8K Views
Maisha ni safari ndefu, kila mmoja ana namna au njia ambayo huitumia kufika aendako. Ila katika maisha haya, kila mmoja ana wakati ambao hukiri kuwa Kuna kitu kime mkubali. 👉Waswahili Wana sema...
21 Reactions
98 Replies
4K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
996 Views
1. If she has a tattoo ..... use a condom[emoji125][emoji125][emoji16][emoji16] 2. If she drinks beer ..... condom[emoji16][emoji16] 3. If she turns off her phone when she's with you..... boi...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna vita isiyoisha kati ya moyo na ubongo hasa kwenye ishu za mahusiano wakati moyo ukiulamu ubongo kwa maamuzi ya kijinga na kumsababishia maumivu ubongo huulaumu moyo kwa kumpa maumivu ya...
12 Reactions
140 Replies
18K Views
Mwanamke anaestahili matunzo ya mwanaume ni mke. Mke akiwa mama wa nyumbani hapa mwanaume anawajibika kubeba jukumu lote la ustawi wa kiuchumi kwenye familia, mke akiwa anafanya kazi/biashara siku...
16 Reactions
65 Replies
3K Views
Wanajukwaa mko pouwa. Leo hebu tubadilishane uzoefu.Kama tujuavyo kwamba Dunia ipo pamoja na mazuri yaliyomo ila changamoto zipo pia. Kuna hii changamoto ya kupata mtoto ,Unakuta mke kaolewa...
0 Reactions
9 Replies
622 Views
Wakuu. Kiukweli hapo nyuma nilikuwa si mtu wa mademu kabisa. Nimesoma o level na a level fresh , nilipomaliza six , nilijitahidi kutongoza girls angalau namimi nichakate mbususu bila mafanikio...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Mwaka jana mwezi wa 12 nilitembelewa na baba angu mkubwa kutoka mkoani baada ya miaka mingi bila kuonana ali niambia neno li lilo nikuna ni kaamua kulifanyia kazi, sasa hivi hu ni mwezi wa tano...
57 Reactions
307 Replies
21K Views
INTRODUCTION:- Nikiwa kama kijana mkataa kuoa, moja wapo ya sababu inayonifanya kugoma kuoa ni MDOMO wa MWANAMKE. Aisee hawa ni mama zetu, dada zetu, binti zetu, shangazi zetu ila WANA MIDOMO...
11 Reactions
152 Replies
8K Views
Wakuu habari za uzima? Leo nataka niongee na baadhi ya wanaume wenzangu wanaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwao kana kwamba sisi wanaume hatukosei kwenye jamii wakati maovu yote...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Mwanaume tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, lakini ukizeeka usitegemee lolote kutoka kwa wanao. Enjoy maisha ya uzee kwa...
43 Reactions
100 Replies
5K Views
Habari za wakati huu ndugu na marafiki katika jukwaa la MMU Kuna hiki kitu huwa kinanipa wakati mgumu sana kila nikikaa na kutafakari. Binafsi mimi ni kijana middle of twenties na bado...
1 Reactions
2 Replies
559 Views
Back
Top Bottom