Kwema wakuu,
Huyu dada ni member wa jamiiforums, namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm.
Nishamwambia...
Wahenga walisema,"Hata uwe mrefu vipi huwezi kuiona kesho"... Ni kauli iliobeba mana kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku.
Ni rafiki yangu wa muda kidogo, na tumekuwa tukishea mambo kadhaa...
Jaman Mimi mwenzeno Leo yamenikuta mida ya sa 2 njiani nikakut mdada Yuko na jamaa dalili zilionesh ni kama wanaagan Nika tulia kidg nikwel wakaagan.
Mi nikasubil jamaa apotelee nikadak namba...
Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa.
Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo...
Kwa wale ndugu zangu wazee wa kukimbia kimbia barabarani na wale wa kwenda gym poleni sana
From now on, mazoezi yangu nayahamishia Kwa bed ( kitandani) [emoji23][emoji23]
Uamuzi ni wako ...
Wanawake hawapendi watoto wasiowazaa hasa hawa watoto wadogo.
Kama wewe uliachana na mama wa mtoto wako kisa alikucheat, ni kwamba; mtoto huyo anapata maumivu makali kutoka kwa huyo mkeo...
Habari wadau
Kuna kesi nyingi za wanandoa wanaume wanalalamika kwamba bila pesa ama kutimiza matakwa ya wake zao. Wanagomewa kupewa penzi.
Mtu ameoa ana mke ndani ila hana uhakika wa kupata...
Hizi ni zama za uhuru na usawa ambapo haki za binadamu zinaheshimiwa.
Kwahiyo, hii tabia ya kwamba mkiwa kwenye ndoa ama mahusiano unataka mwenza wako asiwe na uhuru na haki ya kutumia kiungo...
Nowadays kumekuwa na wimbi kubwa la watu (me+ke) kutafuta wachumba kwenye mitandao ya kijamii kama vile FB, IG, X, TG etc.
Mtu anaingia zake Photo Lab anafanya editing za kutosha, kuji-snap kwa...
Ilikuwa ni mwishoni mwa Mwaka jana 2022.
Basi kutokana na kazi nyingi za kijamii huku ikizingatiwa kuwa Taifa tulikuwa bize ktk kujenga nchi, huku wengine tukihitajika zaidi katika maswala ya...
Nini kimeongezeka kwenye baridi mpaka wanawake waringe?
Kumekuwa na tabia kipindi hiki cha mvua na baridi sisi wanaume kunyimwa unyumba tatizo ni nini jamani😭😭😭😭😭😭😭😭
Nimevurugwa asee mimi ni mtu makini sana pale linapokuja kwenye swala la kutumia hisia au akili huwa naweza ku handle any bad situation inayo niface mbele yangu! Kuna ile formula ambayo wanaume...
Mkiwa kwenye ndoa uwe mwanaume au mwanamke, acheni uongo, msidanganyane.
Ongeeni ukweli tu, wote muwe wa kweli miongoni mwenu na hata kwa watu wengine msiongope, mtaharibu ndoa yenu!
Wana MMU, Salaam! Nimewahi kusikia kwamba kuna dawa za aina hii ambazo baadhi ya wanaume pia huzitumia pale wanapozungushwa sana na kunyimwa kupewa mambo na wanawake, hivyo huwawekea dawa, then...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.