Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kwa uchunguzi wangu binafsi nimeona ndoa nyingi sana zinapata changamoto ya kupata mtoto. Hapa mjini wadada karibu wote wameharibika. Ndiyo maana wengi hata wakibahatika kuolewa kupata mtoto...
38 Reactions
158 Replies
12K Views
Nimeikuta sehemu hii, je ina ukweli?
2 Reactions
0 Replies
363 Views
Sitaki shida, kama unataka salamu nenda shuleni watakuamkia. Nioneshe mwanamke asiyependa pesa nami nikuoneshe paka shume asiyekula samaki Dunia hii. Huwezi pata!
3 Reactions
8 Replies
566 Views
Ndugu zangu.. Kweli hela ni muhimu ila kuna mahali unafika unakujakutambua kabisa hela haiwezi kukunyanyua mjulege usimame ndindi hasa hasa kwa wale mahanithi, je ni sahihi wanaume kuambiwa nguvu...
0 Reactions
2 Replies
369 Views
Hello! Kwakuwa wadada wengi hufanya ndoa kama fashion au kama ajira basi wako tayari kufunga ndoa na mtu yeyote ilimradi tu anapumua na anaweza kumudu bei ya sukari na ugali basi. Turudi kwenye...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
There are ways of speaking, sitting, looking, acting, reacting, that are inherited from childhood. Some are lucky to be born in families that left them with behaviors that create a virtuous...
1 Reactions
0 Replies
265 Views
Niseme tu. Napenda mwanamke aninyonye.... Hilo napenda sana. Ila akitaka kunitibua aniambie na mimi nimnyonye... Hapo namuuliza swali la kwanza "JE WEWE NI BIKRA?" Obvious huyo atakuwa ni no...
6 Reactions
67 Replies
4K Views
Rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo hivyo pesa ya kubadili mboga sio Tatizo lake kabisa. Amedumu katika mahusiano zaidi ya miaka 8 na mwenza wake wa maisha kabla ya kuamua rasmi kufunga ndoa...
32 Reactions
251 Replies
14K Views
Wanaume wengi hawaelewi uhusiano uliopo kati ya mke wake na watoto wako (mama na mtoto), na hivyo huwaonea wivu wake zao baada ya kujifungua .(kupata mtoto) Watu wanapooana, miezi ya mwanzoni...
2 Reactions
1 Replies
853 Views
Kuna wale wanaume ambao wana maumbile madogo na kuhisi ndivyo walivyo lakini kiuhalisia hawakuumbwa hivyo. 1. Walioanza kupiga punyeto kabla au balehe inapoanza - kundi hili waliingilia process...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna Siku atakuja Kulia mno pale Wahuni watakapopita nae Mkewe. Na labda nimtahadharishe tu MC Mpilipili kwamba kama Yeye aliweza Kumtongoza na Kumuhadaa huyo Mkewe Philomena basi wapo Watoto wa...
16 Reactions
105 Replies
14K Views
1. Hili ni tatizo ambalo linawapata wanawake wengi ambapo hawajui ni mda gani na wakati gani waanze kufanya tendo la ndoa baada ya kujifungua, wengine wanakaa mda mrefu wengine mfupi ila kadri ya...
12 Reactions
32 Replies
9K Views
Habarini Wadau, Sijawahi kufika katika nchi za kiarabu haswa, namaanisha nchi kama Saudi Arabia, Yemen, Iran,Iraq, Morocco n.k ILA, niliwahi kuambiwa mara kwa mara kuwa nchi nyingi za kiarabu...
23 Reactions
481 Replies
63K Views
Habari ya siku nyingi. Kweli kama vile mkate mgumu ukiwekwa kwenye chai unavyokuwa ndivyo hivyo na wanaume tunavyokuwa mbele ya wanawake kunako 6*6, na ndiyo maana katika moja ya njia ya mwanamke...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Leo niwasaidie hili pengine we n mhanga wa hili eneo kwenye ukoo wenu nawiwa kuongelea hili maana mmoja wa waathirika wa hili. Kabla ya kuoa fanya mapping ya familia yako na unayoenda kuoa...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wana JF Leo nawapa ushuhuda wa maisha ya ndoa ya wazazi wangu... Baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama anafanya biashara ndogondogo amekuwa ndio kila kitu chakula, mavazi...
23 Reactions
87 Replies
4K Views
Kuna watu wanakuwa na tabia ya kuhukumu wanaume kisa tu wameona wanawake wao wanalia akili zao zinawatuma moja kwa moja kuwa wanateseka saana kwenye ndoa zao saana Ila ndugu zangu wanawake ni...
2 Reactions
6 Replies
448 Views
Naitaka Nioe Sasa Kuna MTU kaniambia ukitaka kuoa Kuna mlolongo mrefu hadi kuandika barua kwa mkono au kutype then iende kwa binti usubiri majibu. Binafsi Mimi ni Mtu ambae hua sipendi vitu vya...
1 Reactions
2 Replies
339 Views
habari wadau. baada ya muimbaji wa gospel maarufu nchini Nigeria Moses Bliss kumchumbia Binti wa kighana mwenye uraia wa uingereza ambaye amejuana nae kupitia mtandao wa instagram mwaka...
2 Reactions
4 Replies
710 Views
Wajuzi wa mambo mtu akiweka taa ya rangi kama hii huwa anaitumia kwa kazi gani?
5 Reactions
59 Replies
4K Views
Back
Top Bottom