Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wadau mpo? Kuna rafiki yangu anaomba ushauri mdogo wa mke wake ambaye wanaishi hapo (nyumbani kwa rafiki yangu)kwa muda sasa ameomba amsaidie kazi,Sasa anajiuliza haiwezileta shida kweli japo...
1 Reactions
2 Replies
386 Views
Kutoolewa katika umri fulani huja na maneno mengi, na mengi huwa hasi, ya kukera au kuumiza. Lakini je, kila kitu ni kibaya kwa wanawake ambao wamefikia umri wa miaka 35 au zaidi na bado...
10 Reactions
582 Replies
28K Views
Nawasalimu ndugu zangu Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho Nawashukuru wadau walichangia...
25 Reactions
51 Replies
10K Views
Wakuu hii imekaaje? ni Kweli?
2 Reactions
11 Replies
489 Views
Aisee wonders shall never end, nilichokishudia jana sitakisahau. Kuna kibabu kimoja ni kimlinzi mahali. Sasa katika hali ya kushangaza kinatembea na vibinti, wamama, wake za watu n.k, tena wale...
18 Reactions
99 Replies
14K Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Lazima uliwe nauli wewe si lijinga. Na mimi nawasisitiza kina dada endeleeni kuwachangamsha ubongo wanaume wasiojitambua na wasiojiamini. Wewe umemtongoza Binti...
8 Reactions
68 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Nipo hapa kwenye moja ya Bar maarufu sana hapa Sinza. Naona tu kijana anapitishiwa pesa kwenye mapaja ili ampatie mhudumu huku akimtolea bezi mdada wa watu na kumlahumu kuwa haleti...
3 Reactions
5 Replies
749 Views
Kuna jamaa yangu mmoja nilikuwa naishi naye geto moja huko dar Alikuwa na saloon yake ya kunyoa, hivo akanikabidhi mimi, yeye anaenda kuvua na kurudi asubuhi tunapika tunakula na mambo mengine...
2 Reactions
11 Replies
855 Views
Kila siku Mjanja M1 nawaambia Single Mothers wana changamoto lakini hamtaki kunielewa. Unamshauri nini huyu kijana anaetaka ubaba usio wa kwake?
2 Reactions
4 Replies
364 Views
Kuna mtu ana ushuhuda? Basi atudhuhudie. Hivi inawezekana kupata Mke/Mume mtandaoni?
7 Reactions
16 Replies
616 Views
By default wanadamu tulipoumbwa kila jinsia ilipewa majukumu yake, jukumu la viumbe wenye jinsia ya kiume (wanaume) wameumbwa kutawala jinisia ya kike (kike) katika kila Nyanja na jinsia ya kike...
47 Reactions
171 Replies
14K Views
Habarini wadau. Naombeni ushauri wenu kwenye hili bila kubagua nani atoe huo ushauri. Najuwa wengi wetu especially wanaume tumepitia ile hali (situation) ambapo kuna mwanamke ulimpenda sana kwa...
16 Reactions
138 Replies
4K Views
Habari zenu, Hili ni swali kwa Vijana wabishi walioamua kuoa Single Mother. Unajisikiaje pale unapoona Single Mother uliemuoa anampost mtoto wake na kuandika maneno kama My World, My...
25 Reactions
188 Replies
7K Views
Wana JF Kama uliwahi kuwa na x-wako hasa hasa mwanamke na unajua kabisa anateseka mno mwondolee laana hiyo ila usifungamane naye kabisa na usishabikie wanayopitia maana wengi wapo kwenye tanuru...
11 Reactions
82 Replies
4K Views
Dah kweli nime amini maisha Yana hitaji mengi. 👉Mwezi huu Umekuwa wa kiutofauti sana upande wangu, aisee niko bored kinyama. Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series. 👉Sinywi...
41 Reactions
723 Replies
18K Views
Habari wakuu, Kuna mwanamke nko nae kwny mahusiano mwaka wa 4 Sasa, amekua ananipasua kichwa balaa, nyuzi zake nyingi nmeleta sana humu nikitamani japo abadilike niweze kumuoa. Ila...
13 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakuu leo naandika nikiwa na mawazo mengi sana. Mara nyingi nimekuwa nikileta nyuzi za masuala ya kitaifa ila leo huu uzi ni wa ishu yangu binafsi. Mimi kada mtiifu wa CCM kwa sasa kuna mambo...
16 Reactions
83 Replies
4K Views
Mzuka wanajamvi. Huyu demu tulikutana naye njiani mwaka jana mwezi wa 8. Nikampiga sound aka tick. Akawa girlfriend wangu. Ila baadaye akaanza kiburi na mimi nilishaanza kufall in love...
34 Reactions
82 Replies
5K Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Linapokuja swala la kukojozwa Mwanamke hana huruma na wewe. Hawezi kuwa mvumilivu tena. Mwanamke anaweza kuvumilia matatizo yote duniani lakini kamwe hawezi...
42 Reactions
235 Replies
10K Views
marriage is actually dead. married people are the most low intelligent human beings ever. kwa sasa. and IF you are planning to get married hold on. MEN BENEFIT NOTHING FROM MARRIAGES STORY SHORT...
27 Reactions
122 Replies
6K Views
Back
Top Bottom