Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kumekua na sumu mbaya sana inayosambazwa na wanawake wapotoshaji wanaojiita "wapigania haki sawa" katika andiko langu nitawatambua kwa neno "virusi". Hawa virusi wamefanikiwa kuchota akili za...
7 Reactions
11 Replies
729 Views
Salam salaam! Tieni neno wakuu namna ya kudili na huyu mwanamke niliyeishi nae km jirani yangu kwa muda wa mwaka hivi kabla hajahama na sikuwahi kuwa na mazoea nae zaidi ya salamu tu. Tatizo...
3 Reactions
19 Replies
745 Views
DNA muhimu Vijana. Kama mwanaume unaanzaje kumuamini KE uliyekutananae ukubwani, Yani anakuambia mtoto ni wako na wewe ME unaamini, Ni mistake kubwa sana ME sisi tunafanya, Hutakiwi kumuamini mtu...
1 Reactions
12 Replies
860 Views
On this pleasant Saturday, mida ya jioni tukiwa tunapiga story mbili tatu tukagusia discussion that revolved around a prevalent notion – the belief that Tanzanian ladies are negligent when it...
3 Reactions
13 Replies
617 Views
Kama kuna mtu alishawahi kuongeza uume au kudhibitisha kwa rafiki au mume wake kwamba umeongezeka kwa njia hizi sijui dawa za Kimasai, handsomeup device na lolote lile na kwamba kwa sasa...
5 Reactions
175 Replies
66K Views
Ninaposema Mwanamke ni chombo Cha starehe, sikua na maana kwamba Sasa mtoto wakike asipelekwe Shule akapata Elimu, au asifanye kazi ,au asiwe na uchumi wake binafsi ,binafsi ninapinga...
16 Reactions
49 Replies
4K Views
Firstly I would like to apologise to all men in this platform for going rogue to our Gents rule which is "Never kiss and tell". I think I have to tell this tale to y'all coz you might get...
50 Reactions
301 Replies
17K Views
Wakubwa kwa watoto habari za majukumu,? Nakumbuka miaka kadhaa nilishawahi kushare hapa changamoto ninazopitia na mama watoto wangu, wengi walishauri niachane nae na wengine wakashauri nivumilie...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Mtihani mkubwa kwa single mothers ni kubalansi upendo kati ya mtoto wake na mpenzi wake. Akimpenda sana mtoto wake atahakikisha mtoto anapata love ya baba yake mzazi hivyo atakuwa na mawasiliano...
30 Reactions
82 Replies
6K Views
Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako...
26 Reactions
36 Replies
2K Views
Habarini za usiku wapendwa Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa...
14 Reactions
189 Replies
12K Views
Baada ya majadiliano na rafiki yangu kuhusiana na rushwa (zawadi) ya ngono mashuleni, vyuoni na maofisini nimejikuta najiuliza maswali mengi ambayo ningependa tusaidiane kuyajibu kwasababu kwa...
25 Reactions
287 Replies
35K Views
Hii ina apply kwa 99% ya wanawake hasa wa hizi nchi za dunia ya tatu. Mfano umepata milioni 1 na unataka kununua kitu flani kwa ajili ya biashara. Alafu muda huo huo mke/demu/mchumba wako...
22 Reactions
67 Replies
3K Views
Brenda alikuwa na wapenzi wawili ambao ni Mike pamoja na Deno na wote walikuwa wanaonekana kumpenda lakini Brenda alitaka mmoja tu awe wake wa maisha hivyo alifanya hii test of love ili kumbaini...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Waungwana habari? Kama kawaida yangu sinaga mada za kutunga bali nakuwa muwazi kwa yale yanayonipata..nishalala na wanawake wengi sana kiasi kwamba sina idadi kamili ila nakumbuka si chini ya...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Nimekuwa nikijiuliza bila majibu nikaona labda wana mmu mnaweza nisaidia. Ni kwa nini wanawake walio wengi hupenda kuvaa vinguo vifupi vinavyaacha mapaja na kitovu nje hata wanaokuwa nje ya...
1 Reactions
104 Replies
20K Views
=== === === Wakati mwingne wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababuya kutafuta soko kwa wanaume. Inawezekana kukawa na wale...
3 Reactions
93 Replies
90K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, kisemacho mwanaume kugombania rimoti ya TV ni ushamba. Naandika huku nacheka hapa, kisa kulikuwa hivi, kama mjuavyo siku za sikukuu watu...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu mmoja anamchumba sasa kumfuatilia anajiuliza mambo mengi kweli. Mara nyingi tunaamini kuhusu Tabia kurithi kutoka kwa Baba na mama. Sasa katika ndoa kuna mambo mengi hasa...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Kuzaa mtoto nje ya ndoa mara nyingine kunaweza kuleta changamoto na kero kadhaa kwenye familia hasa bara letu la Afrika. Baadhi ya mambo ambayo nimeona kwa watu ambao wamezaa au kuzalisha nje ya...
8 Reactions
60 Replies
3K Views
Back
Top Bottom