Habari zenu wana JF. Kama mjuavyo, nimeacha nyumba, mke wa mchongo na wanangu wawili huko Nanjilinji, nikaamua kuja Dar kusaka maisha. Hivyo nilifikia kwenye nyumba ya kupanga ambapo tu wapangaji...
Bado nipo kwenye Mkesha wa "Vuka na chako"
Habari za nifa zimenishtua mno. Sikutegemea habari hii hasa kwa siku ya leo.
Unajua nifa alikuwa anampenda sana Jasusi. Yeye ndiye aliyejivunia...
Habari wana Jf poleni na Majukumu ya kazi kwa pamoja na ugumu wa January hii naomba kuwasilisha hili suala langu kwenu.
Niko na mpenzi wangu kwa kitambo sasa na Ameonyesha upendo wake kwangu kwa...
GREETINGS
Nawasalimia kutoka huku vichakani, huku ndani ndani kwenye ofisi yangu iliyo kijijini sanaa kwa kuwaambia ""TABULELE Raaaaaaaa""
Twende kwenye hoja.....
Hivi wewe kijana wa kiume...
Nimeona nisimulie kakisa kadogo baada ya kuona mauaji ya wapenzi yanayoendelea hapa nchini na leo ngoja niwape kaushuhuda kidogo kile kilichowahi kunitokea baada ya kushindwa kuthibiti hisia...
Kwa mke furaha yako ni mmeo, na mme furaha yako ni mkeo, basi muishi kwa furaha, amani, kushirikiana na kika siku kila mmoja awe na hamu na mwenzie, kila siku, kila mmoja abuni mbinu ya kumtia...
Suala la sex lina uzito sana ndani ya ndoa hasa kwa mwanaume ambae kaumbwa na matamanio makubwa kwenye ya libido / sex drive.
Unapoona mwenzako uchumbani kwenye suala la mchezo ni mpaka ajivute...
Wana jamii,
Habari zenu natumai mko poa, hebu leo share na wana jamii ni vitabu gani uliwahi kuvisoma na vikakusaidia katika kuongeza uelewa na ufahamu katikati swala zima la mahusiano na...
Kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza na napenda kufahamu. Je mahusiano yanaweza kustawi na kushamiri bila kuhusisha tendo la ndoa(kwa wale ambao awajafunga ndoa). Je mahusiano yataendelea kuwa mazuri...
Nilipokuwa ndo ninaanza kubalehe marehemu Babu aliwahi kuniambia “Ukitaka kuwa na Maisha mazuri na yenye furaha kama mwanaume basi usije kuoa! Mwanamke anakondesha Mjukuu! Mwanamke sio ndugu yako...
Habari wadau.
Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR
Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio...
Ilinitokea wiki iliyopita, wakati natokea Ubungo kwenda Mbagala jamani sitosahau, khaaa kwa kweli akina kaka mnatia aibu jamani loooooh! Wakati gari linatokea Ubungo lilikuwa limejaza abiria na...
Habari ndugu zangu
Wanawake mlioamua kuishi na mabinti room moja iwe vyuoni, mitaani au popote pale kwenye nyumba za starehe, acheni kabisa kutuharibia wake zetu wa baadae hizi strap on (mikanda...
Je, ni shule za Serikali?
Ama ni shule za watu binafsi?
Ama si Shule ya Serikali ama ya mtu binafsi yenye uwezo wa kumjenga mwanafunzi kifikra na kumuandaa vyema kwa maisha yajayo?
Kwa msiofahamu hapa Zanzibar bar hazijatapakaa mitaani kama huko bara. Vileo vinauzwa kwenye kambi za jeshi na kwenye mesi za polisi. Mitaani hutaona bia.
Huku Zanzibar hakuna pahala wanaouza...
Nazungumzia wanaume ambao hawajaoa sio waliooa au waliopo kwenye ndoa, kuna campaign tatu ambazo nataka kuzipigia debe mimi kama mimi. Kampeni moja tayari imeshaenea na nafurahi vijana wengi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.