Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mimi Sexless kazi yangu kubwa hapa mjini ni ukungwi. Natoa ushauri na kusaidia watu wa rika zote kutatua changamoto za mahusiano. Leo nimefikwa na mteja akanipa maelezo yafuatayo: "Kuna siku...
1 Reactions
6 Replies
595 Views
Watanzania wote tumetoka kwenye makabila tofauti tofauti. Hivyo basi hata wapenzi wetu pia wana makabila yao. Swali la kizushi, mpaka sasa umezionja za makabila mangapi? Mimi nita highlight na...
9 Reactions
82 Replies
5K Views
Ikitokea umemla mke wa mtu, tafadhali mlindie heshima yake na aibu yake na usimtangaze kabisa. Tafadhali nyamaza kabisa
20 Reactions
87 Replies
23K Views
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na Demu analalamika kuachwa na Jamaa baada ya kupewa Kibendi. Kama unavyojua penye watu hapakosi neno, basi watu wakaanza kutiririka kumpa pole na...
2 Reactions
12 Replies
583 Views
Kumekuwa na Wimbi kubwa aina ya Tsunami ambalo limekuwa likijinadi kuhusu kukataa Ndoa, likitoa sababu mbalimbali za kujitetea. Lakini mtu anayekataa Ndoa anakabili vipi hisia zake. Binadamu...
10 Reactions
89 Replies
3K Views
5 Hidden Truths About Marriage That No One Will Tell You Marriage is often portrayed as a fairy tale, with the promise of eternal love and happiness. However, once the vows are exchanged and...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
Lengo la hizi apps ni kuwakutanisha watu kwa madhumuni ya kufahamiana na ikiwezekana kuanzisha mahusiano ya kimapenzi uko mbeleni. Inasikitisha sana wakina dada wa bongo wamezipokea hizi apps...
19 Reactions
46 Replies
5K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Enyi akina dada ambao mmekuwa mkitendwa kila siku na baadhi ya wanaume ambao hawajitambui na kueleweka, naomba niwaletee kwenu kabila la watu makini...
11 Reactions
24 Replies
1K Views
Nachukia kunyanduana na mwanamke gogo, lakini ufundi wa wife umevuka mipaka. Licha ya kuwa naenjoy Sana ila kiukweli ananipa mashaka. Hivi inawezekana kweli mwanamke akawa fundi kitandani bila ya...
11 Reactions
88 Replies
22K Views
Kwema wakuu, Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.
13 Reactions
86 Replies
4K Views
Kuna watu humu JF wapo single kitambo na either hawapati wapenzi/wanaachika. So wazo langu Katika msimu huu wa masika + na baridi, kwanini tusikutane Me kwa Ke Ili tuchaguane Ili kuukabili msimu...
26 Reactions
143 Replies
23K Views
Habari za wekend. Wanandoa nina swali kwenu Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? Wazungu wanasema Do you regret your marriage, and why?
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Kumekua na kasumba ya wakina dada wa leo kuwa na vigezo vingi sana pale wanapoangalia mwanaume wa kuingia nae kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya kigezo pendwa cha wakina dada ni hitaji la kuwa...
29 Reactions
112 Replies
4K Views
Mimi ni Mwanaume 28yrs mkurya nilivyofika Dar nilikutana n'a bint mmoja nikamtongoza akakubali. Huyu binti (21yrs) ni mgeni Dar from mkoa X nyanda za juu kusini anaishi kwa shangazi yake Dar...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwenye hizi novel nilisoma, niligundua kuwa mwanaume asipokua na pesa hujifanya ana mapenzi ya dhati mno Na akishaipata huenda kwa wanawake wa type yake. Kwakuyagundua haya. Nawaambia wanawake...
5 Reactions
11 Replies
715 Views
Ndugu .. Watasema kama unataka utelezi hudumia ili kuhalalisha utapeli wao ila itabaki kuwa kweli wanamke walio laaniwa na kusukumiwa mikosi yote ya chuma ulete ndiye mwanamke pekee anayeweza...
13 Reactions
88 Replies
3K Views
Tumieni kinga acheni kuja kuleta masikitiko humu kuhusu mimba, wakati wa mzagamuano hukujua nini kinaweza tokea kwani? NB: DEMU UKIPEWA MIMBA NA UKAKIMBIWA KABLA YA NDOA USILALAMIKE.
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Unajua mapenzi aliyaumba mungu kwa namna ya tofauti sana, kama ujawai kupendani na mtu uwezi kujua nini maana ya mapenzi. Ukipendana na mtu mioyo yenu inakuwa kitu kimoja kihisia yani unazama ...
8 Reactions
38 Replies
1K Views
TAWILEEE HUMU NDANI!!...Habari za muda huu wana JF, mim s mgeni Jf bt ni kijana mkongwe , na sijawahi kupost chochote zaid ya kukoment ktk majukwaa mbalimbali JF, hususan jukwaa la siasa, great...
16 Reactions
78 Replies
18K Views
Mimi sitaki ushauri, nataka tu uniambia kama kuna namna ambavyo ninaweza kufanya mimba ikatoka bila mhusika kujua. Mimi ni Baba wa watoto wawili, nina miaka 42, nimeoa na mke wangu yuko vizuri...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom