Nimeona machapisho mengi kuhusu ndoa zisizofanikiwa. Kuna sababu nyingi zinazochangia ndoa kufeli ambazo ni pamoja na kudanganywa, kukosa uaminifu kati yao, Ukata wa fedha. Lakini Wengine huamka...
Yale mambo ya kuonyesha unampenda kwa dhati kiasi gani mpenzi wako, au mke wako, au bosi wako au rafiki yako hayapo tena!
Kila mtu anaangalia maslahi ya kutoka kimaisha au kupata unafuu fulani...
Vingi vizuri zaidi huja ukiwa huna shida navyo, huja wakati imani yako ikiamini kuna vizuri kumbe unapishana gari la mshahara...😁
Yaani kwa lugha rahisi ni kusema kuwa, "Vizuri huja muda wako...
Habari zenu wakuu,
Nimekaa hapa natafakari nikagundua kuna situations kama hazijakukuta huwezi ukaelewa ukisikia mtu analalama[emoji28][emoji28]
zamani nilikua nikisikia mtu analalamika hana...
Habari za mida wanajamvi.
Leo tusipoteze muda twende moja kwa moja kwenye hoja.Wanawake walio wengi wamesikika wakilalama waume zao kutoka na dada wa kazi.Jambo hili ukiangalia kwa upande mmoja...
Different phrases are used in today’s world to describe different ways of looking at relationships and being able to commit to one person.
3 reasons why you can’t stay with just one partner
Some...
Nilimtongoza kwa Nia ya kumuoa, jobless aneorodhesha mahitaji mengi Hadi nikamchukia ghafla.
Mtu alikuwa kwao hana mishe yeyote lakini anataka anataka maisha ya kifahari wakati kwao ni maskini...
Imeandikwa "Ni bora Mwanaume asimguse Mwanamke, lakini kwasababu ya ngono kila mwanaume awe na mke wake mwenyewe, mke hana mamlaka juu ya mwili wake na mume hana mamlaka juu ya mwili wake, MSIWE...
Habarini wana JF. Moja kwa moja kwenye mada kama kichwa hapo juu kinavyojieeleza.
Huyu ni mtoto wa jamaa angu nimeona niandike kwaajili yake, labda tutapata msaada humu ndani maana binafsi...
Mabinti zetu hawawi inspired tena na shangazi zao.
Mabinti zetu tena hawawi inspired na waalimu wao wa kike maaashuleni.
Ila kwa sasa inspiration na influence zao zinatoka kwenye social networks...
1 Pet 3:7 SUV
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe...
Habari wandugu,
Napenda wasilisha mada hii tajwa karibuni tujadili maaa naona maisha sasa ya kukosa pesa yanatukaba koo sisi vijana tunaosubiri ajira za utumishi maana hata inaafikia hatua...
Hii imetokea mtaani kwetu, kuna Single Mother alikuwa ameolewa na Jamaa anaepiga vibarua vya kutengeneza simu mtaani.
Sasa Jamaa wakati akiwa ofisini na mtoto wa kufikia mwenye umri wa miaka 14...
Wasalaam wakuu!! [emoji2772]
Nisiwachoshe, msinichoshe, kwa kifupi tusichoshane, naruka nakupepea kimadoido moja kwa moja kwenye hoja yangu!
Naileta hoja hii mezani nikiwa moja ya wahanga wa...
Mwanamuziki Diamond amesifia ondoa mti na weka mti ya Haji Manara huku akidai hamna vijuso katika machaguo yake. Amesema huko uraiani kuna wengine wamechukia na wanamzengea Zeylisa.
Diamond...
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii anonymous confession ya Mwanamke anaesema kuwa kaolewa akiwa na miaka 20's lakini kashakutana kimwili na wanaume zaidi ya 50.
Huyo bidada...
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na...
Habarini!
Kuna bidada, tulikutana December 20 mkoani ,tukawa Safari moja iliyotulazimi kutumia 48hrs together. Tukaangukia kwenye mahusiano baada ya chemistry yetu. Tulikuwa Safari moja maana...
FAHAMU NAMNA YA KUACHANA NA MTU AMBAYE UNAMUOTA KUWA UNAZINI NAE NDOTONI
1️⃣ Je, Umeshawahi kuwa na mchumba wako na mkashiriki Tendo la ndoa na mkaachana bila kuoana??
2️⃣ Je ,Umeshawahi kuoa au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.