Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu, Kuna mwanamke nilikua naye kwenye mahusiano kwa miaka 4. Leo Asbuh kanipigia na kunambia Tuachane kabisa,tusijuane Tena,namba yake nifute na kwake nisikanyage Tena daima. Kisa nmegoma...
21 Reactions
164 Replies
7K Views
Ulimwegu wa sasa umekuwa na Ndoa zinazovunjika kila uchwao na ukiangalia sababu kubwa ni kutofahamiana na kuchunguzana kabla ya Ndoa. Wazee wa zamani walikuwa wanatafutiwa wake na wazazi na ndoa...
1 Reactions
4 Replies
410 Views
Phone ringing Don’t worry kila kitu kinaenda kuisha leo mamii. Wait, amepokea acha niongee nae. Hello brother its Alpha speaking, najua unaweza ukawa unanifahamu kwa namna moja ama nyingine. Go...
0 Reactions
8 Replies
833 Views
Wapendwa wa jf mambo zenu , Sisi hatujambo nipo okay,sasa kulikuwa na mwanadada tumuite Love , Alipata mimba ya X wake . Halafu alipo mwambia ex wake x wake akamwambia amuoe kiserikali, akawaza...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Namna ya kujua kama upo na mtu sahihi kwenye mahusiano yako ya kimapenzi. 1. Mwanaume akiwa hana hela kabisa kama zamani tena idumu kwa kipindi kirefu. Hapa mwanamke atapimwa uvumilivu wake na...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Tafakari Binafsi Kitendo cha kuwaacha wachezaji baada ya dirisha dogo kufungwa sio kizuri Kwa wachezaji na Kwa maendeleo ya soka letu especially wachezaji wazawa. Mchezaji anayesajiliwa na timu...
1 Reactions
3 Replies
303 Views
Habari zenu, Kijana ambae hujaoa na wala hauishi na Mwanamke ndani, unafanya mapenzi mara ngapi kwa mwezi? MLIOOA /SOGEA TUISHI PITENI KIMYA KIMYA HUU UZI HAUWAHUSU.
3 Reactions
12 Replies
578 Views
2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
15 Reactions
112 Replies
20K Views
Je unajua kuwa unapomtumia hela Demu wako anakula na familia yake? Wanaume naomba tubadilike aisee! Demu anapokuomba hela make sure kwanza unatuma kwa Bi Mkubwa wako kwenu. Kwa mfano Demu...
4 Reactions
14 Replies
753 Views
Miaka mitatu iliyopita,Ulikuwa na mahusiano na mwanaume ulipokuwa unakaa katika mji fulani eitha Bukoba Alikuwa na rafiki yake ambaye alikutambulisha kwake ni best friend wake kwa kila kitu Kama...
9 Reactions
181 Replies
20K Views
Kausha damu ni shida kwa kweli hata kama mwanaume una hela kuombwa ombwa kila siku ni kero na mbinu yao sasa hivi wanasema nikopeshe kiasi fulani ukitoa tu iyo hela kamwe hautalipwa. Kuna mmoja...
11 Reactions
55 Replies
4K Views
Wakati Physics inasema Umbali gawia Muda unapata Mwendokasi, umewahi jiuliza huo Mwendokasi ni wa kwenda wapi? Kwenye Mapenzi hiyo ni speed ya kuachwa. Ila Wahenga wakajifariji kwamba Safari...
16 Reactions
129 Replies
4K Views
Ndugu zangu hongereni kwa majukumu. * kuna desturi ya wanawake zetu kuwa wanafiki na kuigiza igiza upendo na heshima za uongo pale wanaume zao tukifa ili hali tukiwa hai walikua hawatupendi bali...
4 Reactions
9 Replies
549 Views
Habari. Kuna mahusiano yale ya serious au ndoa kabisa. Narudi kwa mada nauliza Swali hili kitu gani kilipelekea ukaachana na mwanamke au mwanaume wako wa maisha. Pasipo kuangalia nyuma...
13 Reactions
96 Replies
7K Views
Suala la mwanamke kuhudumiwa na mwanaume lilikua na mantiki kwenye jamii ya zamani ambapo mwanamke hakupewa nafasi katika nyanja yoyote ya maendeleo. Kwa sasa mwanamke kapewa access zote za kuwa...
23 Reactions
172 Replies
6K Views
Mambo vipi? Nipende kwenda moja kwa moja kwenye jambo langu Mimi ni kijana nina 26 years old bado sijajipata nina shida moja. Mzazi(mama) anapenda sana kusisitiza kuhusu kuoa kwamba wakati ni...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Naomba hela yakusuka! Sijala! Mama yangu anaumwa! Gesi imeisha! Sina hela ya bandle! Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate! Utadhani kama usingemtongoza angekufa jinsi...
21 Reactions
89 Replies
3K Views
Hivi umewahi jiuliza kuwa ni mambo gani ambayo wanawake huzungumzia pale tu wanapotengeneza vikundi kwa ajili ya kupiga soga? Iwe ni katika mazingira ya kazi, mazingira ya nyumbani hasa hasa...
11 Reactions
16 Replies
986 Views
Habari. Siko hapa kwa ajili ya kuondoa amani ya mtu yeyote yule wala kumkejeli ila kwa mwaka jana nimepata uzoefu wa kutembea na wanawake na 50+ mpaka nikamshukuru Mungu sikupata kubwa. Ila kuna...
9 Reactions
56 Replies
7K Views
Ningependa kufahamishwa mbinu za kumjua mchumba wako unayetaka kumuona kama ni mchawi au mshirikina kwa maana Dunia ya sasa kiwango cha kukutana na watu tusiofahamiana nao kiundani ni mkubwa...
4 Reactions
144 Replies
23K Views
Back
Top Bottom