Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Na hizi ndio ndoa zenu wapendwa.!
2 Reactions
10 Replies
547 Views
Habari ya asubuhi Wana JF niende kwenye mada moja Kwa moja Kuna Jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kuhusu wanawake WA kabila la kihaya, chanzo cha kujiuliza ni kutokana na maisha ya baadhi ya...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwema Wakuu! Nasisitiza, vijana kama ulikuwa ni mpango wako kutaka kuoa mwaka huu kwa kutoa mahari. Sitisha! Usitoe mahari. Ila ni vizuri kwenda kujitambulisha kwao na kwenu. Kama kuna uwezekano...
10 Reactions
85 Replies
2K Views
Waheshimiwa habari za mida, Mimi ni IT specialist kwenye shirika moja lisilo la kiserikali mshahara wangu ni wa kati si mkubwa sana wala si mdogo sana. Lakini pia mimi ni lecturer part time...
39 Reactions
442 Replies
94K Views
Leo nimeamua niwape TiP wale amateurs kwenye dating & hooking up games kuwa ukiona unapokea majibu ya aina hii usipoteze muda hata kidogo. Endelea na shughuli zingine za kujenga taifa tu. 1...
92 Reactions
334 Replies
14K Views
Nilipokuwa kijana mdogo nimecheza saana. Nimedanganya, cheat, kugonga na kukimbia, kuumiza na kushauri matumizi ya P2 nilipoambiwa umenitia mimba. Hili sio la kujivunia hata kidogo. Nikiwaga free...
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Hivi damu yako, tena una uhakika nayo pasi na mashaka kabisa kuwa ni copy yako, unakimbia majukumu ya kumlea mwanao, alelewe na mama yake au mwanaume mwenzako na wewe upo comfortable kabisa...
18 Reactions
115 Replies
6K Views
Ni miezi miwili iliopita niliweza kumkopa rafiki wa karibu tu tuliewahi kusoma wote na hata familia yao ni family friends. Sasa alikuja kwangu nimkope laki 3, mwanzoni nilitaka nimruke ila...
25 Reactions
111 Replies
6K Views
Hebu sema ukweli wako, hivi wadada mnaweza kuwa na mahusiano au ndoa na mwanaume ambaye hana hela? #nyumayapazia
6 Reactions
82 Replies
4K Views
Niliwahi kuandika uzi hapa kwamba nimelizwa na mapenz, aliyeniliza alikua single mother. Nilimpenda na nikatamani kumbadilisha vitu vichache ili awe wangu wa siku zote lakini nilishindwa kwa...
6 Reactions
91 Replies
5K Views
Ni ndugu yangu. Nilihangaika nae mpaka watu wakanishangaa,lakini haya niliyafanya ili wazee{wazazi}wasilemewe na mzigo. Dogo huyu kwa sasa ni mtu mzima mwenye maisha yake ,alianza kidogo kidogo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwema wakuu, Leo asubuhi nimempigia simu demu wangu ambaye tuna ugomvi kwa siku kadhaa. Kilichotokea ni kuwa kapokea jamaa anadai demu hataki kuongeza na mimi anadai nijikaze. Duh hapa nahisi...
12 Reactions
53 Replies
3K Views
Kipindi cha nyuma niliwahi kuleta uzi kuwa nimekuwa introvert sana kiasi kwamba sina mazoea na jirani yeyote yule mtaani, hata kwa salamu tu, wanaJF mkanilipukia na kunishushia matusi ya kila...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni mwaka mpya, amani kwenu Zingatia: Kuna jamaa yangu ameniomba ushauri, na mimi natumia nafasi hii kuwaomba ushauri/ mawazo kwa niaba yake. Story yake iko hivi.... Binafsi kuna changamoto...
8 Reactions
63 Replies
4K Views
Kumekua na mazoea sana katika shule, vyuo, nyumba za ibada, taasisi , mashirika na ofisi za kiserikali na binafsi kwa wale wanaotumia bendera ya Taifa kupandisha na kushusha bendera ya Taifa...
1 Reactions
1 Replies
927 Views
Hutokea mara nyingi katika Ibada na sherehe za harusi kwa bibi arusi kupiga magoti anapompatia chochote mume wake. Lakini wakishafika nyumbani na kuyaanza maisha huwa hawezi kupiga magoti tena...
6 Reactions
30 Replies
948 Views
Salaam Wakuu, Hivi inawekekanaje Mwanamke anakukalisha chini, anakupiga na mwiko huku kakukanyaga na mguu na ndani hajavaa kifuli, halafu mwanaume unalia kama mtoto mdogo? Ni nguvu gani...
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Binafsi nilichukia Sana kulazimishwa kurudia kusoma shule ileile niliyosoma O level wakati nilipenda Sana kubadili mazingira. Wewe ulilazimishwa kipi??
8 Reactions
48 Replies
2K Views
Mimi ni kijana, mwenye kila sababu ya kuwa na mke kwa umri wangu, lakini kutokana na changamoto za kimaisha nimejikuta nachelewa mpaka muda huu nipo kwenye mahusiano tu. Nimepitia mahusino kadha...
22 Reactions
183 Replies
12K Views
Niite Mimi ndyo jina langu(sio jina langu halisi. Nimezaliwa Miaka 30 iliyopita Kanda ya ziwa.Nina elimu ngazi ya Shahada. Nikiwa nina Miaka 10,siku moja jioni ghafla nikasikia kitu kinatembea...
11 Reactions
129 Replies
13K Views
Back
Top Bottom