Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Bullying ni kitendo cha kumtisha, kumnyanyasa ama kumkosesha raha mtu mwingine. Kwa kawaida sie tumezoea sana kuuita 'UKOROFI' haswa kwa watoto. Mtu anaweza kuwa bullied kutokana na...
28 Reactions
82 Replies
6K Views
Tukiendelea na kufurahia ujio wa mwaka mpya 2023 Kwa wale Wanaume wenzangu ambao hawakupata nafasi ya kuhudhuria katika kikao cha wanaume kilicho fanyika alfajiri ya leo 01/01/2023. Napenda...
20 Reactions
80 Replies
5K Views
Habari zenu wote Nisipoteze muda nipo kwenye mahusiano na mtumishi wa Mungu ni mchungaji yupo uko kusini anafanya injili vizur sana yan sana. Tulikutana FB alikuwa anatuponda wadada tunaoweka...
23 Reactions
101 Replies
5K Views
Habari Wakuu, Leteni ushuhuda hapa wadau kwa wale walemavu waliooa au kuolewa na mulemavu mwenzie. Nianze na upande wangu, mimi ni mlemavu wa sikio (kutosikia vizuri), nimeoa dada mwenye tatizo...
10 Reactions
25 Replies
1K Views
Nishaurini jamani wana JF nimfanyeje huyu mwanaume ili akasirike anipige nipate nafasi ya kuondoka, Nataka anipige nikimbie
13 Reactions
109 Replies
4K Views
Mimi similiki biashara ya kiwanja au sehemu ya starehe lakini professionally mm ni Asset manager, business and financial advisor. Na kwa bahati mbaya sana sina mteja ambae anamiliki biashara aina...
32 Reactions
134 Replies
5K Views
Ee mwumba wetu, umewaunganisha watu katika ndoa takatifu nami natumaini kupokea Sakramenti hiyo na kushirikiana na mwenzangu wa ndoa maisha yangu yote. Kwa hiyo nakuomba ee Bwana unisaidie...
9 Reactions
14 Replies
2K Views
Aisee! Hii imetokea mtaani kwetu, kuna Single Mother alikuwa ameolewa na Jamaa mwenye pesa. Kama unavyojua maisha ni kupanda na kushuka, yule jamaa kafukuzwa kazi na hana inshu yoyote zaidi ya...
1 Reactions
9 Replies
870 Views
Habari zenu, Eti endapo Mpenzi wako ana hasira huwa unafanya kitu gani kumtuliza hasira zake? FUNGUKA!
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanawake asili yao nikuchuna sio kuchunwa, ukimwona mtu wewe mwanaume unamchuna usimchukulie poa kakupenda. Sasa kuna watu wanaongea shit kuhusu watu wa humu sio nawapenda sana wanawake wa humu...
21 Reactions
207 Replies
6K Views
Habari zenu, Ewe Mwanaume uliejibebesha majukumu ya mwanaume mwenzako kwa kusingizia upendo tambua kuwa Single Mother aamini kuwa unampenda mwanae bali unaigiza. Siku mwanae akiwa anaumwa na...
1 Reactions
1 Replies
271 Views
Ndugu zangu salaam sana. Nagusia wababa na watoto wenu wa kike mliowaachia jukumu la malezi mama zao. moderator naombeni huu uzi utembee wenyewe msiuunganishe TAHADHARI HAYA MAANDIKO MATAKATIFU...
1 Reactions
5 Replies
843 Views
Transcript (tafsiri kwa msaada wa google). Huyu binti wa kizayuni mateka mmoja, macho hayadanyi, binti ni kweli alishikwa kama mateka na siku anaachiwa videoclip yake hii ikatapakaa kama virusi...
13 Reactions
117 Replies
9K Views
Kumekuwa na Tabia ya wanawake wa Mkoani wanapokuja Dar kutaka kupata Mume wa kumuoa. Hii tabia ipo sana kwa Wanafunzi wa Vyuo vikuu na Mabeki 3. Ningependa kuwaambia kuwa hilo lengo lenu sio...
5 Reactions
27 Replies
960 Views
My brother kama unafanyakazi nje na home kwako unakaa miezi sita, mwaka na zaidi ya hapo my friend kaa ukijua mkeo anazagamuliwa. Nyege za mwanamke ni mara tatu zaidi ya mwanaume, mwanamke ana...
32 Reactions
169 Replies
16K Views
Kuna hii issue nimekosa kiswahili chake inaitwa 'misogyny' ni tabia ya wanaume kuchukia wanawake na kuwadharau wanawake kwa kiwango ambacho sio cha kawaida.... Sasa hii ishu ya dj brownskin...
27 Reactions
93 Replies
3K Views
Ndugu ukiwa na mke hata akionyesha ni mwaminifu kiasi gani tafuta mchepuko.Mchepuko unafaida zifuatazo,unaact kama buffer na kimsingi unasaidia kujifanya ndoa yako iwe stable zaidi. Mfano badala...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Jambo iko? Kwanza merry christmass Kuna mrembo amepigwa huku amapiano!🙆‍♂️ Amemfumania mpenzi wake Christmas hii akiwa na shogake wa miaka mingi kwa hotel tamu hapo posta, tena usiku. Tena...
9 Reactions
134 Replies
5K Views
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu nayo kweli itakuweka huru na kuponya kizazi cha hawa wanawake waliopotea na kupotezwa na hawa kausha damu, chuma ulete na wavaaji wa strap on. Nyie kausha damu...
17 Reactions
391 Replies
8K Views
Nasikia Wanawake wapendelewa mno na Mwenyezi Mungu uwezo mkubwa wa kuwa na Saikolojia Kubwa na Kali pamoja na Uwezo mkubwa wa Akili kuliko Wanaume. Tafadhali nijibuni upesi kwani kuna Mtu...
5 Reactions
42 Replies
21K Views
Back
Top Bottom