Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari za weekend wana JF Nilioa mwaka 2016, na tukabahatika kupata mtoto 1 wa kiume mwaka 2017 ambae ana miaka 4 kwa sasa na sehemu ya makazi yetu ni hapa Mbeya. Mapema 2020 mke wangu alianza...
11 Reactions
86 Replies
9K Views
Binadamu tumetofautiana, kuna watu wanapenda kuangalia mpira na kuna wengine wanapenda kufanya mapenzi. Swali, Kuna madhara yoyote anapata mtu akiwa anafanya mapenzi kilasiku?
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kipindi nikiwa mdogo nilikuwa naona bibi zangu na mama zangu wakiwa nyenyekea waume zao kwa dhati . Yaani akina bibi waliwawanyeyekea sana babu zetu ,hali kadharika na mama zetu walikuwa ni...
3 Reactions
18 Replies
966 Views
Salaam, Baba wa kambo wengi wanaroho ya pekee sana, huwalea kwa upendo mkubwa sana watoto wa kambo kuliko hata watoto wakuzaa. Mwanangu wa ujanani, kalelewa vyema sana na baba wa kambo, hakika...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Kupenda sio hisia, ni uwezo. Mwanamke ukisema unampenda, anasahauu hapo hapo, ndo maana wanauliza unanipenda? Wanataka kusikia Unavyosema nakupenda maana yake ni nitegemee. Hivyo kama Umependa...
0 Reactions
7 Replies
809 Views
Ni kweli vijana hawaoi mapema kama zamani . Raisi kaongea haya kama vile ni tatizo la jamii kwa mawazo yangu tatizo ni yeye kutokuelewa Dunia imebadilika. 1. Utamaduni wa zamani wa wazazi...
3 Reactions
18 Replies
940 Views
Wanasema kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Nipo kwenye ndoa nae mwaka wa sita huu lakini sasa ni mtihani mtupu. Mke wangu ana kiburi cha asili, gubu na wivu wa kijinga sana na kwenye ndoa...
47 Reactions
275 Replies
24K Views
Tumepoteza vingi wakati tunachagua vilivyo bora, Tumeumia sana wakati tunaitafuta furaha,💔💔 Kuna waliotuacha na kutukataa kwasababu tulionekana hatuendani nao kwasababu hawajui tunachopitia 😭😭💔...
5 Reactions
13 Replies
872 Views
Ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 21, 2024 alipokuwa akizungumza kwenye Ibada Maalumu ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa iliyofanyika...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kama ikitokea mke wa mtu anahitaji msaada, basi iwe kwa kiasi usijifanye unajali kupitiliza sio vizuri. Sababu ni kuwa, binadamu tuna athiriwa sana na wema, ukimfanyia mtu wema ambao hajafanyiwa...
94 Reactions
158 Replies
11K Views
If you open your mouth, one of two things happens. She either forgives you or she leaves you. At best, you wind up exactly where you are right now. It's noble to want to confess. Really, it is...
8 Reactions
5 Replies
404 Views
Habari ya asubuhi wa Tanzania wenzangu na Africa kwa ujumla pamoja. Nina changamoto baada ya kumkuta mke wangu anamawasiliano na mwanaume mwingine na tayari wapo kwenye mahusiano(hajawahi kuzini...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari wana JF poleeni na Majukumu ya kazi kwa January ilivyo na ukakasi wacha tuzungumze kuhusu Kufanya mapenzi asubuhi, Binafsi nmekuwa nikienjoy mno tena zaidi ya sana kuitafuna mbususu ile...
14 Reactions
219 Replies
9K Views
Anakwambia Mume wake hayupo vizuri kitandani sio? Anakwambia Mume wake hana muda nae sio? Anakwambia Mume wake hampi mapenzi kama yako sio? Anakwambia anakupenda sana eeeh! Utalia siku moja.
42 Reactions
133 Replies
7K Views
Habari wakuu, Nina mtoto wangu wa kiume wa miaka 3. Ni miezi kama miwili sasa ameanza tabia isiniyopendeza, kila akija mgeni especially wakati wa kula atamfukuza mgeni toka kwetu, wacha kula...
52 Reactions
797 Replies
53K Views
Mara mia tu niwaachie dunia yenu nikaishi kwenye mavolkano tu huko. Maake udharirishaji umezidi Yaani mwanaume unalilia mapenzi! Yaani unamwaga mpaka chozi na kujinyenyekeza kabisaaaa!!😥😥 Yaani...
4 Reactions
28 Replies
924 Views
client wa instagram: money penny bwana me nimepata demu ila maziwa yake yamelaaaaala sana money penny: sa unataka nifanyaje jaman client wa instagram: me nasema tu nisaidie nifanyaje money...
15 Reactions
109 Replies
8K Views
Wakuu kwema? Wakuu mimi ni kijana nina miaka 30 na pia nimuajiriwa na naishi peke yangu kwa zaidi ya miaka miwili. Sina biashara nyingine zaidi ya ajira ila kuna vikazi vidgo dogo vya computer...
6 Reactions
75 Replies
4K Views
Kuna kitu kimenishangaza kidogo jana nimetumiwa message ya kuachwa na mdada ambae hata sikufahamu kama tulikuwa katika mahusiano, tulikuwa na mazoea tu mwezi wa 12 akasafiri kwenda kwao amerudi...
26 Reactions
81 Replies
4K Views
Back
Top Bottom