Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Huyu dada nimekuwa naye kama miezi 6 sasa. Siku zote alikuwa mstaarabu sana.... Siku za karibuni nlianza tu kuona nakosa hisia kwake. Sababu mahitaji yake yalikuwa yanazidi kila siku. Leo ameamua...
31 Reactions
160 Replies
7K Views
There Is No Trust Between Both Of Them: See Photo That Got People Talking (Screenshots). Before we proceed please kindly touch the follow icon at the top to enable you remain updated, thank you...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yaani usiye mpenda atakupa gari nyumba nzuri kila kitu kizuri atakupatia. Na unayempenda atakupa kila maisha ya taabu.
14 Reactions
297 Replies
9K Views
Habari ndugu zangu. Ni kweli wanawake wanazingua mno na wakati mwingine wanaturudisha nyuma kiuchumi ila kwa sisi marijali huwezi kuwakwepa ni lazima tuu utajikuta unafungamana nao. Huyu binti...
9 Reactions
59 Replies
3K Views
Umewahi kutana na Single Movie ya kihindi yenye uongo uliotukuka? Yaani Movies kama RRR ama Rama? Em fanya kututajia, watu tukaoshe macho yetu dhidi ya huu ugonjwa wa Red Eyes Waiting...
0 Reactions
3 Replies
720 Views
Mimi ni mwanamke age 30 nina biashara zangu kubwa kidogo zinaingiza mpunga kwa siku sikosi faida ndogo kabisa laki tatu nina mtoto mmoja inshort ni singo mom. Sasa katika harakati za baishara...
29 Reactions
142 Replies
6K Views
Habari wadau WA jukwaa hili la MMU, tujikumbushe Kwa kuulizia member hawa baadhi waliochangamusha Jukwaa hili laa MMU NA Jf cheat chat kuanzia 2008-2015 1) lara 1 2) Watu8 3) AshaDii 4) Mtambuzi...
20 Reactions
95 Replies
4K Views
Kuna umuhimu wa Mwanamke kujua Kiasi cha mshahara au kipato cha Mume wake?
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Bonjour Wakuu hii sijui imekaaje, Siwezi kukaa na mwanamke zaidi ya mwaka. Kuna time itafika nitamfukuza tu, sio kwamba wananikosea, basi tu nakuwa sina hamu nae tena. Yaani naweza kutafuta...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Hii inawakuta watu wengi kwenye mapenzi, mtakuwa mashahidi kwamba kuna muda kama mapenzi yanapungua kwa mwenza wako. Ili kuepuka hali hii ni vyema kila mmoja akawa mbunifu zaidi ili kulifanya...
8 Reactions
78 Replies
12K Views
Tabia mbovu mbovu za wake zetu walikuwa nazo hata kabla hutujawa nao (kama hujamfundisha wewe basi alikuwa hivyo hata kabla hajakujua) Wakati sahihi wa kufuatilia tabia na mienendo ya binti ni...
3 Reactions
1 Replies
362 Views
Yaani nyie Mkigombana tu na Sisi Wapenzi au Waume zenu Hasira zikiwapanda mnaanza kutuponda kuwa HATUNA JIPYA Kitandani. Sasa tungekuwa kweli hatuna jipya mngekuwa mnatukatia Viuno vya bidii kama...
5 Reactions
10 Replies
737 Views
Toka primary, secondary, advance na hivi sasa chuo kikuu. Sijawi kuwa na mpenzi na hata marafiki wa kike na kutana na tu kwenye academic field only. Napata changamoto sana mana Kila binti nae mu...
2 Reactions
11 Replies
758 Views
1. Nataka mwanaume mstaarabu, muaminifu, mwenye kazi asiwe kibenteni. Awe na mbinu za hela, awe handsome, mzuri, awe anajiheshimu. Asuchepuke. Awe anawahi kurudi nyumbani. Ajue mahaba, asiwe...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwa mada yetu tajwa yenye kichwa cha habari kisemacho, vijana wa Sasa na ndoa ni sawa na 'kubet'. Vijana wa sasa wengi wao wanaoingia kwa ndoa wanaingia kwa...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwa zaidi ya wiki 6 nimesimamia mazungumzo ya kaka mmoja mchagga na dada Mhaya. Wana elimu nzuri wana kazi nzuri, lakini dosari ndogo miongoni mwao,mpango umevunjika rasmi,ama nimeumia rohoni...
8 Reactions
82 Replies
4K Views
Nina wasiwasi mkali Sana lakini siioni sababu. Nifanye nini kupunguza hii hali
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Wanajukwaa hoyeee,Leo nipende kuwapa hongera ,mingi sana sana wanaume wote wenye upendo wa dhati kwa wake zao ambao wanawaruhusu pia kwenda swimming pool peke Yao (Bila wao) Mengine tutajuzana...
9 Reactions
14 Replies
879 Views
Signed Out
34 Reactions
146 Replies
5K Views
This life is so fucking terrible, people love, Crayz Love but behind Love there's Money. Money. To find money, you need time, na mtaji wa kwanza ni Afya na Akili. Health mind Even your...
2 Reactions
5 Replies
664 Views
Back
Top Bottom