Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
1. Usimwambie mtu yeyote jinsi mwenzi wako alivyo dhaifu. Mtu anaweza kutumia hilo dhidi yako/ao. 2. Usiwaambie watu jinsi mnavyogombana na mwenzi wako, wawaone mmekamilika kutoka nje wakati...
7 Reactions
14 Replies
927 Views
Wajumbe mambo mengine yanakera. Hivi mwanaume unaanzaje kulialia kwa sauti.Hiz mambo nilishuhudia kipindi flan wakati ndyo naanza maisha nikawa nimepanga nyumba flani hivi ilikuwa haina hata...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
MUHIMU: TIBA HII SIO KWA WOTE, NI KWA WALE WENYE TATIZO LINALOFANANA NA LANGU. Nilidhani labda ndio umri umeanza kwenda maana si kwa kuhangaika kulitafuta goli la pili, na kuna kipindi ni kimoko...
16 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanawake huwa mnatuchanganya sana unakuta asubuhi mtu anapost “Yani huyu mwanaume ananijulia, nimeamka kashapika eti ehhh”. Mchana “Nani anitoe lunch leo?”. Usiku “Ni muda sasa nipo singo sababu...
0 Reactions
5 Replies
443 Views
Baada ya Salam. Hebu Leo tuangalie nafasi ya Urafiki katika ndoa maana wengi hujikuta tunaoa au kuolewa Kwa sababu tofauti. -Kuna wanaolewa/kuoa sababu ya Mali au umaarufu -Kuolewa-kuoa baada ya...
0 Reactions
1 Replies
574 Views
1. Kwani we huniamini? - sasa ww msikilize hlf ujimix kuamini uone kitakachotokea. Utaishia kutibu gono, uti, kaswende, malengelenge, pangusa vyote kwa pamoja. 2. Mi ndo mara yangu ya kwanza -...
3 Reactions
53 Replies
2K Views
Mwanamke na mwanaume kabla ya kuingia kwenye ndoa, Kuna mambo unatakiwa kuyaelewa. Popote ulipo unatakiwa kutambua kuwa unatakiwa kuwa mkamilifu kwanza na sio Kusubiri ndoa ikukamilishe. Kama...
12 Reactions
38 Replies
8K Views
Wakuu nimekutana nayo twitter mimi bado mgeni wa mapenzi na sina ex- je kuna ukweli gani katika kuhusu hili suala wakubwa? Njooni mdadavue
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari za siku wapendwa. Kwenye maisha watu tunatofautiana sasa wapo watu wengine wana ile tabia ya kusambaza jambo mpaka kwa watu ambao hawahusiki kabisa je.? Ni njia gani itumike kuishi nao au...
2 Reactions
19 Replies
827 Views
Mahsusi kwa watu wanaotarajia kuanzisha mahusiano thabiti na yenye malengo pamoja na wale ambao tayari wamo ndani ya mahusiano ya aina hiyo. KWA WATARAJIA 1.Usidanganyike na muonekano wa nje...
3 Reactions
125 Replies
25K Views
Kupita pita mitandaoni nikaiona hii story imeniuma sana,ogopa sana wanawake ukipata muda kaa chini na kuogopa Mwanamke. Mwanamke ni Andazi. Kuna Tukio limetokea kitaa hapa almost 2 weeks Kuna...
19 Reactions
43 Replies
3K Views
Hii saa tano kasoro, natoka Ledgers Plaza Bahari Beach, kufanya zinaa na mwanamke asiye mke wangu, ila tu ni hawara. Kiburi na dharau na jeuri ya mke wangu inanifanya nipoteze hamu naye...
17 Reactions
72 Replies
8K Views
Inapotokea kwenye mahusiano kuna sintofahamu ya aina yoyote, hapo ndio strength ya bond huwa inapimwa. Mengi hutokea, usaliti, dharau, uongo n.k ambavyo vinaweza pelekea uhusiano kuvunjika. Na...
14 Reactions
103 Replies
5K Views
Habarini za jumamosi wana MMU? Katika maisha ya kimahusiano wanaume tumekuwa tukifanya mambo mengi sana kwa ajili ya wanawake tuwapendao ikiwemo kupigana na mwanaume mwenzio na chanzo ikiwa ni...
8 Reactions
55 Replies
6K Views
Kwa uzi huu nitaandika meeengi sana,kwa wote ambao tuliwahi ku-date but hatukufikia malengo ya kujenga familia, Kati ya watu nilio- date nao, wawili wapo humu (mmoja tulifika mbali sana na...
16 Reactions
242 Replies
20K Views
SABABU 7 ZA NDOA NYINGI KUF*A KABLA YA KUFIKISHA MIAKA MIWILI! Nimeongea na watu wengi sana kuhusu ndoa, nimesikiliza sababu nyingi za watu kuachana siku hizi ndoa nyingi hazivuki miaka 3...
10 Reactions
47 Replies
4K Views
Watu wenye magonjwa haya, si lazima watembee wakiokota makopo, kuvua nguo au kuwa na nywele ambazo hazijachanwa. - Unasikiliza taarifa ya habari jioni. Unasikia kuwa, mwanaume amembaka mtoto wa...
6 Reactions
13 Replies
783 Views
Anasema ikitokea tumeoana hatutoboi miaka 5. Namnukuu “ Mkitoboa miaka 5 niko pale uniite mbwa” Ni kaka yangu mtoto wa mama yangu mdogo alielelewa nyumbani kwetu… yeye tayari ana familia yake mke...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Majibu yenu ndiyo yatanisaidia kuamua niwe na yupi kati ya hawa Wawili niliowaokota Mkeshani Kawe kwa Usiku wa kuamkia leo. Nijibuni upesi ili nifanye Maamuzi Ok?
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Kutokana na malezi na makuzi ya home kwetu kiukweli mimi nlikuwa siijui papuchi. Huwezi amini mpaka miaka 18 nlikuwa sijawahi hata iona. Wasichana walikuwa wananivutia ila sijui wangenipa...
23 Reactions
99 Replies
30K Views
Back
Top Bottom